Edward Lowassa hatoruhisiwa kugombea Urais!

Edward Lowassa hatoruhisiwa kugombea Urais!

Informer

Masikini makufuli,chaliiii kifo cha mende !Amesahaulika kabisa utadhani sio mgombea urais wa chama cha mafisadi !Habari ya mujini ni lowassa!
 
Last edited by a moderator:
Umelewa amani wewe, kumshitaki Lowassa ni sawa na kuwashitaki chadema na ukawa woooote popote walipo wanachama na washabiki wao. Hivyo unahatarisha amani ya nchi hii kwa kutumia ujumbe feki kama huu. wananchi wa sasa sio sawa na wale wa zama za akina mtikila na Mrema watailipua nchi hadi miale iwafikie akina Ocampo kule the Hugue. Watu hawadanganyiiki tena, CCM imeshalikoroga hakuna cha TISS wala teeth tena kwenye hili kama kuna kesi haiwezi kusubiri muda huu tete kwa taifa.
 
Unapotoa mada humu ujue kuna watu wana akili nyingi kuliko wewe, Kwanza hiyo list unayeitaja kwamba TISS wanaishughulikia ili wawa chafue kwa ufisadi akiwemo Lowasa ni list ambayo wengi wao walikuwa karibu sana na Ikulu, Kumbuka Rostam alikuwa nani ndani ya ccm kabla haja acha ubunge na nyadhifa zote za chama, pili Lowasa alikuwa waziri mkuu ,mtu ambaye ki utawala ni watatu kutoka Rais, Wengine wote walikuwa Mawaziri wa serikali ya Mheshimiwa JK , Lowasa hajaropoka kusema Richmond alipata maagizo kutoka juu (sio mbinguni). Sasa hao TISS wata mkumba na Huyo wa JUU, Maana itakuwa MWAGA MBOGA NA SISI TUMWAGE UGALI. Lowasa hajasema wajuu ni nani ila if some one have big empty head like you wont know what is JUU
GALI
 
Ndugu Mbowe,

Mmeangaika kwa kipindi kirefu kukijenga Chadema, lakini umekiuza. Umekibomoa chama na kuingia kwenye mitego ya CCM ambayo mmekwepa kwa muda mrefu.

Kutokana na dharura iliyopo, napenda niwataarifu kwamba, Tumeshirikiana kwa kipindi kirefu, tangu 2010, na lengo kubwa limekuwa ni kulisaidia chama chenu kikue. Tumeweka maisha yetu hatarini kwa ajili yenu ili ukombozi upatikane. Kwa kifupi wengi ndani ya TISS wamechukizwa na uamuzi huu, siyo wa kumkaribisha Lowassa, bali wa kumpa nafasi kwenye Urais, na bila shaka wataungana na Magufuli. Zitto alipowekwa, tuliwaambia na ushahidi, na mkakinusuru CHADEMA. Kila mara tunawapa nyaraka na ushahidi mwingi. Kwa nini mmetupuuza?

Chadema mmeonekana kama wasaliti na watu wanaotafuta madaraka kama lowassa. Hasa Mbowe, bila kuangalia maslahi ya umma.Dr. Slaa aliogopwa zaidi na watawala

Hivi sasa chama tawala kina fanya mikakati mizito kumzuia Lowassa kugombea. Kabla ya Dodoma, kuna wanasheria na Makachero toka TISS waliwekwa kukusanya ushahidi kutoka ndani na je ya nchi, dhidi ya Lowassa, Rostam, Karamagi na Chenge. Na kwa taarifa yenu Apson anafanya kazi ya TISS siyo ya Lowassa. Chama inashirikiana na Serikali za Uingereza na Marekani kuonyesha uchafu wa Lowassa. Zaidi ya yote, wana ushahidi mwingi sana wa kimaandishi, sauti na video kumuonyesha Lowassa akigawa Rushwa na kufanya kampeni kabla ya muda muhafaka.Kwa kifupi, ushaidi tuliouona, Lowassa atazuiliwa na mahakama.

Kikao cha Jana usiku ambayo Rais Kikwete alishiriki kupitia Skype imedhamiria kutumia vyombe vya dola na vya habari kumuanika Lowassa na uchafu wake. Kwa maana hiyo Lowassa haendi kokote. Mkimisimamisha mmekwisha. Wasiwasi wa CCM ilikuwa ni Dr. Slaa na siyo Lowassa. Lowassa ana fedha nyingi sana nje ya nchi hadi na biashara haramu. Account zote zimeshapatika. Rostam anafanya kazi nzito, na hawa wote wanakuja kuunganishwa na Chadema pamoja na Mbowe.

Kadhalika kuna watu wengi sana kutoka CCM ambao wanakuja kuisambaratisha chama Chenu. CCM walijua wazi kabisa kwamba Dr. Slaa asingekubali uchafu wa Lowassa na angejiuzulu Lowassa akikaribishwa na kundi lake la Mafisadi. Hi imeshatokea, kwa maana kwamba CCM wana taarifa za Dr. Slaa kujiuzulu ingawa hawana uhakika. Kazi kwenu ila mkipuuza huu ushauri hamna chenu.

Sitaongelea ''waraka'' ulivyoandikwa kama umeandikwa na mtoto wa darasa la saba, wala sitaongelea maneno rahisi ya kiswahili yalivyokosewa ila nitasema Lowassa AMEWATISHA SANA SANA CCM. Iweje kama Dr Slaa ''aliogopwa zaidi na watawala'' sasa watawala hao hao wahahe sana mpaka kufanya vikao vya skype na kila aina ya kuhangaika? Imekula kwenu. Sana sana mwandishi wa huu uchafu ni saizi ya kina Juliana Shonza ambao wameshaona kuna hatari ya kukosa viti maalumu kwani nafasi watakazopewa CCM zitakuwa chache sana kwani hawatakuwa na uwezo wa kupata wabunge wengi kama miaka ya nyuma!
 
What I know lowasa ni political liability than asset mark my word muda utatueleza
 
Kwanza inaonekana hata uwezo wako ni mdogo kiasi cha kuwa informer wa tiss au mfanyakazi wao. Pili siri na ushauri uliokuwa unawapa chadema kama ni kweli hukua unazilleta jukwaani humu ilikuwa ni siri yako unakabidhiwa bahasha unasepa. Au ulikuwa unatoa msaada tu kwa chama bila bahasha? Sasa leo kusahau maadili na miiko ya kibarua chako cha u-informer na kuja kuanika madhaifu yako Jf bado tukiamini unachotulisha?
 
Bwahahaha tiss my foot


hawa ndio wanaotembea na vitambulisho feki na kuweka juu ya mea za baa na kujitai mimi ni TISS..hawa ndio wanaharibu jina la taasis hii nyeti...ukisoma kwa makini ameandika kwa kupanik sana....na huyu ni wale team membe ambao wanaweweseka...mjinga ndo atakueleawa na kukuunga mkono...anadhani uamzi huu umefikwa kwa pupa na haraka kama afanyavyo yeye anapolala na malaya kwa usiku mmoja...watu wamekaa kwa mda wa zaidi ya wiki wakijadili na kuumiza kichwa...wamezingatia prons and cons....halafu huyu ----- anakuja na uharo hapa...

safari hii mtanyooka tu..na lowasa hapo alipo ametoa tip kidogo tu juu ya huyo anayejiita mamlaka ya juu...wakijichangnaya ndio wataisoma namba...huyo kikwete na tiss yake ndio wamemuuza kwa kiasi kikubwa mama tanzania...mama tanzani ameamua safari haendele kunyonyesha matoto yanayong'ata titi lake..anayaachisha kwa hasira kali na laan juu...upuuzi kama huu huyu hatuutaki kabisa....
 
hivi lowasa akishindwa uchaguzi,itabidi arudi tena CCM?thinking loudly
 
Kwanza inaonekana hata uwezo wako ni mdogo kiasi cha kuwa informer wa tiss au mfanyakazi wao. Pili siri na ushauri uliokuwa unawapa chadema kama ni kweli hukua unazilleta jukwaani humu ilikuwa ni siri yako unakabidhiwa bahasha unasepa. Au ulikuwa unatoa msaada tu kwa chama bila bahasha? Sasa leo kusahau maadili na miiko ya kibarua chako cha u-informer na kuja kuanika madhaifu yako Jf bado tukiamini unachotulisha?

huyu sio tiss...tiss kindaki ndaki hawakurupuki kama huyu juha...waje na hayo mafile yao wajaribu kufnaya hicho wanachopnga kufanya.... informer my foot...shienzi kabisa
 
kama tukimkataa Lowasa kwa sababu ni mchafu basi hata akitubu Mungu hatamkubali,hakuna njia nyingine ya kuondoa hawa majambazi madarakani tusipomkubali Lowasa,nawahakikishia ccm itashinda uchaguzi mkuu kama kawaida na itatawala tena miaka kumi na Magufuli atafanya kazi na walewale maana hawana jipya,Lowasa atatusaidia kuiondoa ccm halafu tugeukiane baada ya ccm kuzikwa,hapo ndiyo tutaona njia

Kauli yako inatia kuchefuchefu kuufananisha ukuu wa Mungu na chadema!!!

Come on... This is just politics!! Yaani eti usipomsamehe Lowassa wewe chadema na Mungu hawezi msamehe!!??

Serious!!!!!!
 
Back
Top Bottom