presider
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 1,459
- 1,958
Mimi n Die hard Fun wako. Karibu siku moja tabata 2pige kichuriMkuu wewe ni mhenga na ulinizidi madarasa mawili?maana mimi nimemaliza 2003
Mimi n Die hard Fun wako. Karibu siku moja tabata 2pige kichuriMkuu wewe ni mhenga na ulinizidi madarasa mawili?maana mimi nimemaliza 2003
Mkuu acha utani, kwa yule ticha Gimugu ndiyo ilikuwa mitaa ya kwenu?Mkaranga n njia ya kwenye CMG. Kule ndio alikua anakaa Bibi na Babu.
Nyuma ya Cafetelia karibu na Mwalimu Gimugu ndio kulikua Home
Ndio kkMkuu acha utani,kwa yule ticha Gimungu ndiyo ilikuwa mitaa ya kwenu?
Daaah wewe ni homeboy kabisa mwanangu!
Mwalimu Gimugu uncle wangu kabisa mimi nimesoma NyamisanguraMimi n Die hard Fun wako. Karibu siku moja tabata 2pige kichuri
Kichuri nnachukua pale Vingunguti. 2nakuja kula Home Tabata kkMkuu Tabata kuna Kichuri?
Hebu Acha utani mkuu niambie kweli!
Mkuu wewe ni mhenga na ulinizidi madarasa mawili?maana mimi nimemaliza 2003
Mwalimu gimugu uncle wangu kabisa mm nimesoma nyamisangura
Wanatengeneza wahuni tuMkuu kichuri unatengeneza mwenyewe au wanakutengenezea hawa matapeli wa Dar?
Heshima kwako Kaka mkubwaKweli nyie ni watoto maana 2003 niko korogwe ofisi ya Mkuu wa wilaya ajira yangu 2002 kabla sijaenda rome
Una mkumbyma Mwita kipara kk. Alikua jiran ya Mwalimu Gimugu.....?Mwalimu gimugu uncle wangu kabisa mm nimesoma nyamisangura
Huyu bibi nilisoma nae chekecheaTarime ulikua unakaa mitaa gan.....?
Me nlikua pale Cafetelia kwa nyuma.
Bibi yangu alikua anakaa kwa Mzee makaranga kule chini
Mkuu kichuri cha wahuni hakijawaji kuwa kichuri bali ni Uhuni mtupu!,kwanini mkuu usichukue hii fursa?Wanatengeneza wahuni tu