Rubani msaliti apigwa risasi akiwa mafichoni Uhispania

green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
11,306
35,852
Rubani wa Jeshi la Russia aliyetorosha Hellicopter ya Kijeshi kwenda Ukraine na kuiuza kwa $ 500000 huku akisababisha wenzako kuuwawa amekutwa amefariki kwa kupigwa risasi huko Uhispania na hii ndio dawa ya traitor (Msaliti)

NEW:

Another Russian "Traitor", Eliminated

The Russian pilot who took a helicopter to Ukraine and led his two colleagues to death, was found dead in Spain.

The body of a 33-year-old was found on the garage ramp with bullet wounds.

At a press conference together with members of the Ukrainian army, he boasted how he sold out his friends and colleagues, leading them to death.

He also boasted that he got $500,000 for the helicopter.

t.me/megatron_ron
20240223_030417.jpg
 
Ww ni mwana Siasa ama una chuki na CCM? Mm ni mwana Chama wa CCM lakini Ofisi yangu imewapa fursa Vijana wa aina zote maadamu ni WATANZANIA.
krb 80% ya watu wangu wa krb mliowachakachulia elimu wakafauli km kumbi kumbi leo hawana ajira , je ni vijana wapi unawazungumzia ? % kubwa ya wanachama wa ccmu huwa ni vipofu wa ufahamu yaani hamuoni
*Mgao wa umeme
*Kukithiri kwa Rushwa
*Ubovu wa miundo mbinu nje ya Dar
*Ukosefu wa ajira kwa vijana
*Mfumuko wa bei za vyakula , nauli na vinginevyo
* Huduma mbovu kwenye taasisi za umma
*Taasisi nying kushikwa na elimu ya diploma na wenye degree wapo mtaani

WANAWEZA KUMSIFIA MAMA TU " ANAUPIGA MWINGI " IWAPO UKIMKOSOA MAMA MBELE YA WANA CCMU BASI UHAI WAKO UTAKUWA UNAKARIBIA TAMATI

SAMIYAAA OYEEEEE
 
Oyeeeee
 
Dalili za majeshi yasiyo na nidhamu hizo! Usaliti ni one of the indicators za jeshi la ovyo wala hakuna la kujisifia eti "eliminated"! Mbona hayo hayaonekani majeshi mengine? Big failure!
Hakuna jeshi ambalo hakuna wasaliti binaadam tamaa ndio zinafanya wanasaliti hata huko fbi,cia,kgb wasaliti kibao wanaouza siri za nchi ndio itakuwa jeshi
 
Dalili za majeshi yasiyo na nidhamu hizo! Usaliti ni one of the indicators za jeshi la ovyo wala hakuna la kujisifia eti "eliminated"! Mbona hayo hayaonekani majeshi mengine? Big failure!
mbona kuna mwanajeshi wa marekani alitorokea korea kaskazini walipoenda kwenye mazoezi korea kusini...............na pia wapo wanajeshi kadhaa wa ukraine wanakimbilia urusi, ndo maana ukraine aliamua kulipua ndege ya urusi iliyobeba mateka wa jeshi la ukraine maana huko mbeleni wangeenda kutoa siri na wengine kuhamia upande wa pili
 
krb 80% ya watu wangu wa krb mliowachakachulia elimu wakafauli km kumbi kumbi leo hawana ajira , je ni vijana wapi unawazungumzia ? % kubwa ya wanachama wa ccmu huwa ni vipofu wa ufahamu yaani hamuoni
*Mgao wa umeme
*Kukithiri kwa Rushwa
*Ubovu wa miundo mbinu nje ya Dar
*Ukosefu wa ajira kwa vijana
*Mfumuko wa bei za vyakula , nauli na vinginevyo
* Huduma mbovu kwenye taasisi za umma
*Taasisi nying kushikwa na elimu ya diploma na wenye degree wapo mtaani

WANAWEZA KUMSIFIA MAMA TU " ANAUPIGA MWINGI " IWAPO UKIMKOSOA MAMA MBELE YA WANA CCMU BASI UHAI WAKO UTAKUWA UNAKARIBIA TAMATI

SAMIYAAA OYEEEEE
Hii mambo ya ajira, mama kaajiri sana.
 
Serikali ya Russia ni ya kikatili kama serikali ya CCM..

Tofauti ni kwamba Russia kuna viongozi wanaojitambua wakati Tanganyika kuna vilaza wa kufa mtu kiasi kwamba uwezo wao mdogo wa kufikiri ni msalaba tosha kwa wananchi wa taifa hili.
Dah, kuna ukweli ndani yake
 
Dalili za majeshi yasiyo na nidhamu hizo! Usaliti ni one of the indicators za jeshi la ovyo wala hakuna la kujisifia eti "eliminated"! Mbona hayo hayaonekani majeshi mengine? Big failure!
Alipoiba ndege na kuiuza alionekana shujaa upande wenu,ameliwa kichwa anaonekana katokea majeshi yasio na nidhamu.
Edward Snowden anatafutwa na USA Hadi Leo,au labda kwa sababu Snowden sio mwanajeshi?
 
Back
Top Bottom