Edward Lowassa na Mkewe wafika kuhani Msiba wa Dkt. Magufuli

Hakika huu ni ukuu wa mwenye enzi Mungu. Tunamrudishia sifa na utukufu, kazi yake haiana makosa.
 
..wapiga kampeni wa Magufuli walisema Mzee Lowassa ni mgonjwa na anajinyea kwenye mikutano.

..Na kama hiyo haitoshi walisema ikulu haifai kupelekwa wagonjwa kuwa Mzee Lowassa akichaguliwa atafia ikulu.
Astaghafillulah !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…