Lowasa anajua Uhuru atashinda kwa vyovyote vile. Sasa anataka kuwaaminisha wenye ufahamu finyu kuwa Serikali ya TZ inamsapoti Odinga. Na Uhuru atakaposhinda adanganye kuwa Maghufuli na Odinga wameshindwa huku Lowassa na Kenyatta wakishinda. Sitashangaa baadhi ya mbumbumbu fulani wakiamini huo upuuzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app