mshahara wa mtu ni personal kutegemeana na negotiation na what u r worth!
Hivyo mnashauriwa mtafute those highly paying jobs
FYI IM NOT JUST ASSUMING naongea kwa kujiamini nazungumza nini.Kama unajua kusoma between the line haya.
That's very lame of you!! Unatumia kisingizio cha confidentiality....puliiiiz. Kwani hawazitangazi hizo kazi zinazolipa hiyo $20,000.00 kwa mwezi?
Okay, unaweza kunipa mifano ya kazi ambazo zinalipa huo mshahara?
tehe tehe mkuu nipo bongo sipo majuu narudia tusidanganyane......wewe ndio umevuruga kabisaaaaaWoS,
it is difficult (and not fair) to give example of anyone getting good pay, but at least we can say that top execs of most corporates [multinationals], health professionals, highly skilled finance, IT and some engineers range from 5,000 - 12,000 per month; some EU, WB, US and DFID funded projects on health, infrastructure development, ICT and most of research also pay from 4500 to 15,000 per month. we do also have a few government agencies that advertised their executive posts internationally such as TANROADS, MSD etc with pay range from 10,000 - 20,000.
There are also middle to high level posts in most health programs with salary ranging from 2000 for junior managers to 6,000 for senior managers. all International universities having some development programs in the country [especially health] have their technical staffs get paid around 3000 - 8000. A GOOD EXAMPLE GOES TO PEPFAR AND EU AND WB, PROBABLY NORAD/DANIDA TOO
mostIT experts [i mean experts] get well above average packages - A PERSON ABROAD IS AT BETTER BARGAIN POWER IF THEY APPLY FROM OUTSIDE...
Ni kampuni au shirika gani hilo linalolipa vizuri hivyo Tanzania na uchumi tulionao? Naanza kushawishika kuwa ulikuwa unaongea tu bila ya kuwa na ukweli wowote wa kile ulichokuwa unakiongelea.
Ukiniuliza mimi hapa GA nani au kazi gani inalipa hiyo $20,000.00 (ambayo ni $240,000.00 kwa mwaka) nitakutajia bila kusita. Iweje wewe uanze kujihami hami na kupata kigugumizi kama unaongea kwa kujiamini. Girl please......
It may be not very easy but most of international companies [all sectors] with offices in EA they posts lots of opportunity... [he hata Bakhressa anaweza kulipa 10,000 if you bargain well]
tehe tehe mkuu nipo bongo sipo majuu narudia tusidanganyane......wewe ndio umevuruga kabisaaaaa
It may be not very easy but most of international companies [all sectors] with offices in EA they posts lots of opportunity... [he hata Bakhressa anaweza kulipa 10,000 if you bargain well][/QUOTE
Hivi kweli Yo yO na Ngwani hawajui au wanazuga tu!
Haishangazi maana kuna wengi unasikia wanauliza " hii kazi ulipataje? ulikuwa na godfather/mother au? Kumbe opportunities zipo ni wewe ushindane tu.
Kuna websites kama findajobinafrica.com; reliefweb.com;awid.com;na nyingine nyingi tu.Thats how people spot opportunities.Pia soma magazeti kama The East Africa na mengineyo with serious stuff achana na Ijumaa,Kiu. Risasi etc..huko hutakaa uone kitu cha kuinua maisha yako bali umbeya na upuuzi mwingine tu.
nakuambia kama ingekuwa hivi hakuna ambae angejiangaisha kwenda majuu....we do also have a few government agencies that advertised their executive posts internationally such as TANROADS, MSD etc with pay range from 10,000 - 20,000.
It may be not very easy but most of international companies [all sectors] with offices in EA they posts lots of opportunity... [he hata Bakhressa anaweza kulipa 10,000 if you bargain well][/QUOTE
Hivi kweli Yo yO na Ngwani hawajui au wanazuga tu!
Haishangazi maana kuna wengi unasikia wanauliza " hii kazi ulipataje? ulikuwa na godfather/mother au? Kumbe opportunities zipo ni wewe ushindane tu.
Kuna websites kama findajobinafrica.com; reliefweb.com;awid.com;na nyingine nyingi tu.Thats how people spot opportunities.Pia soma magazeti kama The East Africa na mengineyo with serious stuff achana na Ijumaa,Kiu. Risasi etc..huko hutakaa uone kitu cha kuinua maisha yako bali umbeya na upuuzi mwingine tu.
Hueleweki! Nakushauri ubakie tu kule kwenye jukwaa la mapenzi kwani haya mengine huyawezi....
tehe tehe mkuu nipo bongo sipo majuu narudia tusidanganyane......wewe ndio umevuruga kabisaaaaa
Mkuu,Sasa kama unaongea kwa kujiamini kigumu ni kipi katika swali nililokuuliza au mfano niliokuomba? Kwa nini ombi/swali langu unalichezea mduara? Ya nini nisome katikati ya mstari wa kile unachokisema wakati mimi sijaomba 'specifics'.
Ni kampuni au shirika gani hilo linalolipa vizuri hivyo Tanzania na uchumi tulionao? Naanza kushawishika kuwa ulikuwa unaongea tu bila ya kuwa na ukweli wowote wa kile ulichokuwa unakiongelea.
Ukiniuliza mimi hapa GA nani au kazi gani inalipa hiyo $20,000.00 (ambayo ni $240,000.00 kwa mwaka) nitakutajia bila kusita. Iweje wewe uanze kujihami hami na kupata kigugumizi kama unaongea kwa kujiamini. Girl please......
nakuambia kama ingekuwa hivi hakuna ambae angejiangaisha kwenda majuu....
ULIZENI WANAOKUJA LIKIZO SIO WALE SUICIDE BOMBERS [WA-KUJILIPUA]
mkuu unazidi kutokota.....mkuu nakuambia labda uwadanganye walioko majuu mie nipo hapa.....Aisee, bongo inaanzia mbagala, udzungwa, masaki, tegeta hadi kigamboni, au msasani pia, inategemea uko bongo gani
HIVI WALE MADIRECTOR WA TANROADS, MSD, ALL SCANDINAVIA PROGRAMS, US FUNDED HEALTH PROGRAMS (MCC,USAID/PEPFAR), ALL MINING COMPANIES AND MOBILE COMPANIES PLUS BANKS WANATOKEA KWENYE VIKWAPA VYA MAMA ZAO? AU TOOTHPICKS ZA DETROIT, AU VYOO VYA NORTH CAROLINA?... AU ***** ZA BIBI ZAO???????? ACHENI NEGATIVITY, ULIZENI WANAOKUJA LIKIZO SIO WALE SUICIDE BOMBERS [WA-KUJILIPUA]
TUKO BONGO NA HAYO MNAYOJIFIA NAYO PIA TULISHAPITA......... IF YOU ARE REALLY SERIOUS UNATAKA KURUDI UNAWEZA, LAKINI KAMA UPO SWAFI HAPO ULIPO, ENDELEA NA USISAHAU KUTUTUMIA VISENTI KWA WESTERN UNION OR DIRECT WIRING
TUPENDANE NA KUAIDIANA NA SI KASHFA....NDIO MAANA TUNAKIMBIANA NCHI ZA WATU NA KUFANYA MAAFISA UBALOZI NAO KUKIMBIA WABONGO WAKIDHANI KILA MTU ANA SHIDA
Hueleweki! Nakushauri ubakie tu kule kwenye jukwaa la mapenzi kwani haya mengine huyawezi....
nAONA ASHAKUWA KIRANJA, TULIO BONGO HATUELEWI WEWE ULIYE HUKO NDIO UNAELEWA....THIS IS FUNNY
KUMBE ASHAANZA KUPANGA NA MAJUKWAA YA WATU KWENDA...... HONGERA MANDELA [NG'WAMUNG'WAMU KWA KUTOKA KIFUNGONI
Mkuu,
I rest my case! Maana we will be going in circles endlessly... na utabakia kusema sijui ninachoongea na huku unakiu ya kujua zaidi.Lets leave it at that Mkuu.Ila mjue kuwa aisifue mvua imemnyeshea.
WoS kasema watu wanapata mnywamwezi elfu 20 kashindwa kutaja hata sehemu basi ambazo wana packages za namna hio...... MLIOMBA WOS ATAJE, MMEPEWA MIFANO HAMTAKI.... BASI AMUENI MNAVYOTAKA
Nakumbuka niliacha kazi za kuajiriwa nikiwa nalipwa Tshs 2.5m, nilikata tamaa baada ya kuwa-organise wafanyakazi na kuwaeleza haki zao nao wakaongezewa mishahara kidogo wakafurahi as if wamekidhiwa shida zao!
Imagine:
Nilikuwa na expenses hizi:
Sasa hapo kuna vitu kibao ambavyo sijaviunganisha, nikajaribu kufikiria namna ya kukata matumizi ikawa tatizo sana! Nikaamua kupiga chini kazi ya kuajiriwa na kuamua kujiajiri. Ni ngumu kuanza, ngumu kuamua, ngumu kumweleza mwenzako (kwa walioolewa ama kuoa) lakini wakati mwingine inabidi kujilipua tu!
- Daily naacha Tshs 30,000 kwa ajili ya makulaji home... Mwezi inakuwa ni Tshs 900,000/=
- Daily nilikuwa natumia Tshs 15,000 (kwa uchache) kwa simu, hivyo ni 450,000/- monthly
- Daily nilikuwa natumia petrol ya walau Tshs 20,000/- kwenye gari hivyo ni 600,000/= kwa mwezi.
- Monthly nilikuwa natumia Tshs 500,000/= kama kodi ya nyumba ili kukaa walau eneo lenye usalama kiasi.
- Monthly mlinzi alikuwa ananigharimu Tshs 120,000/=
- DSTV monthly ilikuwa almost Tshs 100,000/=
- Maji na Umeme monthly ni almost 100,000/=
- Service gari ni almost 150,000/= monthly.
- Daily nilikuwa natumia atleast 15,000 kwa lunch yangu na kinywaji kidogo nikitoka kazini... montly ni 450,000/=
- Matumizi yasiyoonekana (miscellaneous) kwa mwezi ni almost 500,000/=
Ni maisha tu, mahala kwingine wanaofanya kazi sana wanalipwa kidogo sana, mahala kwingine ni kinyume chake!
Wengine wanajikuta wanafanya deals ambazo si salama kwao na kwa jamaa zao kitu ambacho naamini kwa Muumba ni dhambi.
Bongo kugumu, heri huku nilipo, kuna u-afadhali!
haya mambo ndio anasemaga kikwete akienda ughaibuni......ooh kazi zipo njooni..opportunity zipo kibao..nyie kama wazawa nawakikishia kuna fursa nyingi njooni mjenge kwenu......
...hizo fursa jamani zitajeni.....