Piga Membe chini, kata Member asiingie 3_bora. Amina Salum Alli ndiye bora kuliko wote,makamu wake F. Sumawe, na Pombe J. M awe P.M. Hapo ni kazi tu,hakuna bla bla
sisi kina gogo la shamba tulishasema kosa kubwa la Lowasa ni pale alipojifanya bubu kwa kuwalinda wezi, sasa karata yake ya mwisho itakayomuweka salama bila kufuatwafuatwa ni kuweka adharani Richmund na kumrudisha Balali kama atapuuza tena ushauri wetu itakula kwake mazima
Kumbe watu wengine huwa wanaamini mazingaombwe!! nani alikwambia ni chaguo la watu? mafuriko uliyokuwa unayaona ilikuwa ni projekti ya muvi iliyoanza kutengenezwa miaka kadhaa huko nyuma. Hatuwezi kuishi kwa kuamini mambo tunayoona katika bongo movie. Nitakubaliana na wewe ukisema lowassa ni mtengeneza muvi za kisiasa bora. Ukawa hawahitaji mtu wa aina hiyo. Pengine ana-fit act.