Edward Lowassa amekata tamaa na siasa za CHADEMA

Edward Lowassa amekata tamaa na siasa za CHADEMA

Kiongozi wenu ndio amekata tamaa na utawala wa sheria, anaona njia pekee ya kuweza kutawala (maana hawezi kuongoza) ni kuminya haki na demokrasia. Hana vision yoyote. Ndani ya CCM mmechanganyikiwa na mnaendesha mambo kama wendawazimu. Kiongozi aliyekata tamaa ni yule ambae miezi kumi na tano baada ya wizi wa kura, mwenzake yupo kimya lakini yeye kila akipata nafasi ni kumteta tu. Thats too low of leadership. No wonder mnajipanga kufanya Sub 2020, and its going to be a losing strategy. Too much damage has been done in only 15 months, and the damage is irreparable. Hata tunu yenu ma ccm ya amani na utulivu mmeipoteza. The biggest threat to national security at the moment ni CCM. Wananchi wamewachoka, jiandaeni kisaikolojia kukabidhi nchi kwa ridhaa ya wananchi 2020 kwa amani na utulivu tujenge nchi. Msiogope kubadili majina humu kama akina Mwanadiwani aka Mzemajiukweli, tutaelewana tu.
Akitajwa Lowassa lazima uibuke. Amka kweli Lowassa mabadiliko😀😀😀😀
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Ni dhahiri sasa Lowassa amefilisika kisiasa. Amefulia na amekata tamaa. Hajui wapi anakoelekea.

Ule umaarufu wake umepotea sasa. Hakuna anayemjali tena si mitandao ya kijamii wala magazeti. Lile bando alilolilipa kwa ajili ya airtime na vichwa vya habari magazetini limechacha na sasa amechacha hana hata senti ya kuvinunua vyombo vya habari.

Ndani ya CHADEMA makamanda wamemchoka na wamekata tamaa. Hawaoni msaada wa huyo mzee ndani ya CHADEMA ya sasa ambayo inajaribu kila njia kupambana na Rais Magufuli ambaye anazidi kupanda chat siku hadi siku katika utendaji wake uliotukuka.

Najiuliza sana, hivi huyu mzee atafika salama 2020? Na je ikitokea CHADEMA wakawa na mbadala wake 2020, huyu mzee atakuwa katika hali gani?. Ni wazi kwamba atakuwa na mwisho mbaya.

Time will tell.
Pole kwa kutimika vibaya,ila ujue ni dhambi ...
 
Akitajwa Lowassa lazima uibuke. Amka kweli Lowassa mabadiliko😀😀😀😀

Ukiona hata aliyepo hapati usingizi, kila akikutana na wenzake huko kwenye Chama, iwe on national TV au mkutano wa ndani analialia ovyo Lowassa Lowassa, ujue lipo jambo...
 
Lowasa baada ya kukatwa ccm hakuwa na shida tena na urais aliamua tu kwenda kuwavuruga chadema kwani aliamini wao ndio waliofifisha ndoto zake. Kwa hiyo mkuu alikuwa analipiza kisasi tu...
Ndoto gani wakati hata huyo unayemshabikia blindly anajua kura zake ni za wizi?
Kule walipomwibia kwa wingi amejawa woga wa kukanyaga. What a shame kwa taasisi husika.
 
Ndoto gani wakati hata huyo unayemshabikia blindly anajua kura zake ni za wizi?
Kule walipomwibia kwa wingi amejawa woga wa kukanyaga. What a shame kwa taasisi husika.
Acha maneno weka muziki (ushahidi)
 
Hivi umezipata hizi taarifa kwamba CCM yalizwa uchaguzi mdogo Uyui Tabora ??

Ukianza majungu ya kiCCM ungali kijana ukizeeka utakuwa MCHAWI
Kwani huyu ni kijana?mgogo wa miaka 50 na ushei unamsema kijana?
Huyu tayari ni mchawi maana ni mzee
 
Hivi umezipata hizi taarifa kwamba CCM yalizwa uchaguzi mdogo Uyui Tabora ??

Ukianza majungu ya kiCCM ungali kijana ukizeeka utakuwa MCHAWI
Fuatilia vizuri matokeo uyui
Ccm vijiji 14 kati ya 15
Cdm vijiji 1 kati ya 15
Kata 50 ccm
Cdm 7 wapi ccm imeshindwa toa na wewe matokeo
 
Kama inafika mahala kwa Chama kikubwa kama CCM kinaanza kukosa mpaka vitongoji ambavyo ilikuwa inaviongoza.

Hakika ni ishara mbaya sana. Yaani hadi Vitongoji CCM mmeangukia pua??? kweli ''hapa kazi tu''.

Haya bana ngoja niendelee kuvisubiria viwanda vyetu
Fuatia vizuri
 
Anzeni kutukamata tunaosema ameingia kwa kura za wizi muone.
Unakimbia kivuli chako, nimesema weka ushahidi ww unazidi kubwabwaja. Unazani kila mwanamageuzi alikubaliana na gia ya a angani???
 
Unakimbia kivuli chako, nimesema weka ushahidi ww unazidi kubwabwaja. Unazani kila mwanamageuzi alikubaliana na gia ya a angani???
Ushahidi wa nini humu kwako msukule? Mimi najulikana ni nani, na nasema mliiba kura, si mtukamate na kutufungulia mashitaka? Kusema Kura zake ni za wizi sio suala dogo incase haujui.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Ni dhahiri sasa Lowassa amefilisika kisiasa. Amefulia na amekata tamaa. Hajui wapi anakoelekea.

Ule umaarufu wake umepotea sasa. Hakuna anayemjali tena si mitandao ya kijamii wala magazeti. Lile bando alilolilipa kwa ajili ya airtime na vichwa vya habari magazetini limechacha na sasa amechacha hana hata senti ya kuvinunua vyombo vya habari.

Ndani ya CHADEMA makamanda wamemchoka na wamekata tamaa. Hawaoni msaada wa huyo mzee ndani ya CHADEMA ya sasa ambayo inajaribu kila njia kupambana na Rais Magufuli ambaye anazidi kupanda chat siku hadi siku katika utendaji wake uliotukuka.

Najiuliza sana, hivi huyu mzee atafika salama 2020? Na je ikitokea CHADEMA wakawa na mbadala wake 2020, huyu mzee atakuwa katika hali gani?. Ni wazi kwamba atakuwa na mwisho mbaya.

Time will tell.
Kuna mtua kadia mumegalagazwa huko Tabora,vipi hii ni kweli au jamaa kajifariji tu? Fuatilia uje utujuze ukweli. Kuna uzi jamaa anaitwa quinine anadia mumegalagazwa!
 
Ushahidi wa nini humu kwako msukule? Mimi najulikana ni nani, na nasema mliiba kura, si mtukamate na kutufungulia mashitaka? Kusema Kura zake ni za wizi sio suala dogo incase haujui.
Haya, nazani nikuache sababu hujielewi. Na ndio maana mliitwa manyumbu. Mnafuata chochote anachosema mbowe. Akisema inama mnainama, zungusha mikono... mnazungusha.., deki barabara... mnadeki. Lowasa ni fisadi... ndio" lowasa sio fisadi... ndio. Aisee Mungu na viumbe vyake!
 
Kama inafika mahala kwa Chama kikubwa kama CCM kinaanza kukosa mpaka vitongoji ambavyo ilikuwa inaviongoza.

Hakika ni ishara mbaya sana. Yaani hadi Vitongoji CCM mmeangukia pua??? kweli ''hapa kazi tu''.

Haya bana ngoja niendelee kuvisubiria viwanda vyetu
What is kitongoji bwana. Hivi mbona cdm mna akili ndogo. Inamaana hamkutaka kushinda?. Sisi tu ahitfaji kushindana na chama chenye hoja sio nyie
 
Back
Top Bottom