Edward Lowassa amekata tamaa na siasa za CHADEMA

Edward Lowassa amekata tamaa na siasa za CHADEMA

hata 2015 mlikuwa mnashangilia hivohivo mwisho wa siku mkalia na kusaga meno,subirini 2020 tena.

Mkuki kwa nguruwe.Mngekuwa mmeshindwa JF pasingekalika.Mmepigwa maneno ya Sungura ati sizitaki mbichi hizi.Maweeeeeee .
 
Kuna mtua kadia mumegalagazwa huko Tabora,vipi hii ni kweli au jamaa kajifariji tu? Fuatilia uje utujuze ukweli. Kuna uzi jamaa anaitwa quinine anadia mumegalagazwa!

Tena wamepigwa kabisa naona Lipumba soon atapigwa talaka hana mvuto.Lile Jimbo la Sakaya naona vijana wameamua kumwambia tunapenda pesa hata siye tunazipenda pia.
 
Kama mtu amekata tamaa huna haja ya kuleta habari zake humu kwani unampa faida ya kuzungumziwa kama hivi tunavyochangia .Mwacheni bwiji la Siasa za Tanzania apumzike kwani mlishasema Siasa mpaka 2020 hapo ndo utajua yakuwa hajakata tamaa.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Ni dhahiri sasa Lowassa amefilisika kisiasa. Amefulia na amekata tamaa. Hajui wapi anakoelekea.

Ule umaarufu wake umepotea sasa. Hakuna anayemjali tena si mitandao ya kijamii wala magazeti. Lile bando alilolilipa kwa ajili ya airtime na vichwa vya habari magazetini limechacha na sasa amechacha hana hata senti ya kuvinunua vyombo vya habari.

Ndani ya CHADEMA makamanda wamemchoka na wamekata tamaa. Hawaoni msaada wa huyo mzee ndani ya CHADEMA ya sasa ambayo inajaribu kila njia kupambana na Rais Magufuli ambaye anazidi kupanda chat siku hadi siku katika utendaji wake uliotukuka.

Najiuliza sana, hivi huyu mzee atafika salama 2020? Na je ikitokea CHADEMA wakawa na mbadala wake 2020, huyu mzee atakuwa katika hali gani?. Ni wazi kwamba atakuwa na mwisho mbaya.

Time will tell.
Hivi hua huna mada nyingine za maendeleo zaidi ya CHADEMA. Raisi keshasema hakuna siasa mpaka 2020 lakini wewe ni mada hiyo hiyo moja ya Chadema kilasiku!

Kuna reli/SGR, barabara, viwanda, nikataba mibovu ya gesi na madini, Bashiteism, etc.
 
Hivi huyu mleta Mada ni mwanaume au mtoto wa kiume? Au posho za Lumumba zinakutoa ufahamu kiasi hicho? Matokeo ya tabora umeyapata lakini? Lowasa siyo mwanasiasa hizo unazofikiria wewe ndiyo maana vikao vyenu ccm bado mnaweweseka sana hamuaminiani na bado wengine mnataka kuwatimua very soon.
Ulitaka lowasa kwa sasa afanye siasa gani na huku mkulu kazuia siasa mpaka 2020. Ni nani kati ya magu na lowasa amepoteza ushawishi kwa wananchi kwa sasa. Kasome utafiti wa twaweza ccm inapendwa na wasio na elimu kweli kabisa angalia hata hao wanaochangia na kukusupport uelewa wao bado upo chini. Ila umetoa mtazamo wako siyo mbaya wahi buku saba lumumba
 
Ukiona hata aliyepo hapati usingizi, kila akikutana na wenzake huko kwenye Chama, iwe on national TV au mkutano wa ndani analialia ovyo Lowassa Lowassa, ujue lipo jambo...
Toka upigwe chini kwenye ugombea ubunge hujawahi kutuliza akili
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Ni dhahiri sasa Lowassa amefilisika kisiasa. Amefulia na amekata tamaa. Hajui wapi anakoelekea.

Ule umaarufu wake umepotea sasa. Hakuna anayemjali tena si mitandao ya kijamii wala magazeti. Lile bando alilolilipa kwa ajili ya airtime na vichwa vya habari magazetini limechacha na sasa amechacha hana hata senti ya kuvinunua vyombo vya habari.

Ndani ya CHADEMA makamanda wamemchoka na wamekata tamaa. Hawaoni msaada wa huyo mzee ndani ya CHADEMA ya sasa ambayo inajaribu kila njia kupambana na Rais Magufuli ambaye anazidi kupanda chat siku hadi siku katika utendaji wake uliotukuka.

Najiuliza sana, hivi huyu mzee atafika salama 2020? Na je ikitokea CHADEMA wakawa na mbadala wake 2020, huyu mzee atakuwa katika hali gani?. Ni wazi kwamba atakuwa na mwisho mbaya.

Time will tell.

Akili inagoma.jpg

Sina Usingizi !!!!!! - LOWASA.jpg
 
Rais hawezi kumwachia Tanzania ya sasa Lowasa hata kwa sekunde moja. Magufuli kafanya kazi kubwa kuwashambulia mafisadi, wazembe kazini, wauza madawa ya kulevya nk

JE, UNAWEZA KUNITAJIA MAFISADI ALIOWAWAJIBISHA???

NA KWA HATUA ZIPI???
 
Back
Top Bottom