kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,703
- 20,606
Inapendezakwakweli.
Ni shujaa wa nini vile ...kwani mashujaa wanakufa ?
Vp Ikulu ni wodi ya wagonjwa?Chadema watachukizwa na hili
Shujaa mpiga pushapuMungu aendelee kumpunzisha shujaa....
Shujaa mpiga pushapu
Ntaishia kufa tuNa wewe piga uone kama utakua shujaa🤣🤣
Ntaishia kufa tu
Magufuli kaiibia sana hii nchi,ni Bora limekufa katili hili,vinginevyo hali ya nchi ingekuwa mbaya mno
Astaghafillulah !..wapiga kampeni wa Magufuli walisema Mzee Lowassa ni mgonjwa na anajinyea kwenye mikutano.
..Na kama hiyo haitoshi walisema ikulu haifai kupelekwa wagonjwa kuwa Mzee Lowassa akichaguliwa atafia ikulu.
Nisamehe mkuuAcha utoto kurudia uzi mara mbili
kikubwa ni kuhani msibaNi Chato au Dar es salaam?
Dah!
Sawa mkuukikubwa ni kuhani msiba