Edward Lowassa hukukidhi kiu ya wanawake!

Heshima kwenu wana JF.

Nimefatilia kwa karibu sana sana hotuba ya Mhe. Mgombea u Rais kupitia UKAWA aliyoitoa hapa LAPF kwenye kongamano la wanawake BAWACHA na kubaini jambo moja kubwa sana.

Kauli mbiu ya kongamano ni "LOWASA NA HATMA ZA CHANGAMOTO ZA WANAWAKE TANZANIA"

Nimesikitika kuwa nilitegemea kwenye hotuba Yake ataweza kuelezea mikakati ya ukombozi huo wa mwanamke. Nasikitika kuwa sikuona mahali popote akiongelea changamoto hizo na jinsi ya kuzitatua.

Ameishia kuimba Wimbo wa Mhe. Magufuli "Alinselema Hadija, mchaka mchaka chinja" na kuzungumza mambo ya MAHABA!!!!!!!!

Nasikitika kusema mimi kama mwanamke nimeondoka na kiu yanguuuu!!!!!!!!!! Ngoja nimsubiri mzee original wa Alinselema. I hope atatuondolea kiu hii!!!!!! Tunataka kuona SERA za ukweli za kumkomboa mwanamke, sio MAIGIZO.

Naomba kuwasilisha.

Queen Esther

Kweli kabisa mzee huyu msinii kweli kweli...amekusanya wanawake waje wamuimbie happy birthday
 
Tena wanatumia maneno ya Mungu bila hata uoga,Muogopeni Mungu chaguo la watanzania nalijua Mungu,ya kaisari mpe kaisari na ya Mungu mpe Mungu
 
Heshima kwenu wana JF.

Nimefatilia kwa karibu sana sana hotuba ya Mhe. Mgombea u Rais kupitia UKAWA aliyoitoa hapa LAPF kwenye kongamano la wanawake BAWACHA na kubaini jambo moja kubwa sana.

Kauli mbiu ya kongamano ni "LOWASA NA HATMA ZA CHANGAMOTO ZA WANAWAKE TANZANIA"

Nimesikitika kuwa nilitegemea kwenye hotuba Yake ataweza kuelezea mikakati ya ukombozi huo wa mwanamke. Nasikitika kuwa sikuona mahali popote akiongelea changamoto hizo na jinsi ya kuzitatua.

Ameishia kuimba Wimbo wa Mhe. Magufuli "Alinselema Hadija, mchaka mchaka chinja" na kuzungumza mambo ya MAHABA!!!!!!!!

Nasikitika kusema mimi kama mwanamke nimeondoka na kiu yanguuuu!!!!!!!!!! Ngoja nimsubiri mzee original wa Alinselema. I hope atatuondolea kiu hii!!!!!! Tunataka kuona SERA za ukweli za kumkomboa mwanamke, sio MAIGIZO.

Naomba kuwasilisha.

Queen Esther

- Alipokuwa Arusha kwenye kutafuta wadhamini alizungumzia kidogo juu ya kiwanda cha General Tyre, baada ya siku mbili Serikali ikakirudisha ndani ya imaya yake na kuahidi kukifungua hivi karibuni.

- Amepanda dala dala Tumemshuhudia magufuli akitamka kuwa kaamua kutembea na gari kwenye kampeni ili aone matatizo ya wananchi.

- Ameweka ahadi ya kutembelea Hospitali za Amana, mwananyamala na Temeke na alitembelea masoko, Samia amecopy na tumemshuhudia akifanya ziara kule Moshi akitembelea Hospitali na kwenye masoko

**Nimekupa mifano hii nikitaka uelewe kuwa Lowasa ana akili nyingi sana hivyo leo ameamua kuongea hivyo tu kwani angeongea mengi kwa ajili ya utatuzi wa matatizo na kuwaletea maendeleo wanawake kesho tungeshuhudia maCCM yameishaiga kujitangaza kwenye mikutano yao ya kampeni**
 
Kasema matatizo yao yatatatuliwa Kupitia Ilani ya Chama,ulitaka awaongopee kama nyinyi mnavyoongopa
 
daaah failure...et aongee nn..unapopewa nafac km ile ina maana ww ndo mtatuz so lazma useme utawasaidiaje tena kwa mikakat ip...aseee ww hata 'MENKWA' elimu jitambue...bwana manywele meupe hana la maana kapotea kwel nywele cyo akil jaman au ndo kuzeeka nywele ndo kazeeka na akil.

Unaongea kama vile Lowasa hajawahi kushiriki kampeni za ccm hivi ulishawahi kumuuliza Kikwete aliingiaje ikulu kwa kupata zaidi ya asilimia 80?
 
Usitudanga'anye Mama Rigina Alifanya kazi gani!?Lowasa Si Mtu wa maneno mengi ni mtu wa vitendo!
Heshima kwenu wana JF.

Nimefatilia kwa karibu sana sana hotuba ya Mhe. Mgombea u Rais kupitia UKAWA aliyoitoa hapa LAPF kwenye kongamano la wanawake BAWACHA na kubaini jambo moja kubwa sana.

Kauli mbiu ya kongamano ni "LOWASA NA HATMA ZA CHANGAMOTO ZA WANAWAKE TANZANIA"

Nimesikitika kuwa nilitegemea kwenye hotuba Yake ataweza kuelezea mikakati ya ukombozi huo wa mwanamke. Nasikitika kuwa sikuona mahali popote akiongelea changamoto hizo na jinsi ya kuzitatua.

Ameishia kuimba Wimbo wa Mhe. Magufuli "Alinselema Hadija, mchaka mchaka chinja" na kuzungumza mambo ya MAHABA!!!!!!!!

Nasikitika kusema mimi kama mwanamke nimeondoka na kiu yanguuuu!!!!!!!!!! Ngoja nimsubiri mzee original wa Alinselema. I hope atatuondolea kiu hii!!!!!! Tunataka kuona SERA za ukweli za kumkomboa mwanamke, sio MAIGIZO.

Naomba kuwasilisha.

Queen Esther
 
Kuntakit usiwadhililishe BAWACHA hasa Madame Halima Mdee Mkt na matangazo Yake kwenye media zote.

Queen Esther

Ivi nyie mlitegemea Lowassa aanze kuongea uongo kama mlivyozoea. Huyo ndio Lowassa,io ndio Chadema hao ndio Ukawa. Kwanza mkutano ulikuwa ni wa Bawacha Lowassa alikaribishwa na katika kukaribishwa kwake yeye aliwaomba akina mama KURA. Kuomba kura sio lazima useme nitawagaia kila mama mifuko ya viroba, cjui mjirodheshe, mara ooh nitafungua mahakama ya mafisadi. Yote hayo yapo katika katiba ya Tanzania wala haliitaji kusema ingia madaraka na kuvitekeleza. Unataka awe kama Tezi dume nitawanunulia meli, nitawajengea uwanja wa ndege. Kiongozi utakiwi kuongea sana onyesha kwa vitendo hapa kwa Chadema/Ukawa hakuna maneno mengi. NI UTEKELEZAJI TU SUBIRI KUANZIA TAREHE 26/10/15
 
Happy Birthday hahahahaaaaaa!!!!! Yaani wanawake wameacha vibiashara vyao masikini kuja kusikiliza happy birthday.

Hawana hamu wamekomaje????? Hawarudii tennnnaaaaa!!!!!

Queen Esther

Kweli kabisa mzee huyu msinii kweli kweli...amekusanya wanawake waje wamuimbie happy birthday
 
Janet Magufuli ni kati ya wanawake wachache ambao nina hakika akiwa First Lady hatasumbua.

Siku zote nina mfananisha mama Janet Magufuli na Mama Maria Nyerere. Huyo atakuwa mama wa wa TZ wote na Mhe. Magufuli baba wa TZ wote.

Mhe. Magufuli na mkewe Madame Janet Mambo ya kuchanganya kazi na familia hawataki. Kama umeisikiliza speech na mama Akilimali Leo amemuonya Madame Regina aachane na hayo Ma NGO na ajikite kuwasaidia wanawake na watoto.

Fanya analysis basi kabla ya kuponda.

Queen Esther

halafu dada mbona lowassa aliongea vizuri tu? na kwa nini useme hakukidhi kiu ya wanawake usijisemee? angalia usijekuwa umekeketwa uwezo wa kupembua masuala
 
Ulitaka akidhi kiu ya wanawake kivipi?
Ulitaka AWAFIKISHE KILELENI kama Anne Makinda alivyosema wamefikishwa kileleni na Kikwete?
 
Kuntakit usiwadhililishe BAWACHA hasa Madame Halima Mdee Mkt na matangazo Yake kwenye media zote.

Queen Esther

Dadaangu,
Lowassa hakutaka longolongo. Mahitaji ya akina mama kasema anayafahamu na akichaguliwa atafanya nao mkutano Arusha kupanga nao how to solve them! ulitaka nini zaidi!!?
 
Kuntakit usiwadhililishe BAWACHA hasa Madame Halima Mdee Mkt na matangazo Yake kwenye media zote.

Queen Esther

Laiti Lowasa asingekuja kwenye mkutano ule basi hoja yako hii ingekuwa na mashiko lakini madam kaja basi Halima alikuwa sahihi. Labda utuambie kuwa ulitegemea Lowasa aongee nini. Mama Regina umemuona hoja alizotoa, Lowasa umemuona kazi aliyowatuma wanawake, wewe ulitakaje tuanzie hapo
 
Nadhani umemsikiliza mama Regina Lowasa alivyotoa hotuba ya changamoto za wanawake, Lowasa kamwachia mkewe ajimwage yeye kawapa kazi moja wanawake ya kumtafutia kura
Changamoto tunazijua sanaa hata kipindi yeye akiwa waziri na PM zilikuwepo pia. Maswali ni kua Je anahistoria gani na changamoto za wanawake? Na pia hajaeleza ni kwa kivipi atazitatua, na hatumpigii kura mke wake. #HapaKaziTu #Magufuli for president.
 
Back
Top Bottom