Edward Lowassa aumbuka Arumeru Mashariki

Matokeo ya mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM huko Arumeru yanaonyesha jinsi mtu huyu alivyo hatari pamoja na ushahidi wote kama huu -Na bado!

Mkuu Mkandara with due Respect! Kweli Unaamini Lowasa na Uhatari wake ambao wewe unaukubali hapa Angeweza Kutumua SMS kuelekeza Mtu akatoe Rushwa? Hivi Lowasa ni jitu gani linaloshindikana na CCM yenye Jeshi, Polisi, Mahakama, Takukuru ambao wakuu wake wote ni Wateule wa Rais ambaye kuna watu wanataka Kutuaminisha kwamba amemtangazia Vita Lowasa
 
Matokeo ya mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM huko Arumeru yanaonyesha jinsi mtu huyu alivyo hatari pamoja na ushahidi wote kama huu -Na bado!
Huwezi kuamini mimi nimefurahishwa sana na matokeo haya regardless sipendi kusikia ili jimbo linarudi CCM, kinachonifurahisha ni unafki tu wa CCM kama walikuwa hawamtaki huyu kijana walishindwa nini kumpiga mkasi halafu wakarudisha jina lingine? si mnakumbuka Kigwangalla alipata bahati ya mtende akaachwa Lucas Selelii aliyeshika nafasi ya pili kwa visingizio eti amepoteza mvuto!! shenzi kabisa hawa Magamba.
 

Kwa hiyo wewe ni msemaji wa Chadema JF?
 
Ndio maana mkuu wangu unashiabikia vitu usivyovijua. CCM hawakumtaka huyu mtoto kwa sababu ni pandikizi la Lowassa na sii sababu nyingineyo. Vita hii imeanza toka uchaguzi uliokwisha 2010, EL akijaribu kupandikiza watu wake na ndivyo mchezo wa siasa siku zote na karibu sehemu zote duniani yenye Demokrasia. U need money to have power or use influence (lobby) to gain money na unapokuwa na Power unajenga mtandao. Hivi ni vita baina ya viongozi wanaojenga mtandao wao kwa maandalizi ya uchaguzi wa mwaka 2015. Sijui kuhusu Chadema, lakini vyama vingine vyote tayari vimeshaanza mchakato wa kimtandao kujiandaa na uchaguzi wa mwaka 2015.
 
Kwa hiyo ni msemaji wa Chadema JF?
Mtajibeba, huyo ndio Edward Lowasa bana!! kaisambaratisha kamati kuu yote ya CCM hoi, leo Nape ule ufaster wake wa kupost habari haraka Facebook mpaka saa hizi kaingia mitini, chezea Lowasa wewe!!
 
mshindi wa kwanza na wapili wote walitoa rushwa. kwa hiyo ni mpambano kati ya watoa rushwa. mwenye dau kubwa ndiye anasubiriwa kuapishwa na Gaucho a.k.a bi kiroboto
 
Kama ungelijua tu yanayotayarishwa kwa Taifa la kesho sidhani kama ungekuwa na fursa hata ya kusema uloyasema kwa shangwe.

Mkuu Mkandara,
Huo ni msimamo wangu na mtazamo wangu.

Na wewe uwa nakushangaa sana kujikita Chadema.
 

Mkuu Mkandara mimi nimekusoma vyema, ila mimi sipendi unafki wa CCM, hawa Magamba walitakiwa wajifunze kwenye taasisi kama TFF, kule kuna mtu anaitwa Michael Wambura, hili jamaa ni jizi live, lakini nalo lina tamaa ya madaraka, sasa wao TFF huwa hawapigizani nalo kelele ukifika wakati wa uchaguzi yeye akichukuwa fomu basi wakati wa kuyajadili majini huwa wanakata jina lake kwa sababu za kukosa maadili Period.
CCM wanapaswa kujifunza hapo, usisubili mtu mpaka aje kuwasumbuwa kwenye uchaguzi kama mna sababu zenu za msingi hamumtaki.
 
Mkuu Mkandara,
Huo ni msimamo wangu na mtazama wangu.

Na wewe uwa nakushangaa sana kujikita Chadema.
Duh.. mkuu wangu sikushangai wewe kujikita CCM hata kidogo ni mapenzi yako lakini kufurahia ushndi wa Sioi kwa sababu ya Chadema hapo unakanyaga kinyesi..Mimi naamini ktk mageuzi na nazijua tofauti zangu na baadhi WanaChadema ambao maskini ya Mungu hawajui kinachoendelea. Mimi nayajua matatizo yao na ndicho kinachonipa moyo wa kuyaleta mabadiliko ambayo siwezi kuyafanya chama kingine chochote isipokuwa Chadema. Najua nachokifanya kina malengo mema je wewe unajua kwa nini unamshabikia Lowassa?
 
Mkuu Mkandara,
Huo ni msimamo wangu na mtazama wangu.

Na wewe uwa nakushangaa sana kujikita Chadema.
Umenikumbusha Mkandara anataka kujitoa Chadema kwa ajili ya Feedback... hahahaa.
 

Nimecheka kwa nguvu nikasahau kama nipo ofisini,kweli Lowassa ni kidume CCM!
 
Matokeo ya mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM huko Arumeru yanaonyesha jinsi mtu huyu alivyo hatari pamoja na ushahidi wote kama huu -Na bado!

Binafsi nimekata tamaa na huyu Lowassa,taratibu naanza kuona hakuna tena uwezekano wa kumzuia kuingia Ikulu.Mungu tuepushe na hiki kikombe cha mateso in the name of EL!
 
Labda wewe ndio huelewi.. CCM wamehalalisha Ufisadi kwa nini unashangaa huyu Michael Wambura ili hali 3/4 wanaukumbatia ufisadi kama mfumo bora wa kujitajirisha chini ya nahodha wao EL. Kinachogombewa CCM ni kundi lipi lichukue usukani na binafsi yangu namuogopa EL utadhani Putin wa Urusi..
 

sell this to the kids maybe!

.....yaani lowassa atume such self-incriminating sms? the guy is a lot smarter than that my friend!
that's why he's the most successful criminal on this land.
jamaa anaiba left right and centre na hakuna wa kumkamata.... sana sana anaishia kuimbiwa mapambio huko makanisani!!

mwakyembe & sitta had an opportunity to nail this criminal but blew it....so WTF!
 
Umenikumbusha Mkandara anataka kujitoa Chadema kwa ajili ya Feedback... hahahaa.
Mkuu nilisema kama kuna mtu ataweza kunifanya nitoke Chadema basi ni huyu jamaa. Na sisemi Uongo kwani niliondoka CCM kwa sababu gani zaidi ya kuona viongozi mafisadi? Hata Dr.Slaa aliondoka CCM kwa sababu ya mtu au watu na sii chama. Cha ajabu kipi?
 
Mkuu Mkandara,
Huo ni msimamo wangu na mtazamo wangu.

Na wewe uwa nakushangaa sana kujikita Chadema.
ritz achana na hayo kasome thread ya Lema kukabidhiwa mashine gun Arumeru Mashariki vicheche vyote tafuteni mashimo maana vichaka tumeshafyeka.
 
Huyu El mtamuua kwa kisukari sasa kwa jinsi anavyoandamwa.
 

Mkuu Mkandara,
Naona tupo kwenye chumba cha mtihani, mie nipo upande wa yoyote anayepambana na Chadema huo ndio msimamo wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…