mimi sijaelewa alichoongea zaidi ya kuomba kura yani akina dada mmepoteza muda kwa ajili ya huo ujinga. Eti mgombea wa urais yeye hana cha kusema zaidi ya kumuonesha mahaba tu. Wakati hapo kulikuwa na madada poa, walemavu wa ngozi, mama ntilie, baamedi, nk.
Lakini sijasikia jambo la msingi ambalo ameongea kuhusu hayo makundizaidi ya kuomba mmtafutie kura. Akina mama wa dar es salaam jitambueni na si kufuata mkumbo.
nyie wadada wa dar mnaenda kufanya nini? Atawaeleza nini shahada yenyewe ya maigizo aliyonayo lowasa, ni aibu kama mumeenda shule,
nyie msubilini tu kwenye maingizo ya kupanda daladala ndo mtafaidi alichonacho