Edward Lowassa hukukidhi kiu ya wanawake!

Edward Lowassa hukukidhi kiu ya wanawake!

Mh. Lowasa alialikwa katika mkutano.haikua mda wa kutoa hotuba ndefu. Alichokisema ndio muhimu kuwaunga mkono wakina wamama. Hawezi kuongea mengi na sera bado kinaandaliwa.
 
kuongea kila mtu anaongea na kila mtu huwa anajua anachotaka kuongea ila swala ni MAUDHUI au content ya anachokiongea lowassa haelezi mikakati ya kutimiza ahadi zake bali tu kutoa ahadi za jumla jumla ! hata anaejibu mtihani huwa anajua anachojibu ila swala huwa ni kuwa kAPATA AU KAKOSA kwa maana anachoandika kitakuwa ndo majibu au pumba

UKIWA HAUJUI UNACHOKIANDIKA basi utaandika pumba lakini anajua anachokiandika mwa maana mwenye akili anaondoka mwenye mtihani anajua atapata nini?
ki ukweli hana sifa za kuongoza wasomi andoke zake
 
Mh. Lowasa alialikwa katika mkutano.haikua mda wa kutoa hotuba ndefu. Alichokisema ndio muhimu kuwaunga mkono wakina wamama. Hawezi kuongea mengi na sera bado kinaandaliwa.

mkutano ulikuwa wa nani ,fatilia tangazo la mkutano huo
 
Ccm Mnahasira Na Lowasa! Yaan Hamlali ,angalien Msije Umkashndwa Hata Shughuli Za Uzazi! Inavoonekana Hatakama Ukiwa Kwenye Mechi Ukikumbuka Jina La El Kazi Inaharibka ,
 
Munapenda maneno mengi ndiyo maana nchi iko hivi. Jesus alisema maneno yenu ya we ndiyo au hapana mengi yanatoka kwa ibilisi.
 
Kabla ya hotuba wakina Mbowe wanamkaririsha mambo meengi mengi lakini mzee wa watu akinyanyuka tu kwenda kutoa hotuba yote yana evaporate. Yanapepea. Anabakia kukumbuka aliselema halija. Hahahahaha
 
Munapenda maneno mengi ndiyo maana nchi iko hivi. Jesus alisema maneno yenu ya we ndiyo au hapana mengi yanatoka kwa ibilisi.
Mbona Mbowe na Dr Slaa wana maneno mengi au umesahau. ?!! Lissu, Mdee
 
je kweli unaitaji rais dhaifu kama huyo
je kama atakuwa dhaifu hivyo mikataba ya kitaifa watakuwa wanamsaidia?
Ni aibu
tunataka kurudisha wakina mwinyi waliokuwa waongozwa na wake zao ?
Ili taifa ni la wasomi tuwwachie wenye akili zao wafanye kzi ua wamrudishe slaa,

Kanone kwa sasa tumeshachelewa.Tupo mstari wa mbele vitani.Vita lazima tushinde.Tutarudi nyuma pale tu tunapotaka kuretreat.Tunatakiwa tuweke matatizo yetu pembeni.Wakati wa evaluation bado.Tusonge mbele vita bado vya moto.

Tunahitaji wabunge wengi ambao watakuwa watetezi wetu.Tunahitaji kupunguza zile NDIYOOOOOO,hiyo ndiyo main objective/goal.
 
kanone
Mkutano ulikua ya wamama,muhimu yalinenwa na wahusika wamama. Mh. Lowasa,ni baba kwa hio,alihitimisha kama kiongozi,baba na anaepewa focus. Hatupati shida,hata kama angesalimia tu,akarudi kukaa,hamna shida. Haikua mkutano wake plz!!
 
Hahahagaga ccm acheni majungu kaein chini mujiulize kwa kina maisha yenyew mafup unarakiwa umwambie wazi kuw tunataka utufanyie ivi na ivi mtabak mkilaumu na chadem mfundisheni mh lowass kutalk but matuc sio mpango mi ni kipanya nimepita
 
Mh. Lowasa alialikwa katika mkutano.haikua mda wa kutoa hotuba ndefu. Alichokisema ndio muhimu kuwaunga mkono wakina wamama. Hawezi kuongea mengi na sera bado kinaandaliwa.

acha kutetea usichokijua,halima mdee alitangaza wk nzima kuwa lowassa anataka kuzungumza na wanawake na ndomana ikaitwa "lowassa na hatima ya wanawake" dat meanz lowassa alikua anaenda kuwaeleza wanawake njia za kwenda kutatua kero za wanawake na sio kama usemavo kuwa yeye alialikwa nooo
 
Ewe mungu tunusuru sisi watanzania ili tusiuziwe mbuzi kwenye gunia.Wenye nia ovu uwafichue mioyoni na machoni mwetu kabla ya uchaguzi ili tukafanye maamuzi makini
 
Uyu jamaa ni watu wachache sn wenye akili kubwaz tuliogundua.kwamba ni brainwashed...sasa wacha kampeni zianze asimame mwenyewe mtaona alivyo mweupe..hamna kitu pale!wengi bado hamjamfahamu ...
 
hv unadhani kuzungumza pekee inatosha? ata kama angezungumza mipango na michakato yote juu ya ukombozi wa kinamama na wote mngetoka mmefurah bt yote yangebaki kama story anazopiga m2 na mkewe chumbani bt 2kitaka kweli wanawake wa tanzania wakomboke na uharamia huu na ahadi za uongo wa wanasiasa au kupewa viti maalum bungen yote hayo ni danganya toto tu ukiangalia wanaofaidika na fursa hyo ni wachache sana bt kama leo wanawake wa tanzania wangejua ni ktba ya warioba ndo ilikuwa mkombozi wao na c lowassa au magufuli na samia leo hata mtu akija akasema kuanzia leo wakinamama mtapata hiki na hiki au mtakuwa hv au 2tawafanyia hv bt kama hakuna strong institution ambayo ni katiba na mambo yote yanayowahusu yakaweka humo ata aje ccm,cuf,chadema,act watawale wanawake wa tanzania watakuwa haki zao vko vlevle badala ya kusubilia huruma ya wanaume ndo wafanikiwe ktk mambo yao
Sasa alienda pale kufanya nini kama sio kuzungmza? UKAWA palipo na mapungufu kubalini fanyieni kazi haraka! Kama si mzuri kuzugumza I belive UKAWA kuna mathink tank atumie hao. Na km nasema yeye huwa haongei sana aandaliwe hakohako kaspeech kafupi lakini kenye sense!
 
  • Thanks
Reactions: snn
Ulitaka itwe room nini mbona sikuelewi!? Inamaana hujaelewa kuwa lowassa ni mtendaji sio mropokaji kama hao walevi wenzenu Kwa hiyo ulijua madame Regina alivyosema MZEE atawamalizia kiu yenu muitwe mmoja mmoja chumbani au? Hahahaaaa pole sana huna jipya ww lala na kiu yako kama vipi tia mkono

uropokaji upi mzee,unaweza kuwa bubu miaka 7 unasema sio muongeaji?
 
tatizo lako shule ni ndogo sana pengina haujaenda shule
tatizo la lowasa sio kuongea hana uwezo wa akili kuongoza wasomi ,
ivi kwa udhaifu huu atamwambia nini mtu kama mnyika, lissu?

Tulimuona slaa si chochote lakini tutamkumbuka,


Mkuu wacha wajitetee uwezo wake duni watauona kwenye kampeni....kwa sasa bado ameshikiwa na mbowe na mbatia...Ccm siipend ila kwa lowasa bado sanaa..hafikii ata.robo ya uwezo wa magufuli
 
Nadhani umemsikiliza mama Regina Lowasa alivyotoa hotuba ya changamoto za wanawake, Lowasa kamwachia mkewe ajimwage yeye kawapa kazi moja wanawake ya kumtafutia kura

Mkuu wewe ndiye uliyeelewa mchezo wa leo. Mama Regina ndiye aliyetoa hotuba na kueleza changamoto za akina mama. Ama kweli Nimemkubali Lowasa, ni mtu wa mipango haswa. Yeye anajua ana miezi miwili majukwaani nchi nzima, sasa ngoma ya leo kampasia First Lady mtarajiwa, watu wamebaki midomo wazi. Gari la Ukawa ndio linaondoka hivyo.

TUKUTANE JANGWANI JUMAMOSI
 
Back
Top Bottom