Edward Lowassa amekata tamaa na siasa za CHADEMA

Edward Lowassa amekata tamaa na siasa za CHADEMA

Kiongozi wenu ndio amekata tamaa na utawala wa sheria, anaona njia pekee ya kuweza kutawala (maana hawezi kuongoza) ni kuminya haki na demokrasia. Hana vision yoyote. Ndani ya CCM mmechanganyikiwa na mnaendesha mambo kama wendawazimu. Kiongozi aliyekata tamaa ni yule ambae miezi kumi na tano baada ya wizi wa kura, mwenzake yupo kimya lakini yeye kila akipata nafasi ni kumteta tu. Thats too low of leadership. No wonder mnajipanga kufanya Sub 2020, and its going to be a losing strategy. Too much damage has been done in only 15 months, and the damage is irreparable. Hata tunu yenu ma ccm ya amani na utulivu mmeipoteza. The biggest threat to national security at the moment ni CCM. Wananchi wamewachoka, jiandaeni kisaikolojia kukabidhi nchi kwa ridhaa ya wananchi 2020 kwa amani na utulivu tujenge nchi. Msiogope kubadili majina humu kama akina Mwanadiwani aka Mzemajiukweli, tutaelewana tu.
Hata 2015 mlisema hivhivi ila mliona wenyewe. Subirini 2020 sijui mtasemaje
 
Mwambie sasa huyo anayependwa amwache Mzee Lowasa hata kwa wiki moja tu akawashukuru wananchi uone utamu Wa huyu Mzee.

Lizaboni acha vijembe mshaulini Magufuli afanye Yale ya wananchi sio yake.

Nakubaliana na wewe kwa swala la Mzee Lowasa kuwekeza CHADEMA,
Awasaidie kujenga ofisi na Magari ya chama hapo atakuwa amejihakikishia njia nyeupe 2020.

Magufuli hapendeki hata na watoto
Jaribu kufanya utafiti utagundua uhalisia.
Nyie hivi kazuiliwa na nani. Mbona mlisema ukuta na hamkuujenga. Basi ili mradi fujo tu mjulikane mpo
 
Nyinyi watu bila kumtaja lowasa buku 7 haiingii???
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Ni dhahiri sasa Lowassa amefilisika kisiasa. Amefulia na amekata tamaa. Hajui wapi anakoelekea.

Ule umaarufu wake umepotea sasa. Hakuna anayemjali tena si mitandao ya kijamii wala magazeti. Lile bando alilolilipa kwa ajili ya airtime na vichwa vya habari magazetini limechacha na sasa amechacha hana hata senti ya kuvinunua vyombo vya habari.

Ndani ya CHADEMA makamanda wamemchoka na wamekata tamaa. Hawaoni msaada wa huyo mzee ndani ya CHADEMA ya sasa ambayo inajaribu kila njia kupambana na Rais Magufuli ambaye anazidi kupanda chat siku hadi siku katika utendaji wake uliotukuka.

Najiuliza sana, hivi huyu mzee atafika salama 2020? Na je ikitokea CHADEMA wakawa na mbadala wake 2020, huyu mzee atakuwa katika hali gani?. Ni wazi kwamba atakuwa na mwisho mbaya.

Time will tell.
Kwani kama Edo hana impact, unamtaja wa nini kama siyo uoga
 
Lowassa ameisha,afadhali hata Nassari anaweza kupata kura nyingi
 
Angekuwa amechoka kisiasa na kasahaulika kama unavyojaribu kutudanganya ungemkumbuka na kumuanzishia uzi?
Why Lowassa of all politicians?

Naona unatafuta kick kupitia Mzee wetu kipenzi.
Lowassa yupo mioyoni mwetu tulio wengi,sio lazima tuanzishe threads kama hii ya kipuuzi.

Najua unajaribu kupima upepo,bila shaka jibu utalipata na usiache kulifikisha kama lilivyo huko Lumumba.
Nimecheka sana sana NENO "Mzee wetu kipenzi" nimelipenda sana sana hilo NENO
 
Kuna jambo moja la kimkakati ambalo CDM/EL wanaweza kufanya kumfanya 'mtu' wao aendelee kubaki kwenye chati za kisiasa hapa nchini. Apelekwe Harvard School of Governance kwa miaka 2 a revive upstairs yake ingawa sina uhakika kuwa ataweza ku-cope. Vinginevyo ataishia kuwa political liability/burden ndani ya chama chake kipya.
 
Hivi umezipata hizi taarifa kwamba CCM yalizwa uchaguzi mdogo Uyui Tabora ??

Ukianza majungu ya kiCCM ungali kijana ukizeeka utakuwa MCHAWI
Ndugu, kufika 2020 kwa MTU, tumwachie Mungu. Wewe una uhakika gani wa kufika?.Hakuna aliye na uhakika wa kufika 2020 . je Yesu akirudi kabla ya 2020,nani atakayetawala?.
 
I agree with you.

Ilikuwa lazima wafeli kwa sababu walikuwa hata hawajui wanaepambana nae kajipangaje.

Nitamchagua tena JPM 2020
Yesuu wangu, hadi tumbo la chini limeniuma
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Ni dhahiri sasa Lowassa amefilisika kisiasa. Amefulia na amekata tamaa. Hajui wapi anakoelekea.

Ule umaarufu wake umepotea sasa. Hakuna anayemjali tena si mitandao ya kijamii wala magazeti. Lile bando alilolilipa kwa ajili ya airtime na vichwa vya habari magazetini limechacha na sasa amechacha hana hata senti ya kuvinunua vyombo vya habari.

Ndani ya CHADEMA makamanda wamemchoka na wamekata tamaa. Hawaoni msaada wa huyo mzee ndani ya CHADEMA ya sasa ambayo inajaribu kila njia kupambana na Rais Magufuli ambaye anazidi kupanda chat siku hadi siku katika utendaji wake uliotukuka.

Najiuliza sana, hivi huyu mzee atafika salama 2020? Na je ikitokea CHADEMA wakawa na mbadala wake 2020, huyu mzee atakuwa katika hali gani?. Ni wazi kwamba atakuwa na mwisho mbaya.

Time will tell.
kumbe lizaboni [emoji1] [emoji1] [emoji1] kapewa hanaga mawazo chanya huyu ngoja nipite tu
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Ni dhahiri sasa Lowassa amefilisika kisiasa. Amefulia na amekata tamaa. Hajui wapi anakoelekea.

Ule umaarufu wake umepotea sasa. Hakuna anayemjali tena si mitandao ya kijamii wala magazeti. Lile bando alilolilipa kwa ajili ya airtime na vichwa vya habari magazetini limechacha na sasa amechacha hana hata senti ya kuvinunua vyombo vya habari.

Ndani ya CHADEMA makamanda wamemchoka na wamekata tamaa. Hawaoni msaada wa huyo mzee ndani ya CHADEMA ya sasa ambayo inajaribu kila njia kupambana na Rais Magufuli ambaye anazidi kupanda chat siku hadi siku katika utendaji wake uliotukuka.

Najiuliza sana, hivi huyu mzee atafika salama 2020? Na je ikitokea CHADEMA wakawa na mbadala wake 2020, huyu mzee atakuwa katika hali gani?. Ni wazi kwamba atakuwa na mwisho mbaya.

Time will tell.

Hahahaha tumemchoka Mwenyekiti wako wa Chama Cha Mauaji.

Huyo Lowassa hana mtoto mwingine wa kiume wote wameshaoa.Achana na siasa za Maji taka leta mada zenye mshiko.

Kumbuka wasio na akili wanajadili watu,werevu wanajadili issues/hoja.
 
Rais hawezi kumwachia Tanzania ya sasa Lowasa hata kwa sekunde moja. Magufuli kafanya kazi kubwa kuwashambulia mafisadi, wazembe kazini, wauza madawa ya kulevya nk

Ufisadi anapiga vita ufisadi wakati aliyembeba mgongoni anamsaidia kufanya ufisadi.

Fisadi aliyekwapua Bilioni nane za kivuko kibovu ati anapiga vita ufisadi ndege ya $100M tunainunua kwa $221M

Huyu ndiyo mpiga na vita ya ufisadi.

Sitoshangaa train watakayonunua ya mwaka 1940 kama ukiwa waziri ulinunua kivuko cha mwaka 1928 leo Mkullu utanunua train ya mwaka gani??

Za kuambiwa changanya na zako.

Kawadanganye wa Lumumba.
 
Kumbukumbu ya LOSER huwa haifutiki na kumtajataja ni kushangilia ushindi chini kwa chini.

Babu yenu hawezi kuwa Rais wa Nchi hii,come rain come sun.

Angekuwa amepotea yule Mwakyembe asingetoka povu kama kamwagiwa OMO.
 
Akitajwa Lowassa lazima uibuke. Amka kweli Lowassa mabadiliko😀😀😀😀

Mkullu anaisoma number labda watakaomchamgua ni Mang'ombe.Hahahahahaha Mtachonga viazi.
 
IT WILL NEVER HAPPEN..... CCM ITAENDELEA KUWAONGOZA TU MPAKA MTAKAPOPATA AKILI.....NCHI SIO KITU CHA KUCHEZEA NA KUPEANA HOVYO HOVYO.

Mark my words msipoacha siasa uchwara na ubabaishaji IKULU ni ya CCM tu.

Ukipata Akili utaelewa kwamba huyo unauemuabidu ndiye aliyepiga deal la kivuko Kibovu. Usishangar tukaletewa train ya mwaka 1940
 
Back
Top Bottom