Hahaha wamefanya Sport Betting ama Premier Betting?! Hahahaha hahahahaah unanivunja mbavu mkuu buku kwa milioni? Hahahahah leo wamekula kona, page yao ya fb iko dormantHii Timu lowasa ilivyokuwa na jeuri ya pesa ilifikia mahali walikuwa tayari hata kubet lowasa wanapita. Ukiwabishia wanakwambia weka eflu1 yeye anaweka milioni1. Nimesha kula milioni20 kutoka kwa al shabab bashe baada ya mm kuweka elfu20 tu.
Hahahahahaahha mlijitahidi kuja kwa mbwembwe sasa mmeona Tsunami ilosambaratisha mbwembwe zenu eeenh? Next time nawashauri mpunguze mbwembwe na msidhani fedha ndo kila sehemu inapenya, sehemu nyingine zinafeli kama zilivyofeli kwenu, oneni sasa mzee wenu alivyomwaga fweza lukuki kila kona kuhonga ilimradi apite, kaambulia kufuatwa na watu tu kila kona ya nchi lkn kapewa Total Ban, naamini huko alipo haamini kilomtokea lkn ndo basi tena, sisi hatununuliwi kwa hela zake yeye sasa akanywe supu na hizo hela zake pamoja na wale wanaomfata kama inzi. Hahahaha pole mzee Lowahaswa! Kubali matokeo Welcome again!
Hahahahahaaha aibu hiyo kutumia fedha kuforce apitishwe, imekula kwao huko kwao sasahv ni vilio tuNilikuwa napita huku na kule kufanya verification of information nakuta pamenuna
Aaaaahhahhahahaah hahahaha asee nimeipenda hiyo, tena watuambie mapema tujioange hiyo siku ya kuvunja kamati yao ya matumainiTeam lowasa siku ya kuvunja kamati mtuhabarishe
mwisho wa ajira. Wengi walikuwa opportunist. Watafute mrija mwingine.
Walishasema RAIS hawezi kutoka KASKAZIN hivyo kukatwa kwa MZEE ni kutimiza lengo hilo la kibaguzi dhidi ya watu wa kaskazini ya Tanzania.sioni lingine.nikiangalia sifa na uwezo kiutendaji mtu kama membe sioni kitu.Katika nyakati zao ndani ya serikali hakuna aliyewaguza WTZ kiutendaji labda Magufuri the rest wapiga porojo tuu. Hili ni chukizo tunataka kujua sababu zaidi ya huo ubaguzi wa kikanda wa kuenguliwa kwa lowasa.