Edward Lowassa on ITV!-Dakika 45 Part II!.

I have changed my attitude towards Lowassa,this guy is brilliant.He spoke to our issues.One thing which touched me is his concerns on the recent skyrocketing of unemployment rate among youth and the mechanisms on how to curb it.For the first time I do agree with Lowassa that we should end this political circus and focus on renewing our Economy.
 
Vipi ule mradi wa Mvua kutoka Indonesia sijui, akishika nchi atauleta tena? Je ulikuwa nimradi ulioenda shule? Nini tofauti yake na Kilimo kwanza? Si uleule utaratibu wa CCM kuandika mambo vizuri kwenye karatasi ila kuja kwenye ukweli, inakuwa ovyo kabisa hadi inatia kinai. Kibaya zaidi, pesa za Kilimo kwanza watu wa CCM walijengea Mahekalu.

Walijaribu, wameshindwa ila hawataki kukiri na wanataka kuendelea kujaribu kwa njia zilezile. Lowassa amekuwepo CCM kwa miaka mingi sana. Nina imani watu wana ule mkanda au maneno ya Nyerere kuhusu Lowassa. Jamaa kweli ana ngozi ngumu ya MWANA SIASA haswaa......
 
Kipindi kimekwisha.

My Take.

Nimemsikiliza kwa makini sana, kiukweli namkubali huyu jamaa kwa 100%!.
Wale wenzangu na mimi, wenye mategemeo ya ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania, kwa mwaka 2015, lazima wamshukuru sana JK, kwa sababu ni kupitia JK, uwezekano wa kuwezekanika kwa ukombozi huo, kunawezekanika!.

Wale mnaolalamika kuwa miongoni mwa makosa makubwa Watanzania, waliofanya, ni kumchagua JK kuwa rais wetu!, kiukweli, uchaguzi wa JK ndio kichecheo cha ukombozi wa pili wa Mtanzania, vinginevyo kama ni Lowassa ndie angekuwa rais, Tanzania isingekuwa hapa ilipo, na kusingalikuwepo hata hilo hitaji la ukombozi wa pili wa Mtanzania maana Tanzania ingeshakuwa peponi!.

Hivyo wale wote wenye kulitakia mema taifa hili, mshukuruni sana EL na JK, vingenevyo 2015, ingekuwa ni hadithi ile ile tulioizoea!.
 
ipo siku atakuja kuelezea tuhuma zake za ufisadi na naomba aelezee kiundani zaidi ili watanzania wajue ukweli. Mi nikimfikiriaga jk huwa mawazo yanakuja mpaka napata dhambi maana ni zaidi ya mjinga kwa kweli
 
Kipindi kimekwisha.

My Take.

Nimemsikiliza kwa makini sana, kiukweli namkubali huyu jamaa kwa 100%!.
Wale wenzangu na mimi, wenye mategemeo ya ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania, kwa mwaka 2015, lazima wamshukuru sana JK, kwa sababu ni kupitia JK, uwezekano wa kuwezekanika kwa ukombozi huo, kunawezekanika!.

Wale mnaolalamika kuwa miongoni mwa makosa makubwa Watanzania, waliofanya, ni kumchagua JK kuwa rais wetu!, kiukweli, uchaguzi wa JK ndio kichecheo cha ukombozi wa pili wa Mtanzania, vinginevyo kama ni Lowassa ndie angekuwa rais, Tanzania isingekuwa hapa ilipo, na kusingalikuwepo hata hilo hitaji la ukombozi wa pili wa Mtanzania maana Tanzania ingeshakuwa peponi!.

Hivyo wale wote wenye kulitakia mema taifa hili, mshukuruni sana EL na JK, vingenevyo 2015, ingekuwa ni hadithi ile ile tulioizoea!.

aseme pia kodi zetu zimeliwa na jk au yeye
 
kusema ukweli mimi ni mwana-CDM, ila ikifika kuongelea magamba, hamna mtu ninayemkubali kama 'NGOYAI' na kama akipitishwa 2015, sina jinsi lazima nilipe kura yangu hili jembe na sababu ninazo ambazo hata nikizitoa kwa people'ssssss watanielewa tu. ZIDUMU FIKRA ZA NGOYAYI
 
hii sentensi ya mwisho ndio ilinifanya nikamuona hajielewi.

Aliona wapi wanaanza mining unasimamisha exploration??

Na utafanya vipi exploration bila vitalu.

He is such a fool kwa kweli.

Kipindi kimeanza, anaanza na repeat ya hoja yake ya gesi kuwa vitalu vilivyoshagawiwa vinatosha, tusiendelee kugawa vitalu. Mtaniona mjinga, ' I'm not a fool"!.
 
Wanabodi,
Wale wenye access na ITV, lets watch part II ya Mahojiano ya Waziri Mkuu wetu mstaafu kwa kujiuzulu, Edward Lowassa kwenye kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa na ITV kuanzia saa 3:00 usiku huu!.

Its expected EL pia atazungumzia his presidential bid kwa uchaguzi wa 2015!.

Nawaombeni tumsikilize kwa makini sana haswa kwa kuzingatia siasa za nchi hii, hazitabiriki sana, haswa kipengele cha "Umdhanie Siye kumbe Ndiye" na pia uwezekano wa "Jiwe walilolikataa waashi, kufanywa kuwa jiwe kuu la pembeni"!.

Kipindi kimekwisha.

My Take.

Nimemsikiliza kwa makini sana, kiukweli namkubali huyu jamaa kwa 100%!.
Wale wenzangu na mimi, wenye mategemeo ya ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania, kwa mwaka 2015, lazima wamshukuru sana JK, kwa sababu ni kupitia JK, uwezekano wa kuwezekanika kwa ukombozi huo, kunawezekanika!.

Wale mnaolalamika kuwa miongoni mwa makosa makubwa Watanzania, waliofanya, ni kumchagua JK kuwa rais wetu!, kiukweli, uchaguzi wa JK ndio kichecheo cha ukombozi wa pili wa Mtanzania, vinginevyo kama ni Lowassa ndie angekuwa rais, Tanzania isingekuwa hapa ilipo, na kusingalikuwepo hata hilo hitaji la ukombozi wa pili wa Mtanzania maana Tanzania ingeshakuwa peponi!.

Hivyo wale wote wenye kulitakia mema taifa hili, mshukuruni sana EL na JK, vingenevyo 2015, ingekuwa ni hadithi ile ile tulioizoea!.

Asanteni.

Pasco.

Sijakuelewa unachokimaanisha hapa maana uchanganya changanya
 
Kasi ya kiu ya urais makanisani imeishia wapi?
 
Pasco,
inasemekana safu ya uongozi wa sasa serikalini na bungeni ni watiifu/kikosi kazi cha EL.. na wote tunaona utendaji wao wa kazi! sasa huoni kwamba uongozi wa 2015 utaendelea na hawa hawa waliopo sasa? je? huoni itakuwa kihoja kupata mabadiliko kupitia watu wale wale, maadili yale yale na utendaji ule ule?
 
Akili inataka kumkubali, roho inakataa bila kusita.
Mkuu Nyamgulu, there ia always a wrong way and a right way, if you follow the right one, you'll reach where you wanna be!, if you follow the wrong way, you'll get lost!, thoughts are the same, follow the right thought and get there, or follow the wrong one and get lost!. The choice is yours!.Ushauri wangu kwako ni usizitegemee akili zako, utapotea, sikiliza moyo wako, there is only one truth na utaipata by listening to your heart!.
 
Mkuu Pasco arrogance yake ndio nina wasiwasi nayo sana. Maana he is even arrogant when trying to admit Humility!!! Sijawahi ona. Eti "UKIMYA WANGU NI BUSARA KUTOKA KWA MUNGU!" DUH!!! Kwaio ana direct line kwa the man upstairs nini? :eek2:

Halafu nina wa fahamu vijana wake, if their up bringing is a reflection of their parents. Kazi ipo.
 
huyu jamaa kosa lake ni kusaini kale kamkataba ka kifisadi ka kuchota mabilioni mapesa ya walipakodi na kuyapa makanisa MoU GoT Vs CCT na wale wengine
 
ipo siku watu wataelewa kuwa EL hausiki na richmond? sisi wachache ndio tunaojua fact za richmond, tunamlaumu sana EL kwa nini alijiuzuru. Wenye kumbukumbu siku EL alipojiuzuru Bungeni alihojiwa na Tido mhando wa TBC kwenye mazungumzo ambayo yalirekodiwa akiwa kwenye nyumba ya waziri mkuu ya Dodoma. yale mazungumzo yalikuwa yarushwe na TBC alhamisi usiku. Tido alitaka airushe kama ilivyo bila kuedit. wapambe wa JK walizipata taarifa very late kwamba EL anamwaga mboga, kipindi kilipotaka kwenda hewani tu yaani tido anamtambulisha EL, kikakatwa hapohapo. anayetaka kujua Ngoyayi aliongea nini amuulize Tido atamweleza vizuri, kwa kuwa Tido hayupo tena kifungoni(TBC) yupo huru (mwananchi).

Najua EL hawezi kuongea tena hii issue mpaka JK atakapomaliza uraisi wake, ila issue ya richmond itampa tabu sana katika harakati za uraisi. Haitoshi tu kusikia kuwa EL amemweleza JK kwenye vikao vya kamati kuu dodoma kwamba yeye JK ndio aliyekuwa anampa maelezo kuhusiana na Richmond, wananchi wanataka wamsikie yeye EL mwenyewe.

I WILL ALWAYS BE THE TRUTHFUL DISCIPLE OF NGOYAYI
 
Wanabodi,
Wale wenye access na ITV, lets watch part II ya Mahojiano ya Waziri Mkuu wetu mstaafu kwa kujiuzulu, Edward Lowassa kwenye kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa na ITV kuanzia saa 3:00 usiku huu!.

Its expected EL pia atazungumzia his presidential bid kwa uchaguzi wa 2015!.

Nawaombeni tumsikilize kwa makini sana haswa kwa kuzingatia siasa za nchi hii, hazitabiriki sana, haswa kipengele cha "Umdhanie Siye kumbe Ndiye" na pia uwezekano wa "Jiwe walilolikataa waashi, kufanywa kuwa jiwe kuu la pembeni"!.

Kipindi kimekwisha.

My Take.

Nimemsikiliza kwa makini sana, kiukweli namkubali huyu jamaa kwa 100%!.
Wale wenzangu na mimi, wenye mategemeo ya ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania, kwa mwaka 2015, lazima wamshukuru sana JK, kwa sababu ni kupitia JK, uwezekano wa kuwezekanika kwa ukombozi huo, kunawezekanika!.

Wale mnaolalamika kuwa miongoni mwa makosa makubwa Watanzania, waliofanya, ni kumchagua JK kuwa rais wetu!, kiukweli, uchaguzi wa JK ndio kichecheo cha ukombozi wa pili wa Mtanzania, vinginevyo kama ni Lowassa ndie angekuwa rais, Tanzania isingekuwa hapa ilipo, na kusingalikuwepo hata hilo hitaji la ukombozi wa pili wa Mtanzania maana Tanzania ingeshakuwa peponi!.

Hivyo wale wote wenye kulitakia mema taifa hili, mshukuruni sana EL na JK, vingenevyo 2015, ingekuwa ni hadithi ile ile tulioizoea!.

Asanteni.

Pasco.

Hizi peremende mnazopewa na kuvimbiwa mnafikiri zinaweza kuwashibisha Watanzania wote. Hizi propaganda ni zenu makuwadi nyie, EL akiwa waziri mkuu aliapa kuitetea katiba ya jamuhuri, alipataje kigugumizi kumkatalia JK ufisadi wake? Wacha wafu wazikane wenyewe.
 
kama wewe unajuwa si utueleze tu alimueleza nini Tido,? lowassa ndiyo ni jembe, lakini kwenye uwaziri mkuu tu na siyo urais, njemba ikiwa na maamuzi ya mwisho, kuna watanzania itabidi wakaombe ukimbizi

ipo siku watu wataelewa kuwa EL hausiki na richmond? sisi wachache ndio tunaojua fact za richmond, tunamlaumu sana EL kwa nini alijiuzuru. Wenye kumbukumbu siku EL alipojiuzuru Bungeni alihojiwa na Tido mhando wa TBC kwenye mazungumzo ambayo yalirekodiwa akiwa kwenye nyumba ya waziri mkuu ya Dodoma. yale mazungumzo yalikuwa yarushwe na TBC alhamisi usiku. Tido alitaka airushe kama ilivyo bila kuedit. wapambe wa JK walizipata taarifa very late kwamba EL anamwaga mboga, kipindi kilipotaka kwenda hewani tu yaani tido anamtambulisha EL, kikakatwa hapohapo. anayetaka kujua Ngoyayi aliongea nini amuulize Tido atamweleza vizuri, kwa kuwa Tido hayupo tena kifungoni(TBC) yupo huru (mwananchi).

Najua EL hawezi kuongea tena hii issue mpaka JK atakapomaliza uraisi wake, ila issue ya richmond itampa tabu sana katika harakati za uraisi. Haitoshi tu kusikia kuwa EL amemweleza JK kwenye vikao vya kamati kuu dodoma kwamba yeye JK ndio aliyekuwa anampa maelezo kuhusiana na Richmond, wananchi wanataka wamsikie yeye EL mwenyewe.

I WILL ALWAYS BE THE TRUTHFUL DISCIPLE OF NGOYAYI
 
Ni kweli Ngoyayi akiwa raisi mafisadi lazima wakimbilie ubalozi wa ecuador. wale ma engineer wa manispaa wanaosimamia magorofa na kubomoka lazima wakaombe hifadhi ubalozi wa ecuador.
 
Back
Top Bottom