Paul Makonda
Member
- Jul 8, 2011
- 97
- 186
Takukuru Leo wameamua kumgeuka Edward Lowasa na vibaraka wake katika marudiano ya uchaguzi wa Arumeru. Katika sakata Hilo katibu wa UVCCM wilaya ya Monduli ndugu Ezekiel Mollel ametupwa rumande Mara baada ya kukamatwa na simu yake ilipo pekuliwa na kukutwa na mesej alizokuwa Akiwasiliana na Lowasa kuhusu kuchukua hela kwa askofu na mathius manga kwa Lengo la kwenda kuwahonga wajumbe wa arumeru Mashariki.
Katibu huyo amekiri kupewa maelekezo hayo na Lowasa na kuomba asamehewe kwa kuwa Lowasa ni kiongozi mkubwa yeye asingeweza Kuwa na ujasiri wa kumkatalia. Hadi wakati huu Ezekiel Mollel na Askofu wapo rumande.
Pia katika tukio lingine Fred Lowasa amethibitika kumhonga ticket ya ndege Elirehema kaaya ili amsaidie Sioi aweze kushinda. Kwenye simu ya elirehema Kaaya zimekutwa mesej Kuwa nakulipia ndege pamoja na kukupa lile fungu la kuwapelekea wajumbe. Kwa ushahidi huu hadi sasa elirehema Kaaya yupo rumande.
Wakati wowote mambo haya yatapelekea wahusika kupelekwa mahakamani.
Wana Arumeru mashariki wafanye uchaguzi kwa amani na utulivu na tena wasiwe na hofu yoyote.
Pamoja na kwamba MOD hawaweki post muhimu ili zichangiwe,hii ya leo ni barbar,nilipata kusema EL URAIS KWAKE NI NDOTO DHIDI YA Jk1 team.RUSHWA NI MWIKO KWA MWANATANU.Takukuru Leo wameamua kumgeuka Edward Lowasa na vibaraka wake katika marudiano ya uchaguzi wa Arumeru. Katika sakata Hilo katibu wa UVCCM wilaya ya Monduli ndugu Ezekiel Mollel ametupwa rumande Mara baada ya kukamatwa na simu yake ilipo pekuliwa na kukutwa na mesej alizokuwa Akiwasiliana na Lowasa kuhusu kuchukua hela kwa askofu na mathius manga kwa Lengo la kwenda kuwahonga wajumbe wa arumeru Mashariki.
Katibu huyo amekiri kupewa maelekezo hayo na Lowasa na kuomba asamehewe kwa kuwa Lowasa ni kiongozi mkubwa yeye asingeweza Kuwa na ujasiri wa kumkatalia. Hadi wakati huu Ezekiel Mollel na Askofu wapo rumande.
Pia katika tukio lingine Fred Lowasa amethibitika kumhonga ticket ya ndege Elirehema kaaya ili amsaidie Sioi aweze kushinda. Kwenye simu ya elirehema Kaaya zimekutwa mesej Kuwa nakulipia ndege pamoja na kukupa lile fungu la kuwapelekea wajumbe. Kwa ushahidi huu hadi sasa elirehema Kaaya yupo rumande.
Wakati wowote mambo haya yatapelekea wahusika kupelekwa mahakamani.
Wana Arumeru mashariki wafanye uchaguzi kwa amani na utulivu na tena wasiwe na hofu yoyote.
Sio kazi ya Mods kuleta topics za kuchangiwa bali ni kazi ya members wote, pili unapoongelea rushwa Jakaya Kikwete huwezi kumtoa katika watoaji na wapokeaji rushwa, tatizo ninaloliona hapa wengi siasa hizi za kimagumashi mnajifunzia humu JF lakini hamjawahi na hamtawi kuingia kwenye Battle ground.Pamoja na kwamba MOD hawaweki post muhimu ili zichangiwe,hii ya leo ni barbar,nilipata kusema EL URAIS KWAKE NI NDOTO DHIDI YA Jk1 team.RUSHWA NI MWIKO KWA MWANATANU.
Siasa uchwara ( gutter politics ).Poltics za kihun hzo, hao takukuru wamepewa meno ya kung'ata hvo na nan?Magamba bhana
Na hii kitu ndio inanitia woga sana kuwa 1. kweli serikali iliyopo madarakani ina nia ya dhati kupambana na rushwa na 2. iwapo kweli mchakato wa kumpata mgombea urais 2015 utahuwa huru na wa haki... Kwikwete hana credibility yeyote ile kumnyooshea kidole yeyote ndani ya CCM kuhusu rushwa, kila mtu makini anajuwa Kikwete aliingizwa madarakani na kundi lake la mtandao kwa nguvu ya Pesa chini ya majemedari wake Rostam Aziz na Lowasa not otherwise.
Sio kazi ya Mods kuleta topics za kuchangiwa bali ni kazi ya members wote, pili unapoongelea rushwa Jakaya Kikwete huwezi kumtoa katika watoaji na wapokeaji rushwa, tatizo ninaloliona hapa wengi siasa hizi za kimagumashi mnajifunzia humu JF lakini hamjawahi na hamtawi kuingia kwenye Battle ground.
Kwikwete hana credibility yeyote ile kumnyooshea kidole yeyote ndani ya CCM kuhusu rushwa, kila mtu makini anajuwa Kikwete aliingizwa madarakani na kundi lake la mtandao kwa nguvu ya Pesa chini ya majemedari wake Rostam Aziz na Lowasa not otherwise.
Pamoja JF kujulikana kama Home of Great Thinkers lakini nasikitika sana inapotumiwa kama sehemu ya propaganda
Sitaki kusema mengi lakini sijona hata mtu mmoja kujaribu kudadisi hii habari inaukweli kiasi gani, kila mtu anrukia kwenye hitimisho tu
takukuru leo wameamua kumgeuka edward lowasa na vibaraka wake katika marudiano ya uchaguzi wa arumeru. Katika sakata hilo katibu wa uvccm wilaya ya monduli ndugu ezekiel mollel ametupwa rumande mara baada ya kukamatwa na simu yake ilipo pekuliwa na kukutwa na mesej alizokuwa akiwasiliana na lowasa kuhusu kuchukua hela kwa askofu na mathius manga kwa lengo la kwenda kuwahonga wajumbe wa arumeru mashariki.
Katibu huyo amekiri kupewa maelekezo hayo na lowasa na kuomba asamehewe kwa kuwa lowasa ni kiongozi mkubwa yeye asingeweza kuwa na ujasiri wa kumkatalia. Hadi wakati huu ezekiel mollel na askofu wapo rumande.
Pia katika tukio lingine fred lowasa amethibitika kumhonga ticket ya ndege elirehema kaaya ili amsaidie sioi aweze kushinda. Kwenye simu ya elirehema kaaya zimekutwa mesej kuwa nakulipia ndege pamoja na kukupa lile fungu la kuwapelekea wajumbe. Kwa ushahidi huu hadi sasa elirehema kaaya yupo rumande.
Wakati wowote mambo haya yatapelekea wahusika kupelekwa mahakamani.
Wana arumeru mashariki wafanye uchaguzi kwa amani na utulivu na tena wasiwe na hofu yoyote.
Nduguyetu joseph Peter, inaonekana wewe umebobea upotoshaji na umebobea Kabisa. Mimi naomba ni toe facts Kama zilivyo na nipo tayari kuwa challenged na mtu yoyote. Kwa sasa hivi nipo nje ya ukumbi wa mkutano wa kupigia kura na wajumbe wameshaingia wote wakiwa wamependeza na mashati yao ya kijani na njano na nimefurahia Sana kumuona kamanda wangu Elirehema Kaaya akiingia ukumbini kwa nyuso ya furaha kabisa hata baada ya kupigwa msukomsuko na maafisa wa takukuru.
1. Elirehema Kaaya alikwenda Dsm kushirki vikao vya secretariat na kamati kuu akiongozana na ndugu Kisali sarakikya ambaye name anapigiwa kura leo, walikaa wote Dsm na baada ya kikao wakafanya safari ya kurudi wote arusha. Ni mjumbe halali wa mkutano wa leo na Jana wakati amekamatwa alikuwa amekaa kwenye grocery na wapiganaji wake wakibadilishana mawazo, hakukuwa na mambo yoyote ya pesa. Elirehema anajimudu kiuchumi na ninategemea ana uwezo Kabisa aw kulipia nauli zake, lakini Kama kuna wa kumtuhumu kumsaidia usafiri labda iwe sarakikya, lakini bado siamini hivyo.
2. Ezekiel Mollel ni katibu wa vijana wa uvccm monduli na ni mkazi na mwenyeji wa wilaya ya arumeru, uvccm mkoa kwa kupitia katibu wake wa mkoa Mpokwa wanashiriki marudio haya ya kura Kama jumuiya zingine zote za mkoa kwaajili ya maandalizi ya uchaguzi mkuu tar 1 april. Huyu alishikwa akiwa peke yake anapanda pikipiki na inasemekana maafisa walikuwa na kijani anaitwa ammo akiwaonyesha watu wa kukamata, kwenye kundi hilo hilo walikuwepo makatibu wa wilaya zote za mkoa na katibu mwenyewe wa mkoa, napa unaona u-monduli ulitumika ili kwa Mara nyingine tena tuliingize jina la lowassa kwenye midahalo ya CCM. Mawasiliano yake na simu siwezi kuwa na uhakika, ila ukiniambia alikuwa anawasiliana na lowassa, hiyo ni PUMBA.
Tukirudi kwenye mchakato wenyewe wa kura za leo, inasikitisha na inatia aibu kubwa sana, ningekuwa mimi ndiyo Huyo kijana anaitwa sioi ningejitoa. Jana Mkuu Wa wilaya aliwaita madiwani wote wa arumeru mashariki na kuwaambia msimamo wa serikali ni ssarakikya, na ikatokea vurugu kubwa na polisi wakaweka madiwani wengine chini ya ulinzi. Tujiulize kwanza kwanini huu uchaguzi unarudiwa Leo? Hamna Majibu ya kuridhisha, na ukijiuliza tena ni watu gain walipinga matokeo ya sioi kwenye vikao? Unapata majibu ni wateule wote wa serikali na chama, sishangai kusikia haya ya takukuru leo ila inasikitisha Sana. Demokrasia ya Kweli iko wapi? Ningefikiri kazi ingekuwa kusimamia uchaguzi wa kweli na haki, na wananchi wapate fursa ya kuamua wawakilishi wao.
Namalizia,baada ya kamati kuu kuamua uchaguzi kurudiwa, wazee wawili wa kamati kuu walimfuata Sioi kumshauri ajitoe kwasababu sababu za yeye kukatwa jina hata Kama akishindwa zimeshaandaliwa na Sioi akawajibu kwamba sivyo ambavyo nimelelewa na wazazi wangu, nilifanya sala Kuomba baraka za marehemu baba, ningependa huko aliko alone kijana wake sikumuangusha na nilismamia ninachokiamini mpaka mwisho whether win or lose.
Tusubiri tuone cinema hivi inaishia wapi.
Huwa hajui hata anachokisimamia mradi aonekane amepost.Ngongo ivi wewe ni cdm, ama ccm,coz michango yako humu haijengi upande wowote
Ngongo ivi wewe ni cdm, ama ccm,coz michango yako humu haijengi upande wowote
Sio kazi ya Mods kuleta topics za kuchangiwa bali ni kazi ya members wote, pili unapoongelea rushwa Jakaya Kikwete huwezi kumtoa katika watoaji na wapokeaji rushwa, tatizo ninaloliona hapa wengi siasa hizi za kimagumashi mnajifunzia humu JF lakini hamjawahi na hamtawi kuingia kwenye Battle ground.
Kwikwete hana credibility yeyote ile kumnyooshea kidole yeyote ndani ya CCM kuhusu rushwa, kila mtu makini anajuwa Kikwete aliingizwa madarakani na kundi lake la mtandao kwa nguvu ya Pesa chini ya majemedari wake Rostam Aziz na Lowasa not otherwise.
si lazima kuwa upande mmoja ndio uujengengongo ivi wewe ni cdm, ama ccm,coz michango yako humu haijengi upande wowote
Si kweli kuwa Ngongo hana upande navyojua mimi yuko upande wa Batilda au anzisha thread ya Lema uone upande wake, hahahaa.Ngongo ivi wewe ni cdm, ama ccm,coz michango yako humu haijengi upande wowote