Edward Lowassa on ITV!-Dakika 45 Part II!.

Tufanye maamuzi ya msingi, rais Mkapa alifanya maamuzi ya msingi, rais Mwinyi alifanya maamuzi ya msingi, hakumtaja JK by implication, JK hajafanya maamuzi yoyote ya msingi!.
 
Kuhusu urais Anasema skifikia daraja la urais stalivuka na akilifikia haongei sasa kwa sababu ya majungu ya magazeti Kuhusu tuhuma anazotupiwa Anasema hekima aliyo nayo ndio iliyo mfunga mdomo, Kuhusu kununua makanisa kwa michango Anasema Hata shule na misikiti hamsemi.
 
mbona huyu mzee kapooza sana au atakuwa ana kunywa sana wiskyuko slow sana kwel alikuwa anaumwa, ila 2015 akapumzike azidi kujijengea heshima kwa sababu najua uraisi ataukosa na ubunge pia ushauri wangu kwake 2015 awe na maamzi kama ambayo pinda aliyatoa kuwa ana stahili kupumzika na kumshukuru Mungu kwa kumuwezesha kufika alipofika hata kuwa waziri mkuu ni zawadi tosha katika maisha yake, kwa hyo na lowasa amshukuru Mungu kwa hapo alipo fikia na akapumzike, hii nchi itakwenda mikononi kwa makamanda wenye uchungu. Chadema oyeeee
 
Wanabodi,
Wale wenye access na ITV, lets watch part II ya Mahojiano ya Waziri Mkuu wetu mstaafu kwa kujiuzulu, Edward Lowassa kwenye kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa na ITV kuanzia saa 3:00 usiku huu!.

Its expected EL pia atazungumzia his presidential bid kwa uchaguzi wa 2015!.

Nawaombeni tumsikilize kwa makini sana haswa kwa kuzingatia siasa za nchi hii, hazitabiriki sana, haswa kipengele cha "Umdhanie Siye kumbe Ndiye" na pia uwezekano wa "Jiwe walilolikataa waashi, kufanywa kuwa jiwe kuu la pembeni"!.

Karibuni!.

Pasco.

amepata ugonjwa wa jicho lini?sijaona la jipya kwake
 
Ameilizwa kama zile Harambee zake makanisani hazina uhusiano wowote na harakati za 2015?, pia kachomoa, kasema harambee hizo ni baraka alizopewa kumtumikia Mungu na pia ni njia ya kuwatumikia Watanzania!
 
Back
Top Bottom