Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
- Thread starter
- #41
Inaonyesha jinsi gani Chadema anapata amaninimependa kitambi chake,
Inaonyesha jinsi gani Chadema anapata amaninimependa kitambi chake,
Ujielewi siyo kosa lakochato ndio kule ambako mamvi alijichato????nauliza tu povu NO
Mkuu , hata ungekuwa wewe , kulogwa kila siku utapendezaje ?Inaonyesha jinsi gani Chadema anapata amani
Labda vichaaSafi sn rais wa mioyo ya mamilioni ya watanzania
ahahaaaaaaaaaaaaa wakukurupuka aka Brother MKapendeza balaa , yule mwenzetu kazi kuvaa makoti ya suti oversize ,
KibenderaJPM sasa inabidi apige marufuku wapinzani wasitembelee nane nane hadi 2020. huko Lumumba watakuwa wamepanic sana.
Kwanini wewe unajielewaLabda vichaa
Walioingia Bungeni walevi niwakina naniWanywa viroba nendeni mkampigie deki tena hahaha
Hata ccm wanajua ni raisi wa mioyoyao, kwani hujamsikia siku anahojiwa na Tido akisema wako wengi aliowaacha ccm ambao wanaendelea kumpatia updates kutoka lumumba kuhusu mipango ya Kabwana mkubwaLabda vichaa
intelijesia leo ina mafuaMie mapigo ya lowassa tu namkubali sana.......leo inteligencia ilikua likizo nini
Hata ccm wanajua ni raisi wa mioyoyao, kwani hujamsikia siku anahojiwa na Tido akisema wako wengi aliowaacha ccm ambao wanaendelea kumpatia updates kutoka lumumba kuhusu mipango ya Kabwana mkubwa
Swali lakitotoWalioingia Bungeni walevi niwakina nani
we kilaza acha kukurupuka,mbona umepanick hivyo? haka ka mchezo hakataki hasira,wewe kama humpi updates kutoka lumumba basi wenzako wanampatia,sasa povu la nini acha ukilazaKuhojiwa!!
Kweli wewe zuzu
Nani akihojiwa atasema mimi sipendwi?
Kumbuka Lowassa kwenda ikulu never
Hawezi peleka na vijana wanywa viroba kama wewe