Edward Lowassa hatoruhisiwa kugombea Urais!

Edward Lowassa hatoruhisiwa kugombea Urais!

kwa hisani ya H20

Kufuatia mwamba wa Kaskazini kuhamia upinzani, breaking news hiyo iliwastua sana Mkulu na Maza na hivi ndivyo ilivyokuwa.
Mkulu: Baby, vijana wamenitaarifu habari za nyumbani kuwa ni nzuri ila kuna mambo yamenistua
Maza: Jamani baba Wani vipi tena, kitu gani kimekustua?
Mkulu: Si huyu aliyekatwa, mwamba wa kaskazini?
Maza: Kafanya nini tena?, kashtaki mahakamani?
Mkulu: Hapana
Maza: Kaharibu tingatinga?
Mkulu: Hapana
Maza: Kafanyaje
Mkulu: Duh, kanichanganya kabisa. Si kahamia kule UKIWA
Maza: Yallllahh, toba. Eh, ya kweli hayo?
Mkulu: Kweli kabisa baby yaani hata hii PHD sina hamu nayo tena, sijui nimfanyeje aaarrrrgggggg.
Maza: Tulia mpenzi hata mie zimenishtua sana. Sasa itakuwaje
Mkulu: Atagombea
Maza: Yaani ile safari iliyoishia Dodoma imenza tena?
Mkulu: Ndiyo hivyo nasikia kajibu kuhusu Richm*nd eti oda zote zilitoka kwangu. Wallah sijui nifanyeje? Hata wale
vijana wangu akina Nepi hawataweza kujibu mapigo na Kinanda sijui yuko wapi, kwanza nasikia tingatinga
linajiendesha lenyewe. Hii ni hatare manake linaweza kuparamia nyumba za watu na kuleta maafa sana.
Maza: Itabidi tukatishe safari haraka hali isije kuwa mbaya zaidi.
Mkulu: Baby achana nao tule nchi si unaona tumekuja na huyu bwana mdogo Ally, manake alipania sana hii safari.
Tumalize ziara yetu then tutalikabiliana nalo huko huko tukifika. Ila nitawaambia waitishe press conference ili
kuwashukuru wana habari walivyoshiriki kuripoti mkutano wetu kule makao makuu.
Maza: Yani Reg*ina awe festi ledi? Kweli mwaka huu ni wa hasara kabisa. Kama ni kilimo hapo mkulima kala mbegu.
Duh yule dogo wetu Member aliharibiwa mambo yake na huyu wa kaskazini. Na sasa tingatinga naye
anatishiwa? Maskini Shosti wangu Jenet anaweza kuukosa ufesti ledi eeehh?
Mkulu: Usijali nitajua la kufanya. Saaasa lile goli la mkono sidhani kama kuna mshambuliaji yeyote kwenye timu ya
Umoja ni Ushindi ataweza kulifunga. Huyu Nepi ye ni maneno tu, kama ni mshambuliaji atakuwa ni yule
Torres wakati akiwaChelsea. Kinanda ni sawa na Drogba wa sasa, yaani wote wamechoka.
Maza: Ina maana mafuriko hayazuiliki kwa mkono? Hata hili tingatinga nalo haliwezi kuchimba mitaro na kuelekeza
maji mtoni?
Mkulu: Baby nimeshakwambia tingatinga bila dereva haliendi, aaahh! Mwaka wa hasara huuu. Ngoja nimalize mhula
wangu niikapumzike Mzoga kuleeee. Ila hata huko lazima akatwe tu hamna jinsi
Maza: Umekumbuka usemi wa PM mtoto wa mkulima wa kukatwa eeeeh.
Mkulu: Nammiss sana mzee wa kulia lia. Yaani hata alivyokatwa alilia maskini duh! kweli mwaka huuu kazi ipo
Maza: Kwani bebi si uliongea na wa Kaskazini kwamba lazima wote waliokatwa wajiunge na tingatinga?
Mkulu:Achana naye sijui amekula maharage ya wapi yule? anaongeaongea ovyo tu, nazidi kumdharau, wala si rafiki
yangu tena, eti nimehusika na Rich, eti alitaka kuikatilia mbali Rich nikatoa oda. To hell I dont care. Tulale
baby:
Maza: Ok baba wani, mpenzi wangu usijali, ila lifanyie kazi hilo, tutaumbukaje? Lala mpenzi, I love you. Mwaaaaaa!
Mimi nimeipenda sana hii.
 
Last edited by a moderator:
Naomba nimsaidie kujibu!

Kama nimekupata vema:

-wewe ni usalama wa taifa
NDIYO!

-tangu mwaka 2010 umekuwa ukikisaidia chadema kikue
NDIYO!

-umekipa siri nyingi chadema
NDIYO!

umehudhuria Mkutano wa mheshimiwa rais kwa njia ya Skype.
NDIYO!

Hivyo basi:

-CCM wanapanga kumchafua Edward
NDIYO!

-Na kwamba alianza kampeni nje ya muda
NDIYO!

-Na kwamba ni fisadi
SIJUI!

Maswali sasa:

-Upi uaminifu wa kujivunia ulionao kwa taifa lako wa kuvujisha siri?
SIJUI!

-Kampeni nje ya muda ilikuwa ni katika chama gani ambazo Edward alianzisha?
CCM!

-Je,uenguaji wa wale wegine 38 ulikuwa ni kwa sababu ya huo ufisadi,kufanya kampeni nje ya muda au kuna mengine?
NDIYO! LAKINI SINA UHAKIKA.

Hayo ni yangu! Akipenda atakuja kujibu mwenyewe. KAMA ANA UBAVU!
 
Huyu Informer ni kama anataka kusema kitu vile..tusipuuze habari zake huwa anazitoa kule
 
Last edited by a moderator:
wewe una akili sana, salama ya chama cha chadema ni lowassa ashinde urais, akishindwa kitakuwa na hali mbaya haijawahi tokea, viongozi wote wa ukawa watalaumu chadema kwa maamuzi yao ingawa sasa wanaonekana kitu kimoja.

acheni ujinga,moja kati ya sifa za mjasiriamali ni kuwa risk taker,hakuna mwenye pesa anayewekeza kwa mategemeo ya kulipa 100% ni pata potea.the same politics is like enterpreneurship.
 
Hizo rushwa aligawa akiwa chama gani na sasa ni mgombea mtarajiwa kupitia chama gani?

Pengine mimi sijui sheria namna ilivyo na utaratibu wa mashtaka kulingana na ushahidi...

Hebu nifungue hapa ndugu...

Zaidi ya yote, wana ushahidi mwingi sana wa kimaandishi, sauti na video kumuonyesha Lowassa akigawa Rushwa na kufanya kampeni kabla ya muda muhafaka.Kwa kifupi, ushaidi tuliouona, Lowassa atazuiliwa na mahakama.
 
Sidhani kama haya ni maandishi ya mwanzisha mada....vitisho mbuzi hivi.....
 
Kama wewe mleta mada ni mwanausalama wa TISS basi hatuna usalama nchi hii, mnatuchagulia rais ninyi ni akina nani? Kwann mko bize na siasa kuliko mambo mengne? Mmeshindwa kuuvunja mtandao wa kuvamia vituo vya polisi mnaleta drama za siasa, kwann hamzuii inshu kutokea mnasubiri itokee ndio muanze kuleta mihemko? Hamtufai ninyi.Mlitakiwa mzuie maovu sio mnaleta hadithi baada ya tukio. Gambazzzz mtakunyaa mwaka huu.
 
huyu sio tiss...tiss kindaki ndaki hawakurupuki kama huyu juha...waje na hayo mafile yao wajaribu kufnaya hicho wanachopnga kufanya.... informer my foot...shienzi kabisa

Huyu ni kati ya magamba yaliyochanganyikiwa na kwa kuwa anaweza kutuma utumbo kama huu akajisahau hata jukwaa linalohusu vichekesho na utani(jokes) asamehewe tu bure mradi atakuwa ameshalijua jukwaa linalomhusu. Humu ni ma-grea thinkers tu. Asante kwa kumtambua na wewe.
 
Rubbish!! Hivi mbona wakati CCM wanahangaika na kukata watu hakuna aliyewasumbua kule Dodoma!?? Kamwe hakuna aliyesema sijui tumzuie JPM sababu ni fisadi wa kuuza nyumba zetu hovyo, Leo kinawawasha nini CDM wakimuweka mgombea wanayemuona anafaa? Kama mnahisi hafai then go and vote guys!! Naona mnaweweseka sana!
 
wanaanchi ndo wenye nchi

Masai dada, sisi ndio wenye nchi na maamzi lakini kimuundo tumejiwekea utaratibu wa kutuongoza ili tuende kwa kuelewana na kufikia malengo. Maamzi yetu ni lazima yafuate taratibu tulizojiwekea. kuna taasisi ambazo zinasimamia maswala tofauti ikiwa ni pamoja na kuchunguza wagombea Urais na kushauri vyombo vya uteuzi. kudharau ushauri wa vyombo hivyo (mfano TISS) ni kuambua mustakbal mbaya wa taifa.

CCM walijua kuwa Lowassa anapendwa na ana wafuasi wengi lakini waliona mbali wakaamua kutompendekeza, sio kwa chuki bali kwa kulinda maslahi ya taifa. Viongozi wa CDM wamefanya tamaa tu ya kutaka kuingia IKULU bila kujali maslahi ya taifa.
 
masi dada yawezekana kuna kitu flan usichokijua kuhusu TISS na mtu kuingia ikulu..
Lowasa tunajua mnamkubali lakn hawezi kuingia ikulu kwanamna yoyote ile
Lowassa anaijua Tiss kuliko wewe.peleka makalio yako huko wakayabonyeze kizenji
 
Hii nchi ni ya wananchi.., hata kama aliiba nini na kufanya biashara gani..,sisi ndio tunamtaka! WE FUCKN' DON'T CARE BASTARD! Nitampigia kura.., na for the first time katika maisha yangu niko tayari kufa kwenye maandamano.., jaribuni kumkata tena muone.., mbuzi nyie!
 
Kwani ikulu kuna nini mpaka mnatumia nguvu kubwa na stori za kugushi hivyo kumzuia mwenzenu asiebde uko
 
Umeshakojoa au umekojolewa.basi kalale sasa

Bahati mbaya hamtumii kufikiri kwa ubongo ila mnakimbilia matusi. inawezekana kwa kuogopa matusi yenu tukakaa kimya tusiwaambie/kuwaonyesha njia lakini mtapopotea mtakuja kutulaumu kwamba tulilifaham hili hatukuwaambia.

Hata hivyo nashukuru kwa mafuta uliyonipaka, u-mzoefu!
 
Back
Top Bottom