Why??
Kwa nini??? Endelea..Kimpango wako!!
Kudadeki ..kila mtu na maisha yake!!!
.....waliosema America the beautiful hawakukosea,watu huku wameiva na kutakata ile mbaya kwa misosi,hewa safi,maji ya moto 24/7 na kila aina ya shampoo,education huku ni kwa kila mtu kama una nia na kazi kidogo tuu utasoma,huyo mnayemwita mpiga box ana afford cable with high definition,high speed internet,gari,blackberry,hata designer jeans sio big deal etc na bila kusahau anatuma school fees kwa wadogo zake wawili pale mlimani na tayari ana kiwanja boko na kila mwaka wako bongo,nyie na korosho zenu endeleeni kujipa moyo tuu wanaoishi states wana tough times,nafikiri inawafanya mjisikie vizuri kidogo (sio vibaya) lakini states sio league yenu ila mnakaribishwa kuja kuenjoy life kama wengine.
mambo ya watu na viatu hayo!Taarabu ya Hadija Kopa!
tehe tehe tehe......umesahau na wale AKA wa akina ng'wani..........waliosema America the beautiful hawakukosea,watu huku wameiva na kutakata ile mbaya kwa misosi,hewa safi,maji ya moto 24/7 na kila aina ya shampoo,education huku ni kwa kila mtu kama una nia na kazi kidogo tuu utasoma,huyo mnayemwita mpiga box ana afford cable with high definition,high speed internet,gari,blackberry,hata designer jeans sio big deal etc na bila kusahau anatuma school fees kwa wadogo zake wawili pale mlimani na tayari ana kiwanja boko na kila mwaka wako bongo,nyie na korosho zenu endeleeni kujipa moyo tuu wanaoishi states wana tough times,nafikiri inawafanya mjisikie vizuri kidogo (sio vibaya) lakini states sio league yenu ila mnakaribishwa kuja kuenjoy life kama wengine.
mambo ya watu na viatu hayo!
tanzania ni nchi ambayo inabidi ijitafutie sayari yake yenyewe.....Tusishangae sana kama vile Tanzania haina kitu na watu wake wote ni maskini wa kutupwa au ni mafisadi wasioweza kujipatia vipato halali! We need to be positive and optimistic kwamba yes we can make it even in our own country.Kama wazungu, wahindi na waarabu wanaweza hapahapa TZ kwanini sisi - wahehe, wasukuma, wanyakyusa tusiweze?
.....waliosema America the beautiful hawakukosea,watu huku wameiva na kutakata ile mbaya kwa misosi,hewa safi,maji ya moto 24/7 na kila aina ya shampoo,education huku ni kwa kila mtu kama una nia na kazi kidogo tuu utasoma,huyo mnayemwita mpiga box ana afford cable with high definition,high speed internet,gari,blackberry,hata designer jeans sio big deal etc na bila kusahau anatuma school fees kwa wadogo zake wawili pale mlimani na tayari ana kiwanja boko na kila mwaka wako bongo,nyie na korosho zenu endeleeni kujipa moyo tuu wanaoishi states wana tough times,nafikiri inawafanya mjisikie vizuri kidogo (sio vibaya) lakini states sio league yenu ila mnakaribishwa kuja kuenjoy life kama wengine.
Si tumeambiwa umekimbia mjadala baada ya kutukanwa? Kumbe upo na wala hujakimbia.....
Si tumeambiwa umekimbia mjadala baada ya kutukanwa? Kumbe upo na wala hujakimbia.....
Nzokanhyilu;421420 [SIZE="3" said:Kuhusu concept ya private care, nimesikitika kuona mtu kama FMES ukisema watu watibiwe nje.[/SIZE] !
MTM,
Aaaaaaaaaaaaaah sasa unatia aibu mkulu, Yo Yo hana maana anataka video za wanaolipwa 20k.....anataka just concrete evidence ya hao watu au mashirika yanayolipa hivyo na si video kama ulivyoelewa.Hapo ya video ni mfano tu alioutoa na si vinginevyo.Mie ndo nilivyomuelewa.
Still on my case hata baada ya kukupa a break?
Obviously siyo wewe wala the likes of u can intimidate me.
I dont condone ur language and style.
.....waliosema America the beautiful hawakukosea,watu huku wameiva na kutakata ile mbaya kwa misosi,hewa safi,maji ya moto 24/7 na kila aina ya shampoo,education huku ni kwa kila mtu kama una nia na kazi kidogo tuu utasoma,huyo mnayemwita mpiga box ana afford cable with high definition,high speed internet,gari,blackberry,hata designer jeans sio big deal etc na bila kusahau anatuma school fees kwa wadogo zake wawili pale mlimani na tayari ana kiwanja boko na kila mwaka wako bongo,nyie na korosho zenu endeleeni kujipa moyo tuu wanaoishi states wana tough times,nafikiri inawafanya mjisikie vizuri kidogo (sio vibaya) lakini states sio league yenu ila mnakaribishwa kuja kuenjoy life kama wengine.
tanzania ni nchi ambayo inabidi ijitafutie sayari yake yenyewe.....
.....kila mtu bongo fisadi kuanzia kwa jk mpaka mkaanga chips anaetumia mafuta ya transfoma kukaangia chips......
- Ninaomba kurudia nilichosema na ninasimamia maneno yangu kwa 100%, kwamba kwa mbongo yoyote aliyewahi kushi majuu au US kwa zaidi ya miaka mitano, utakwua ni wenda wazimu siku moja kubeba na kufungasha mizigo na kurudi bongo bila mipangilio ya kujiweka sawa na system ya huko majuu kwa ajili ya matibabu mbele ya safari, atakapokuwa bongo,
- Katika miaka mitano utakayoishi huko majuu, lazima uwe mhangaikaji wa kufikia kujiingiza kwenye system ya Social Security, meaning kwamba utakwua unakatwa hela flani katika mshahara wako, ambao zitakua ni za Social Security na Medicaid, na kwa huko ma-US ku-retire sio lazima ufike 65 au 67, unaweza ukawa 40 na ukaamua kutafuta njiia za mkato zipo nyingi sana uka-retire hivyo ku-secure pension, na matibabu ya bure ingawa ni lazima ulipe co-payment kila unapojaribu kutibiwa kule US, ambayo haitazidi dola 5, sasa unaweza kurudi bongo unalegua pension na matibabu bure, sasa kwa nini usiende ukiumwa?
Kwa mawazo haya ndugu yangu ninayasimamia kwa 100%, kwamba ndio the right thing kama umemenyeka majuu hasa US na unataka kurudi bongo kula kuku kwa mrija, wengi wamefanya na wengine wanaendelea kufanya haya, badala ya kuiba makontena na credit cards, ule ni uzembe sana kwa sababu hata ukirudi bongo utaiba tena!
Ahsante Mkuu.
FMES!
. So wewe unaposema watu waende nje ya nchi kutibiwa, ni jinsi gani inaonyesha nchi ilivyo choka mbaya hata viongozi wanaenda kutibiwa nje ya nchi. Hii haionyeshi pride yoyote kwa nchi inayosifiwa mambo tambarare. Hapo husaidii kutetea upande wanaosifia Tanzania. Ila imenishangaza, you of all people unayependa kutetea wanasiasa fulani fulani, kama mawazo yako ni hivi, na nijuavyo na wenyewe hutibiwa nje ya nchi...basi mawazo yao nao ni hivyo hivyo, and there is nothing to be proud of Tanzania in terms of health care, maana viongozi hawana mpango wa kubadili, na wananchi hawana mpango wa kubadili.
Yaani yoote uliyoyasema hapo tunapata na korosho juu, halafu tunasomesha wanne na kusaidia wanapita dar kwenda muhimbili kwa viuji vya ulezi ndugu... dont degrade Tanzania to that extent
we have different opinions and experience but we shouldnt look at people in Tanzania as people in the jungle because that wouldnt make any difference from the ignorant wazunguz who think we live in trees
Lets trade blows with respect and harmony as we always do as TAnzanians