Edward Lowassa amekata tamaa na siasa za CHADEMA

Edward Lowassa amekata tamaa na siasa za CHADEMA

Lisu ndio mgombea wa 2020 na mzee ameshakubali, hana shida na hilo tena. Mungu amempa amani ya moyo, ameshakubali hawezi kuwa rais wa nchi hii tena. Akiutaka uraisi kwa hivi karibuni ataenda kugombea wa TFF
 
Hivi kinana bado hajapona?
 
Ukitaka kujua ubaya wa nyoka mkanyage mkiani, mkulu kazuia mikutano ss utamuona wapi uone makali yake kama kaisha, wenzio walilijua hilo maana yule akisema leo anafanya mkutano cku nzima watu hawafanyi kazi na kibaya zaidi walizuia mikutano hasa ya kwake ni pale hadi wagonjwa waliolazwa hospitalini wakichomoa drip zao na kutoroka kwenda kumuona Mzee wa mafuriko! Ukisema huyo ni habari ingine!

Tena mkuu kamsaidia sana angemuacha afanye mikutano kama asingehutubia Mbuzi. Miaka mitano benchi we unauza maneno tu, usisikie. Amshukuru sana ndugu yake kwa kumuepushia madhila
 
Kiongozi wenu ndio amekata tamaa na utawala wa sheria, anaona njia pekee ya kuweza kutawala (maana hawezi kuongoza) ni kuminya haki na demokrasia. Hana vision yoyote. Ndani ya CCM mmechanganyikiwa na mnaendesha mambo kama wendawazimu. Kiongozi aliyekata tamaa ni yule ambae miezi kumi na tano baada ya wizi wa kura, mwenzake yupo kimya lakini yeye kila akipata nafasi ni kumteta tu. Thats too low of leadership. No wonder mnajipanga kufanya Sub 2020, and its going to be a losing strategy. Too much damage has been done in only 15 months, and the damage is irreparable. Hata tunu yenu ma ccm ya amani na utulivu mmeipoteza. The biggest threat to national security at the moment ni CCM. Wananchi wamewachoka, jiandaeni kisaikolojia kukabidhi nchi kwa ridhaa ya wananchi 2020 kwa amani na utulivu tujenge nchi. Msiogope kubadili majina humu kama akina Mwanadiwani aka Mzemajiukweli, tutaelewana tu.
IT WILL NEVER HAPPEN..... CCM ITAENDELEA KUWAONGOZA TU MPAKA MTAKAPOPATA AKILI.....NCHI SIO KITU CHA KUCHEZEA NA KUPEANA HOVYO HOVYO.

Mark my words msipoacha siasa uchwara na ubabaishaji IKULU ni ya CCM tu.
 
Lindi chaliiiiii, Ifakara mwaaaaaaaaa, Tabora nywiiiiiiiiiiiiiiii
Huko ni vijijini
hata 2015 mlikuwa mnashangilia hivohivo mwisho wa siku mkalia na kusaga meno,subirini 2020 tena.
 
Lizabon unagundu balaa ..yaani mkulu hakuoni mpka akachukue akina Joketi ?? Badilika mkuu utaandika upuuzi hadi lini ?? Ungekuwa unajaribu hata siku moja moja kuwakosoa sahiz ungekuwa walau DC lkn kwa kuwa unaandika kila siku upuuzi ndo maana na wao wanakupuuza ...poleee
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Ni dhahiri sasa Lowassa amefilisika kisiasa. Amefulia na amekata tamaa. Hajui wapi anakoelekea.

Ule umaarufu wake umepotea sasa. Hakuna anayemjali tena si mitandao ya kijamii wala magazeti. Lile bando alilolilipa kwa ajili ya airtime na vichwa vya habari magazetini limechacha na sasa amechacha hana hata senti ya kuvinunua vyombo vya habari.

Ndani ya CHADEMA makamanda wamemchoka na wamekata tamaa. Hawaoni msaada wa huyo mzee ndani ya CHADEMA ya sasa ambayo inajaribu kila njia kupambana na Rais Magufuli ambaye anazidi kupanda chat siku hadi siku katika utendaji wake uliotukuka.

Najiuliza sana, hivi huyu mzee atafika salama 2020? Na je ikitokea CHADEMA wakawa na mbadala wake 2020, huyu mzee atakuwa katika hali gani?. Ni wazi kwamba atakuwa na mwisho mbaya.

Time will tell.
Naona akikaa kimya mnaumia sana lkn cha ajabu akitaka kuongea mnazuia mikutano alafu Leo mnaongea eti amekwisha,mwambieni babaenu aruhusu mikutano ndo atajua kama Lowasa kachuja au laa,mtaona kama kuna MTU atamsikiliza tena Mzee Kaa taa
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Ni dhahiri sasa Lowassa amefilisika kisiasa. Amefulia na amekata tamaa. Hajui wapi anakoelekea.

Ule umaarufu wake umepotea sasa. Hakuna anayemjali tena si mitandao ya kijamii wala magazeti. Lile bando alilolilipa kwa ajili ya airtime na vichwa vya habari magazetini limechacha na sasa amechacha hana hata senti ya kuvinunua vyombo vya habari.

Ndani ya CHADEMA makamanda wamemchoka na wamekata tamaa. Hawaoni msaada wa huyo mzee ndani ya CHADEMA ya sasa ambayo inajaribu kila njia kupambana na Rais Magufuli ambaye anazidi kupanda chat siku hadi siku katika utendaji wake uliotukuka.

Najiuliza sana, hivi huyu mzee atafika salama 2020? Na je ikitokea CHADEMA wakawa na mbadala wake 2020, huyu mzee atakuwa katika hali gani?. Ni wazi kwamba atakuwa na mwisho mbaya.

Time will tell.
Lowasa baada ya kukatwa ccm hakuwa na shida tena na urais aliamua tu kwenda kuwavuruga chadema kwani aliamini wao ndio waliofifisha ndoto zake. Kwa hiyo mkuu alikuwa analipiza kisasi tu...
 
HAHAAAAAA NIMECHEKA SANAAAAA,LOWASA NI KAMA MAJI,USIPOYANYWA UTAYAPIKIA AU KUOGEA.haya sasa ona ushamtaja sasa hapo ulipo ushavurugwa sanaaaaaaaaa kwa jina lililopo kichwani mwako.MWISHO NAKUULIZA KATI YA MAGUFULI NA LOWASA NANI UMEMTAJA ZAID KATIKA MAISHA YAKO YOTEEEEE?
 
Back
Top Bottom