Edward Lowassa hukukidhi kiu ya wanawake!

Edward Lowassa hukukidhi kiu ya wanawake!

Eti, 'Tunataka Lowassa apewe saa nzima ahutubie'...kama si hoja za kitoto ni nini? Kweli mtu na akili yako unatoa hoja kama hiyo?
mtu mwenye mipango mipango mizuri unapata wapi maneno ya kuongea saa nzima.shida mmezoea kudanganywa, Safari hii mnalo.facts tuuuuuu tunaachange gear Kiwanja kingine.
 
Heshima kwenu wana JF.

Nimefatilia kwa karibu sana sana hotuba ya Mhe. Mgombea u Rais kupitia UKAWA aliyoitoa hapa LAPF kwenye kongamano la wanawake BAWACHA na kubaini jambo moja kubwa sana.

Kauli mbiu ya kongamano ni "LOWASA NA HATMA ZA CHANGAMOTO ZA WANAWAKE TANZANIA"

Nimesikitika kuwa nilitegemea kwenye hotuba Yake ataweza kuelezea mikakati ya ukombozi huo wa mwanamke. Nasikitika kuwa sikuona mahali popote akiongelea changamoto hizo na jinsi ya kuzitatua.

Ameishia kuimba Wimbo wa Mhe. Magufuli "Alinselema Hadija, mchaka mchaka chinja" na kuzungumza mambo ya MAHABA!!!!!!!!

Nasikitika kusema mimi kama mwanamke nimeondoka na kiu yanguuuu!!!!!!!!!! Ngoja nimsubiri mzee original wa Alinselema. I hope atatuondolea kiu hii!!!!!! Tunataka kuona SERA za ukweli za kumkomboa mwanamke, sio MAIGIZO.

Naomba kuwasilisha.

Queen Esther

Wewe na huyo wherehouse na lijamaa limoja mtakuwa mmetumwa sio bure but Lowassa ndiye rais wa tano jmt.
 
Hopeless, kwa hiyo ndo atakuwa anawaachia na kina Mbowe waongee. Kwa wenye ufahamu na kujitambua HATUMPI kura ya urais!

Hopeless man..unam judge mtu kutokana na hotuba nzuri..ndo maana mnalemazwa na maccm miaka nenda rudi..tunataka vitendo...action..nchi inahitaji maendeleo..you want sweet words and good plans zisizotekelezwa? ..hujielewi..grow up!
 
Kasema ana deka kwa kina mama na kuwa anafurahia MAHABA yao makubwa!!!!! Mh!!!! Kazi kwelikweli

Hiyo ndio speech tuliyoitiwa tena ikarushwa LIVE!!!!!

Hivi mdahalo na Ngosha ni lini??? UKAWA mtamkumbuka mzee Slaa na Lipumba. Wengine mtakataa lakini ndio hivyo.

Hili kongamano lilikuwa na vurugu sijawahi kuona. Mhe. Mbowe ndio aliokoa jahaza angalau ikawa afadhali. Ilikuwa ni Kama sokoni!!!!!

Queen Esther

Yaani leo nimeamini kwamba Lowasa hana uwezo wa kujena hoja. Leo kaishia kusema kuwa anadeka kwa akina mama waliohudhuria mkutano wa BAWACHA
 
Nimepoteza muda wangu kufatilia kwa makini Mkutano wa Edward Lowassa na wanawake wa DSM kutoka Ukumbi wa Millenium, ili nisikie Mhe Lowassa amewaandalia nini Wake na Mademu zetu.
Ila nimeshangazwa na hutuba yake, ambayo haikubabadua chochote cha kuwabadilishia awa viumbe!
Aisee UKAWA jipangeni, mgombea wenu hawezi kumiliki jukwaa, kusema ukweli!!

Ni vema ukatambua hao unaoona wanamiki majukwaa wanaongea maneno mengi hadi mengine yanawaweka kwenye aibu ebu soma hii mifano michache ya hao wagombea wako.
1. Magufuli - Msichague viongozi wanaoingia madarakani kwa kununua watu kwani kwa kufanya hivyo ndio imesababisha nchi kukosa maendeleo hadi sasa.
Kama utakuwa na akili timamu hapa anayesemwa ni nani kama sio Kikwete?

2. Samia - Mkitupa ridhaa ya kuongoza Taifa hili tutagawa Tsh, 50,000,000/= kila kijiji
Kama utakuwa na akili timamu je hiki kinachotamkwa ndio mahitaji ya watanzania? pia kumbuka ili vijiji vyote vipate fedha hizo basi zitengwe Tsh. Billion 960

3. Samia - Mkituchagua tutaleta maendeleo kwani tanzania ina rasilimali nyingi yakiwemo madini ya chuma ambayo tunaweza kuyavuna kwa miaka 200,000,000 (Million mia mbili)

Usitudanga'anye Mama Rigina Alifanya kazi gani!?Lowasa Si Mtu wa maneno mengi ni mtu wa vitendo!
Heshima kwenu wana JF.

Nimefatilia kwa karibu sana sana hotuba ya Mhe. Mgombea u Rais kupitia UKAWA aliyoitoa hapa LAPF kwenye kongamano la wanawake BAWACHA na kubaini jambo moja kubwa sana.

Kauli mbiu ya kongamano ni "LOWASA NA HATMA ZA CHANGAMOTO ZA WANAWAKE TANZANIA"

Nimesikitika kuwa nilitegemea kwenye hotuba Yake ataweza kuelezea mikakati ya ukombozi huo wa mwanamke. Nasikitika kuwa sikuona mahali popote akiongelea changamoto hizo na jinsi ya kuzitatua.

Ameishia kuimba Wimbo wa Mhe. Magufuli "Alinselema Hadija, mchaka mchaka chinja" na kuzungumza mambo ya MAHABA!!!!!!!!

Nasikitika kusema mimi kama mwanamke nimeondoka na kiu yanguuuu!!!!!!!!!! Ngoja nimsubiri mzee original wa Alinselema. I hope atatuondolea kiu hii!!!!!! Tunataka kuona SERA za ukweli za kumkomboa mwanamke, sio MAIGIZO.

Naomba kuwasilisha.

Queen Esther
 
Nikweli hakuna alichoongea ila wanawake sijui mekodiwa au wamekunywa viroba?ni kelele na kushangilia hata.mtu akipiga chafya wao wanashangilia
 
Ule mkutano Wa kinamama ndio waliomualika Lowassa,ulitaka aongee nini zaidi ya Hapo.
Mtoa post upimwe akili
 
Msubiri magufuli akuongopee watanzania muda wote tunafikiria kudanganywa haya msubiri Samia Sururu akuletee millioni 50 kijijini kwako pumbavvvvv
 
kwa bahati mbaya mama zangu bado hamjapata watu wa kwenda kusimamia masilai yenu kwenye chombo cha ku2nga sheria amna tofauti na walemavu leo ukimchukua mlemavu pale mnaz mmoja ukampa cheo au akawa mbunge ili awatetee wenzie kitendo 2 cha yy kufika bungeni na kuwa mbunge na kuitwa muheshimiwa bhasi usahau kuwa yeye ni mlemavu na kujiona amepona na tena ucsangae wakiwa wanazungumzia matatizo ya walemavu akawa anachangia mada kana kwamba yy ni mzima wkt yy ndo angetakiwa kuwa na uchungu ktk kuchangia kwan jambo linamgusa yy moja kwa moja ndo tatizo pia na kwa mama zetu pamoja na kupewa vti maalumu ving na wizara ya sheria kuwa chini ya wanawake kwa kpnd kirefu wameshindwa kutoa ktk katiba kpengele 2 kinachomkataza mwanamke kumiliki aridhi mpaka katiba ya warioba ndo imekitoa tatizo mama zangu mnataka strong people bt hamtaki strong institution ndo maana wanaofaidika ni wale wale majina yale yale lakn ingekuwa strong institution mngefaidika wote mpaka bibi yangu kijijini Queen Esther
 
Last edited by a moderator:
Kasema ana deka kwa kina mama na kuwa anafurahia MAHABA yao makubwa!!!!! Mh!!!! Kazi kwelikweli

Hiyo ndio speech tuliyoitiwa tena ikarushwa LIVE!!!!!

Hivi mdahalo na Ngosha ni lini??? UKAWA mtamkumbuka mzee Slaa na Lipumba. Wengine mtakataa lakini ndio hivyo.

Hili kongamano lilikuwa na vurugu sijawahi kuona. Mhe. Mbowe ndio aliokoa jahaza angalau ikawa afadhali. Ilikuwa ni Kama sokoni!!!!!

Queen Esther

Hivi bado unahangaika na Lowasa? kamuulize Kikwete mwaka 2005 aliingiaje ikulu na kupata zaidi ya asilimia 80
 
We kweli hamnazo
Lowasa hajawaita wakina mama Bali yy ndie aliyealikwa.sasa ulitaka yy aseme nn hapo.

daaah failure...et aongee nn..unapopewa nafac km ile ina maana ww ndo mtatuz so lazma useme utawasaidiaje tena kwa mikakat ip...aseee ww hata 'MENKWA' elimu jitambue...bwana manywele meupe hana la maana kapotea kwel nywele cyo akil jaman au ndo kuzeeka nywele ndo kazeeka na akil.
 
Cjaona cha maana hata kimoja alichowaambia, kaishia kuimba ti nselemaaa na kurudia hoja zaidi ya mara 2, Lowassa pumba kabisa. Eti wakamtafutie yye kura, unashindwa kuzunguka ufanye kampen unawatuma kina mama, pumbavu sana.
Hao wenye maneno mengi zaidi ya miaka 50 sasa wamefanya nini!!? hata MUNGU alishatuonya tusiwe watu wa maneno mengi 'NDIO" au "HAPANA" na kama unaweza kufafanua jambo kwa maelezo kidogo yatosha zaidi ya hapo ni UONGO
 
Nyie CCM taabu yenu mshazoea hela. Kama kweli ulikuwepo, nadhani kwa style ya kule ulikuwa na ndoto ya kusepa na kitita. Sasa baado ya ukimya ukaona uandike hivi. Pole agana na nyonga kabla hujaruka.
 
Back
Top Bottom