G
guest-1787677467
Guest
Mitaa yangu hiyo sema wakati wewe unafika mi nilishaondokaga kipindi hikoNimeishi mitaa hii, chini ya uwanja wa hizi shule kuna dispensary inaitwa Ronsoti Dispensary, nilikuwa naishi mitaa ya barabara ya posta, JJ, Chriss pub, CMG hadi sabasaba kwenye kichuri nilikuwa nafika (2012-2013)