ECG Makongo na ibada ya kula nyama Ijumaa Kuu

ECG Makongo na ibada ya kula nyama Ijumaa Kuu

Ninachoshindwa kuwaelewa ECG ni mda mwingi kutumia kusema i receive, kila mtume akiongea nao wanapokea i receive, na wanamwomba Mungu wa major one, sasa sijui kwa nini mnashindwa kumuomba Yesu kristo wa nazareth? Mnaomba kwa jina la Mungu wa major??
Hata Mimi Kwakweli hapo Sielewi vzr inakuaje, KISU cha Ngariba Njoo useme
 
Ningekuwa na uwezo huo, ningemrekodi video jamaa yetu na cheupe na kuiweka YouTube!.

Au ningewaonyesha waliomdungua Tundu Lisu

P
sasa kwenye meditation uwa mnaona nini?
nilitegemea mngekuwa mnafumbua mafumbo mazito kama haya..
tupo njia panda hatujui tuchome ubani Wa hitma au tusubiri atarudi.
mtusaidie watu Wa meditation na waganga Wa kienyeji.
mabingwa Wa kupiga ramli.
 
Wangejiita jina lingine na sii Wakristo.........wageyaita majengo yao jina lingine na sii Makanisa
Ukiondoa Catholic, makanisa ya kipentekoste na kiprotestant hakuna marufuku ya kula nyama Ijumaa. In fact, hakuna mahala kwenye Biblia imekatazwa kula nyama Ijumaa kuu, ni mapokeo tu ya Kanisa takatifu Katoliki
 
Kanisa la anaejiita major one mkuu mkiwa mnakula kumbushaneni kua Mungu hua hadhihakiwi
 
Hahah,hilo kanisa siwez lisahau mkuu,..nilipeperushiwa ndege wangu hiv hiv......wanahuduma ya kutabiri na maono bas dem wangu aliambiwa mim si muoaji na ikiwezekana aachane namim,..hahaah,au la niende hapo church nkaombewe,hahah,mim ni RC dam dam siwez kubal dram hyo...makanisa haya yana maigizo sana ukuhudhuria,dem huyo alinishawish mara 2,ila kwa style ile ya mahubir na huduma,nkamwona mtalemwa mjasiriamali mwenzangu tuu,skwenda teeena,..ila magar yanayopak pale ni balaa,kuna watoto balaa na watu maaruf.

Hyo I RECEIVE na kupigia magot pastor ndo iliniacha hoi
Mkuu uliona ile dressing style yao? Nlikuta mwanaume kavaa hadi hereni, then wakianza kusifu wanawake hadi wanakatika,,,,sikurudi na sitorud
 
In Pengo voice " hilo Kanisa lina mazuri mengi tu, sema kusosomola minyama Ijumaa kuu ni kuchanganya ya Mungu na ya walimwengu na tena sema sikuwepo wakati wanaandaa huo waraka, oh! Sorry iyo ibada ya minyama. .......!!??" Tinaendelea kutafakari Waraka.
kwani kula nyama siku ya ijumaa kuu ni kosa?
 
Ukiondoa Catholic, makanisa ya kipentekoste na kiprotestant hakuna marufuku ya kula nyama Ijumaa. In fact, hakuna mahala kwenye Biblia imekatazwa kula nyama Ijumaa kuu, ni mapokeo tu ya Kanisa takatifu Katoliki
Makanisa yote ambayo yapo katika misingi bora na imara na yapo kitaasisi kama RC,LUTHERAN na ANGLIKANA hawali. Yale ambayo yapo mifukoni mwa watu ambaye hata akisafiri hakuna mtu anayeruhusiwa kuongoza ibada na badala yake kuweka kanda ya mheshimiwa huyo anayejiaata askofu nabii mwinjilisti mtume na ambao hufanya maigizo ya kufufua na kutoa mapepo na ambao hawajui hata litrujia ya ijumaa kuu ni nini cha kufanya na unawakuta siku hiyo waimbaji wanaserebuka na magitaa yao kama kawaida huku wakishangilia 'TUSHANGILIE IJUMAA KUU AMEEEN" Hao ndio wanakula maana hawajui lolote
 
Mungu apendi vuguvugu
Kama wewe ni barid kuwa baridi tu!!
Na kama ni moto kuwa moto tu!!

Wenye dini yao leo hawali nyama sijui wapi imeandikwa ila mimi sio mkamilifu ni mwenye dhambi.Sion umuhimu wa kuepuka dhambi moja tu wakati zingine nafanya tena wakat najua ni dhambi!!

Leo ni Italian buffet nyama za kutosha sijui kama nitaweza kuziepuka
 
Mathayo : Mlango 26

26 Nao walipokuwa wakila Yesu alitwaa mkate, akabariki, akaumega, akawapa wanafunzi wake, akasema, Twaeni, mle; huu ndio mwili wangu

Marko : Mlango 14

22 Nao walipokuwa wakila, alitwaa mkate, akabariki, akaumega, akawapa, akasema, Twaeni; huu ndio mwili wangu.

Kutakuwa Na ibada ya kula nyama siku ya Ijumaa Kuu kwenye kanisa la ECG Makongo Juu linalo ongozwa Na Chief Apostle Mtalemwa Deonis.
Wote mnakaribishwa.
Bujibuji nitakuwepo kusonsomola misosi, tena Kitimoto ndio ijiandae kabisa kuandika maumivu.
Don't dare to miss
Kwan wakristo hawali nyama siku ya ijumaa kuu kwa andiko lipi
 
Mungu apendi vuguvugu
Kama wewe ni barid kuwa baridi tu!!
Na kama ni moto kuwa moto tu!!

Wenye dini yao leo hawali nyama sijui wapi imeandikwa ila mimi sio mkamilifu ni mwenye dhambi.Sion umuhimu wa kuepuka dhambi moja tu wakati zingine nafanya tena wakat najua ni dhambi!!

Leo ni Italian buffet nyama za kutosha sijui kama nitaweza kuziepuka
wewe kula nyama bhana hakuna dhambi yeyote hizo ni sheria wamejiwekea wanadamu kwenye makanisa yao lakini sio za Mungu
 
Makanisa yote ambayo yapo katika misingi bora na imara na yapo kitaasisi kama RC,LUTHERAN na ANGLIKANA hawali. Yale ambayo yapo mifukoni mwa watu ambaye hata akisafiri hakuna mtu anayeruhusiwa kuongoza ibada na badala yake kuweka kanda ya mheshimiwa huyo anayejiaata askofu nabii mwinjilisti mtume na ambao hufanya maigizo ya kufufua na kutoa mapepo na ambao hawajui hata litrujia ya ijumaa kuu ni nini cha kufanya na unawakuta siku hiyo waimbaji wanaserebuka na magitaa yao kama kawaida huku wakishangilia 'TUSHANGILIE IJUMAA KUU AMEEEN" Hao ndio wanakula maana hawajui lolote
Kuheshimu imani za wengine hakukupunguzii chochote!! Lutheran si taasisi? Moravian Je? TAG, EAGT, FPCT nk?
Kudharau imani ya wengine hakukufanyi yako iwe sahihi. By the way, yeyote akiweza kuniletea andiko kwamba kula nyama Ijumaa kuu ni kosa kibiblia nitaahirisha kula mbuzi wangu kesho
 
mimi nafikiri kutokula nyama siku ya ijumaa kuu ni sheria za kanisa walizojiwekea wenyewe lakini sio sheria ya Mungu maana sioni ni wapi imekatazwa
hebu tuzitizame tena amri alizopewa MUSSA.!
 
Watoto wa udsm hujaa pale wakishindana mavazi. MI siku moja nlienda nkamwona dada mmoja ndani ya kanisa ana msambwanda hatari af amevaa kimini, daah nikadisa. Nikaona upako ushaharibika, nikachimba zangu.
 
Back
Top Bottom