Hii slogan ya "sauti ya wengi ni sauti ya Mungu" inaweza kumtia hasira Mungu. Hebu tuachane nayo wapenda mabadiliko. Mungu hategemei wingi wa watu kuufanya maamuzi yake.
Hii slogan ya "sauti ya wengi ni sauti ya Mungu" inaweza kumtia hasira Mungu. Hebu tuachane nayo wapenda mabadiliko. Mungu hategemei wingi wa watu kufanya maamuzi yake.
Maigizo yapi,au ulitaka aseme atakuoa!
nimekua nikimfuatilia sana lowassa lkn sijapata kuona hii style ya kuongea dk10,9,7 hv kama atakuwa anaongea hv hv kwa dk hizo si atatukosesha kura huyu. wana ukawa wenzangu mulio karibu nae mwambieni basi
Sasa nimeamini kweli lengo lenu ni kumuua huyu mzee unasema apewe saa mzima kuhutubia?cha msingi jumamosi tunataka lowasa apewe saa nzima ya kuhutubia pale jangwani. ili atupe sera na mipango mbalimbali iliyopo katika ilani ya ukawa. kitendo cha yeye kupewa muda mfupi hakifai...
Sasa kama mgombea Urais wao kasomea maigizo unataraji nini?
Yaani nimecheka sana. Sijui siku ya kampeni atapngea nini? Ila naamini kwa vile ameandikiwa hotuba ndo kidogo atatumia dakika si zaidi ya nusu saaUnaalikwa kama mgeni rasmi utaongea dakika 4 tu yaani dakika nne alafu unachoka Unataka kupumzika... Pole....
Kweli eenh? Wewe wakati Nyerere anaongea hayo wewe ulikuwa umekaa wapi vile?Anayemtaka lowasa akanywe naye chai - by Nyerere 1995.
Na huo ndo ukweli Mkuu. Siku zote mafisadi kokote waliko wanatembelea na nyota ya fedha zaoKUMBE NDIO MAANA KINA CHENGE,TIBAIJUKA,MUHONGO NA NGELEJA HATUWASIKII KABISA WAKIONGEA? Ahsante sana kwa kutujuza hilo mkuu.
Ni msafi kuliko waliobaki huko!!! Subiri kampeni zianze ndipo utafahamu kuwa yeye ni msafi. mabomu yote yataruka. Cha msingi tusubiri kipenga cha mwisho.Hasafishiki huyu
cha msingi jumamosi tunataka lowasa apewe saa nzima ya kuhutubia pale jangwani. ili atupe sera na mipango mbalimbali iliyopo katika ilani ya ukawa. kitendo cha yeye kupewa muda mfupi hakifai...