Edward Lowassa hukukidhi kiu ya wanawake!

Edward Lowassa hukukidhi kiu ya wanawake!

Hata wale ambao si waongeaji sana angalau atatoa point za msingi zinazohusiana na ajenda! No offense ila UKAWA mnayo kazi ya kufanya!

Walichokosea hawakuweka hasa ajenda ya mwito nini?Hawakujua hasa Lowassa anataka nini?Wazoefu wakuongea ndiyo wanatakiwa muda mwingi wawe msaada kwake.Na pia wahakikishe wanampa point za kuongea. Kwa sasa yupo overexited kiasi kwamba akiona watu wengi anashindwa kuongea.Ni state anayotakiwa kutoka mapema asipostuka atachelewa.

Ni bora ungekuwa mkutano ulioitwa na mkewe halafu yeye aende tu kama msikikizaji na si muongeaje.

Nakubakiana nawe inahitajika nguvu ya ziada na ya haraka kama kweli wanataka kushinda.
 
hatutaki waongeaji sana ila inshu ni kwamba hata kicho kidogo anachoongea muheshimiwa huwa si mikakati bali kurudirudia ahadi, inatakiwa hata akiongea kidogo ila aseme mikakati kwa mfano angeweza kusema kupanua benki ya wanawake,kupunguza interest za bank kwa wamama wajane, kutoa ruzuku kwa saccos bora za akina mama, kuunda mahakama maalum ya jinsia..hii ni mifano ya mikakati si kuimba imba na kutoa ahadi zile zile

hivi wewe umeenda shule? Unaweza kufanya kitu bila kujua unaongea nini,
mfano unaweza kujibu mtihani wakati majibu hauna kichwani wewe ni walewale nini,
 
Ulitaka mme wa mtu akate kiu yako?kwanini maccm mna akili chafu hivyo lkn!

Jk anahutubia masaa mawili,njoo ktk utekelezaji zero!nchii hii wala hatutaki kusikia sera wala mipango maana ipo mizuri inapasua makabati ofisini.Tunataka mtekelezaji tu.
Tukitaka hotuba ndefu,mipasho na matusi tutawaalika wenyeviti wa ccm taifa
 
Tumezoea wanasiasa wale wanaopenda kuremba maneno na matokea yake wengi wao wametutenda ila uchaguzi wa mwaka huu kiboko nikiwaangalia wagombea wa UKAWA na CCM naona wote si wale wa maneno matupu maana hata Magufuli pamoja na kwamba anaongea lakini si kwa taste ile ambayo tumezoea kuwaona wanasiasa na ambayo tumeaminishwa kwamba mwanasias ndo anatakiwa kuwa
 
Kwa ambaye aliboreka pole yake. sie tume enjoy vya kutosha tu kufwatilia huo mkutano. Mama Regina amemaliza yote. Ukawa juu
 
walichokosea hawakuweka hasa ajenda ya mwito nini?hawakujua hasa lowassa anataka nini?wazoefu wakuongea ndiyo wanatakiwa muda mwingi wawe msaada kwake.na pia wahakikishe wanampa point za kuongea. Kwa sasa yupo overexited kiasi kwamba akiona watu wengi anashindwa kuongea.ni state anayotakiwa kutoka mapema asipostuka atachelewa.

Ni bora ungekuwa mkutano ulioitwa na mkewe halafu yeye aende tu kama msikikizaji na si muongeaje.

Nakubakiana nawe inahitajika nguvu ya ziada na ya haraka kama kweli wanataka kushinda.

je kweli unaitaji rais dhaifu kama huyo
je kama atakuwa dhaifu hivyo mikataba ya kitaifa watakuwa wanamsaidia?
Ni aibu
tunataka kurudisha wakina mwinyi waliokuwa waongozwa na wake zao ?

Ili taifa ni la wasomi tuwwachie wenye akili zao wafanye kzi ua wamrudishe slaa,
 
kwa ambaye aliboreka pole yake. Sie tume enjoy vya kutosha tu kufwatilia huo mkutano. Mama regina amemaliza yote. Ukawa juu

hatutaki rais waaina ya mwinye anayeongoza taifa kwa mawazo ya mke wake,eti msomi anashidwa na mke wake basi amuachie mke wake ndo agombe urais,
 
Ulitaka mme wa mtu akate kiu yako?kwanini maccm mna akili chafu hivyo lkn!

Jk anahutubia masaa mawili,njoo ktk utekelezaji zero!nchii hii wala hatutaki kusikia sera wala mipango maana ipo mizuri inapasua makabati ofisini.Tunataka mtekelezaji tu.
Tukitaka hotuba ndefu,mipasho na matusi tutawaalika wenyeviti wa ccm taifa
 
Heshima kwenu wana JF.

Nimefatilia kwa karibu sana sana hotuba ya Mhe. Mgombea u Rais kupitia UKAWA aliyoitoa hapa LAPF kwenye kongamano la wanawake BAWACHA na kubaini jambo moja kubwa sana.

Kauli mbiu ya kongamano ni "LOWASA NA HATMA ZA CHANGAMOTO ZA WANAWAKE TANZANIA"

Nimesikitika kuwa nilitegemea kwenye hotuba Yake ataweza kuelezea mikakati ya ukombozi huo wa mwanamke. Nasikitika kuwa sikuona mahali popote akiongelea changamoto hizo na jinsi ya kuzitatua.

Ameishia kuimba Wimbo wa Mhe. Magufuli "Alinselema Hadija, mchaka mchaka chinja" na kuzungumza mambo ya MAHABA!!!!!!!!

Nasikitika kusema mimi kama mwanamke nimeondoka na kiu yanguuuu!!!!!!!!!! Ngoja nimsubiri mzee original wa Alinselema. I hope atatuondolea kiu hii!!!!!! Tunataka kuona SERA za ukweli za kumkomboa mwanamke, sio MAIGIZO.

Naomba kuwasilisha.

Queen Esther

Raha ya Lowasa ni kuona Umati mkubwa ukihudhuria mkutano hana hoja za kushawishi. hats hao madada poa aliokuwa akiwahutubia hajagusa kabisa kiu yao ndio maana walitumia muda mrefu kupiga kelele kama watoto wa shule maana hawakuiona ajenda iliyowagusa
 
Ninyi mmeahidi zaidi ya miaka 50 hamtekelezi,magufuli mda wote ni kuiponda serikali ya kikwete,wanamchi wanalalamika,viongozi wa ccm wanalalamika,kweli??? aibuu,mnaahidi msichokijua,tumesubili maisha bora kwa kila mtanzania tumeishia bora maisha kwa kila mtanzania,ccm gari bovu hamfai hata kuongoza ubalozi wa nyumba kumi
 
Ukweli ni kuwa lowasa jukwaani ni zero. Sijui kama ndivyo alivyo ama ni madhara yaliyosababishwa na gonjwa lake, lakini bila shaka kampeni zikianza tutapata fursa ya kumfahamu vyema.

Hahahaha, kipi bora sasa, uongeaji mwingi jukwaani au utendaji usio na pupa na wenye vision? ndio maana shetani alikataa kumsujudia mwanadamu, maana alijua jinsi tulivyo mambumbumbu.
 
tumezoea wanasiasa wale wanaopenda kuremba maneno na matokea yake wengi wao wametutenda ila uchaguzi wa mwaka huu kiboko nikiwaangalia wagombea wa ukawa na ccm naona wote si wale wa maneno matupu maana hata magufuli pamoja na kwamba anaongea lakini si kwa taste ile ambayo tumezoea kuwaona wanasiasa na ambayo tumeaminishwa kwamba mwanasias ndo anatakiwa kuwa

mkuu kama emeenda shule kidogo unaweze ukaingia kwenye mtihani haujui kitu kichwa then ukashinda mtihani
labda kama utaingia na vikaratasi,mkuu rais ambaye hata uwezo kusimama saa 1 kuongea na taifa je
je atawezaje kuhubua bunge zaidi ya masaa 3?
Je atawezaje kuhutubia kwenye mikutano ya kimataifa?

Ki ukweli hana sifa ya kuongoza taifa la wasomi kama hili wala sio kuongea tu uwezo wa akili ni mdogo sana,
 
Wewe utakuwa huijui Katiba ya JMT. Wapi pameainishwa kazi za First Lady???

Madame Regina mwenyewe kasema namwachia mume wangu atoe kiu yenu. Mbona tumeondoka na kiu yetu????

Queen Esther

Ulitaka itwe room nini mbona sikuelewi!? Inamaana hujaelewa kuwa lowassa ni mtendaji sio mropokaji kama hao walevi wenzenu Kwa hiyo ulijua madame Regina alivyosema MZEE atawamalizia kiu yenu muitwe mmoja mmoja chumbani au? Hahahaaaa pole sana huna jipya ww lala na kiu yako kama vipi tia mkono
 
hivi wewe umeenda shule? Unaweza kufanya kitu bila kujua unaongea nini,
mfano unaweza kujibu mtihani wakati majibu hauna kichwani wewe ni walewale nini,

kuongea kila mtu anaongea na kila mtu huwa anajua anachotaka kuongea ila swala ni MAUDHUI au content ya anachokiongea lowassa haelezi mikakati ya kutimiza ahadi zake bali tu kutoa ahadi za jumla jumla ! hata anaejibu mtihani huwa anajua anachojibu ila swala huwa ni kuwa kAPATA AU KAKOSA kwa maana anachoandika kitakuwa ndo majibu au pumba
 
hahahaha, kipi bora sasa, uongeaji mwingi jukwaani au utendaji usio na pupa na wenye vision? Ndio maana shetani alikataa kumsujudia mwanadamu, maana alijua jinsi tulivyo mambumbumbu.

tatizo lako shule ni ndogo sana pengina haujaenda shule
tatizo la lowasa sio kuongea hana uwezo wa akili kuongoza wasomi ,
ivi kwa udhaifu huu atamwambia nini mtu kama mnyika, lissu?

Tulimuona slaa si chochote lakini tutamkumbuka,

 
Kila mtu na maumbile yake.Kuna waongeaji wazuri na kuna wengine si waongeaji.Ni hulka ya.watu kuwa.tofauti.Lowassa aonekanavyo si muongeaji sana.Sijawahi msikia akiongea kama mwanasiasa hata alivhokuwa CCM so siwezi kumuhukumu kwa maumbile yake.[/QUOTE Queen Esther
Naona ume_like hii comment!! Kutokana na lawama zako juu ya ENL hukupaswa ku_like hii.

Nadhani nimeilike kwa bahati mbaya.Pole.Na asante kunisahihisha.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom