Rais ndio naniMzee anatapa Tapa sana hapo uhuru ange mwita Rais wetu Mpendwa Magu ndo angepata kura nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais ndio naniMzee anatapa Tapa sana hapo uhuru ange mwita Rais wetu Mpendwa Magu ndo angepata kura nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unapigia gitaa mbuzi wa chadema hayo unayoshauri mazuri lakini chadema hii umepoteza muda kumejaa wanywa virobahili ni kosa la kimataifa, hivi haoni mgogoro uliopo usa , juu ya tuhuma kwamba russia waliingilia mambo ya uchaguzi wao?
hata labour party ya uk ni pro democrats ya usa, lakini ukija uchaguzi wa usa labour party hawamuungi mkono mgombea wa democrats hata kama wangependa ashinde mtu wa democrats, na vivyo hivyo kwa conservative party ya uk ni pro republicans lakini hawafiki ktk level ya kuingilia uchaguzi wa nchi zingine.
huyu atatuletea matatizo na nchi jirani kwa kiu chake cha madaraka
Yanaweza kutokea ya 1977...Kenyatta akichukua tena nchi sijui hizi nchi mbili zitakuwa na uhusiano wa namna gani
Hii kwa kweli mkuu inatisha.Hivi inaruhusiwa kushiriki kwenye siasa za nchi nyingine? Leo Obama atie timu Kenya kumpigia chapuo Uhuru huu uchaguzi si utaingia dosari kubwa sana!?
Cha msingi achunge kichwa chake siasa za Kenya zimejaa ukabila kule kudungua mtu au kuua wakati wa kampeni za uchaguzi ni kitu kidogo mnohapo ilikuwa umasaini. uwepo wa lowasa pale tayari kura za zote za wamasai kwa UHURU
Mbona uhusiano wa Odinga na mkulu hujauona?Kenyatta akichukua tena nchi sijui hizi nchi mbili zitakuwa na uhusiano wa namna gani maana naona Kenyatta kaamua kuonesha wazi kuwa yupo na mpinzani wa Magu
Labda nikwambie kitu chadema kuunga mkono Kenyatta Wafadhili WA marekani hawatawaona tena. Urafiki wao na Raila ambaye ni binamu yake Obama ulimfanya Obama awashawishi wamarekani wawasaidie chadema kipindi cha slaa. Ndio maana chadema ilipata misaada mingi ya wazungu kwa ajili ya Obama. Sasa maadamu wamehamia kwa Kenyatta sio kesi wasubiri Kenyatta auze maziwa yake awachangie chadema. Chadema have lost a very important network. Na ieleweke kuwa chadema hakijawahi kaa mkutano mkkuu kupitisha azimio la kubadili sera za nje na kujadili hilo la chadema kuhama kutoka kumuunga mkono raila odinga na kuvunja urafiki naye na kuanzisha urafiki na Kenyatta na chama chake. Wanachama wa chadema wanaburuzwa na lowasa. Maamuzi hayo yalitakiwa yaamuliwe na mkutano mkuu wa chadema. Lowasa anaburuza wanachama ni dikiteta analotaka analazimisha liwe bila hata vikao na baraka za mkutano mkuu. Hilo la kumuunga mkono Kenyatta halina baraka za mkutano mkuu na vibaraka wake akina tundu lisu wanaojitia wanasheria nguli kwa hili wameufyata wakati liko wazi na ni uvunjifu wa katiba Ya chadema
Another poor reasoning!itamgharimu vipi? Kwani Tanzania si Lowasa alishinda lakini CCM mkafanya uchakachuaji mkubwa huko kenya si kama Tanzania watu wapo makini uchakachuaji ni vigumu kupenya kama Tanzania
Sipendi kabisa haya mambo ya wanasiasa wetu kujiingiza kwenye siasa za nchi zingine hususan hizi za jirani.
Hata Magufuli naye aliwahi kushiriki kwenye kampeni za Odinga.
Disgraceful!!
When you see such kind of move, think twice, there is a high possibilities Uhuru is in danger zone. My friend, don't just jump into conclusion, there is something wrong there with Kenyatta's chance of success, that is why he wanted political reinforcement at the final stage.Its long movie, ujue tupo high sana.
Cha msingi achunge kichwa chake siasa za Kenya zimejaa ukabila kule kudungua mtu au kuua wakati wa kampeni za uchaguzi ni kitu kidogo mno