Edward Lowassa amekata tamaa na siasa za CHADEMA

Angekuwa amechoka kisiasa na kasahaulika kama unavyojaribu kutudanganya ungemkumbuka na kumuanzishia uzi?
Why Lowassa of all politicians?

Naona unatafuta kick kupitia Mzee wetu kipenzi.
Lowassa yupo mioyoni mwetu tulio wengi,sio lazima tuanzishe threads kama hii ya kipuuzi.

Najua unajaribu kupima upepo,bila shaka jibu utalipata na usiache kulifikisha kama lilivyo huko Lumumba.
 
yani wewe kama utakuwa mwanaume tumepata hasara kweli yani unaongeza idadi ya wanaume lkn ziro kabisa,nenda mtwara,nenda songea nenda mkoa wowote ambao unawatu wenyeakili timamu ukimtaja vibaya jpm wanakuuwa huyu ndiye mkombozi wa maisha ya watanzania.

Mkuu hiyo mikoa uliyotaja sio ndio hiyo mwenge ukipita siku nzima wanashinda barabarani kuushangilia eti unawaletea maendeleo. Ww utakuwa ni bibi mzee ambaye unaamini ccm imeleta maendeleo sana nchi hii. Na kama ni msichana basi utakuwa ni jamvi la wanaume wakati wa vikao vya ccm.
 
Hamkosaji cha kusema pale mnapoambiwa ukweli
Umesoma vizuri comment yangu?
Huyo kasema raisi hajamuona Lizaboni muda wote huo na mie ndio nimemjibu kuwa anajuaje labda ni miongoni mwenye hivyo vyeo yeye anajuaje
sikuelewi hii comment yako ndugu uliyoni quote eti: Hamkosaji cha kusema pale mnapoambiwa ukweli
 
Yaani mara 100 agombee kamanda Lisu kuliko huyo, anatuweka wakati mgumu sana kuupigia kura upinzani
 
Mzimu wa lowassa bado uko kwenye vichwa vya watu
 
Angekuwa amechoka kisiasa na kasahaulika kama unavyojaribu kutudanganya ungemkumbuka na kumuanzishia uzi?
Why Lowassa of all politicians?

Naona unatafuta kick kupitia Mzee wetu kipenzi.
Lowassa yupo mioyoni mwetu tulio wengi,sio lazima tuanzishe threads kama hii ya kipuuzi.

Najua unajaribu kupima upepo,bila shaka jibu utalipata na usiache kulifikisha kama lilivyo huko Lumumba.
Kumbukumbu ya LOSER huwa haifutiki na kumtajataja ni kushangilia ushindi chini kwa chini.

Babu yenu hawezi kuwa Rais wa Nchi hii,come rain come sun.
 
Angekuwa amechoka kisiasa na kasahaulika kama unavyojaribu kutudanganya ungemkumbuka na kumuanzishia uzi?
Why Lowassa of all politicians?

Naona unatafuta kick kupitia Mzee wetu kipenzi.
Lowassa yupo mioyoni mwetu tulio wengi,sio lazima tuanzishe threads kama hii ya kipuuzi.

Najua unajaribu kupima upepo,bila shaka jibu utalipata na usiache kulifikisha kama lilivyo huko Lumumba.
Sema yuko moyoni mwako, siyo mioyoni mwenu, wewe na nani? Lowassa amekwisha huo ndiyo ukweli
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Ni dhahiri sasa Lowassa amefilisika kisiasa. Amefulia na amekata tamaa. Hajui wapi anakoelekea.

Ule umaarufu wake umepotea sasa. Hakuna anayemjali tena si mitandao ya kijamii wala magazeti. Lile bando alilolilipa kwa ajili ya airtime na vichwa vya habari magazetini limechacha na sasa amechacha hana hata senti ya kuvinunua vyombo vya habari.

Ndani ya CHADEMA makamanda wamemchoka na wamekata tamaa. Hawaoni msaada wa huyo mzee ndani ya CHADEMA ya sasa ambayo inajaribu kila njia kupambana na Rais Magufuli ambaye anazidi kupanda chat siku hadi siku katika utendaji wake uliotukuka.

Najiuliza sana, hivi huyu mzee atafika salama 2020? Na je ikitokea CHADEMA wakawa na mbadala wake 2020, huyu mzee atakuwa katika hali gani?. Ni wazi kwamba atakuwa na mwisho mbaya.

Time will tell.
Hivi kinana yupo wapi siku hizi?
 
Angekuwa amechoka kisiasa na kasahaulika kama unavyojaribu kutudanganya ungemkumbuka na kumuanzishia uzi?
Why Lowassa of all politicians?

Naona unatafuta kick kupitia Mzee wetu kipenzi.
Lowassa yupo mioyoni mwetu tulio wengi,sio lazima tuanzishe threads kama hii ya kipuuzi.

Najua unajaribu kupima upepo,bila shaka jibu utalipata na usiache kulifikisha kama lilivyo huko Lumumba.
Akilala akiamka anamuota Lowasa, hembu mwacheni mzee wa watu na maisha yake.
 
Kama inafika mahala kwa Chama kikubwa kama CCM kinaanza kukosa mpaka vitongoji ambavyo ilikuwa inaviongoza.

Hakika ni ishara mbaya sana. Yaani hadi Vitongoji CCM mmeangukia pua??? kweli ''hapa kazi tu''.

Haya bana ngoja niendelee kuvisubiria viwanda vyetu
Walianza wana Lindi sasa Tabora na Ifakara watanzania wameanza kujitambua
 
Kwani tofauti ya Magufuli na Lowasa in miaka mingapi ?

Sio chini ya miaka mitano kati yao. Wangalau rais anatakiwa aingie na chini ya 65 anakuwa na afya na nguvu ya kumudu mikikimikiki ya kuongoza nchi. Kufikia hiyo 2020. Lowassa atakuwa 65+
 
Ukitaka kujua ubaya wa nyoka mkanyage mkiani, mkulu kazuia mikutano ss utamuona wapi uone makali yake kama kaisha, wenzio walilijua hilo maana yule akisema leo anafanya mkutano cku nzima watu hawafanyi kazi na kibaya zaidi walizuia mikutano hasa ya kwake ni pale hadi wagonjwa waliolazwa hospitalini wakichomoa drip zao na kutoroka kwenda kumuona Mzee wa mafuriko! Ukisema huyo ni habari ingine!
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Ni dhahiri sasa Lowassa amefilisika kisiasa. Amefulia na amekata tamaa. Hajui wapi anakoelekea.

Ule umaarufu wake umepotea sasa. Hakuna anayemjali tena si mitandao ya kijamii wala magazeti. Lile bando alilolilipa kwa ajili ya airtime na vichwa vya habari magazetini limechacha na sasa amechacha hana hata senti ya kuvinunua vyombo vya habari.

Ndani ya CHADEMA makamanda wamemchoka na wamekata tamaa. Hawaoni msaada wa huyo mzee ndani ya CHADEMA ya sasa ambayo inajaribu kila njia kupambana na Rais Magufuli ambaye anazidi kupanda chat siku hadi siku katika utendaji wake uliotukuka.

Najiuliza sana, hivi huyu mzee atafika salama 2020? Na je ikitokea CHADEMA wakawa na mbadala wake 2020, huyu mzee atakuwa katika hali gani?. Ni wazi kwamba atakuwa na mwisho mbaya.

Time will tell.
Hawezi kufanya siasa CHADEMA, kwani yy anapiga siasa nzuri lakini wenzake wanapiga harakati na kimsingi harakati si siasa, kwa mtu mstarabu na mkongwe wa siasa inabidi akae kimya, ndo maana aliwambia waache harakati na wajipange kama chama cha siasa kwa maana ya kushika dola, wameshindwa kufanya hivyo - ni wazi kwamba hawezi kukaa kwa amani ndani ya wanaharakati walokubuu.
 
Back
Top Bottom