Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,894
- 20,375
Wadau, amani iwe kwenu.
Ni dhahiri sasa Lowassa amefilisika kisiasa. Amefulia na amekata tamaa. Hajui wapi anakoelekea.
Ule umaarufu wake umepotea sasa. Hakuna anayemjali tena si mitandao ya kijamii wala magazeti. Lile bando alilolilipa kwa ajili ya airtime na vichwa vya habari magazetini limechacha na sasa amechacha hana hata senti ya kuvinunua vyombo vya habari.
Ndani ya CHADEMA makamanda wamemchoka na wamekata tamaa. Hawaoni msaada wa huyo mzee ndani ya CHADEMA ya sasa ambayo inajaribu kila njia kupambana na Rais Magufuli ambaye anazidi kupanda chat siku hadi siku katika utendaji wake uliotukuka.
Najiuliza sana, hivi huyu mzee atafika salama 2020? Na je ikitokea CHADEMA wakawa na mbadala wake 2020, huyu mzee atakuwa katika hali gani?. Ni wazi kwamba atakuwa na mwisho mbaya.
Time will tell.