Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,175
- 166,158
.
John 6:53
[53]Then Jesus said unto them, Verily, verily, I say unto you, Except ye eat the flesh of the Son of man, and drink his blood, ye have no life in you.
Basi Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambieni, Msipoula mwili wake Mwana wa Adamu na kuinywa damu yake, hamna uzima ndani yenu.
*KULA mwili wa Yesu tafsiri yake ni kakubali mateso yake msalabani yaliyotuletea uhuru*
Kwa ijumaa hii kama ishara ya kakubali mwili wa Yesu tutakula nyama hasa ya nguruwe iliyo tamu zaidi.
Kutakuwa Na ibada ya kula nyama siku ya Ijumaa Kuu kwenye kanisa la ECG Makongo Juu linalo ongozwa Na Chief Apostle Mtalemwa Deonis.
Wote mnakaribishwa.
Bujibuji nitakuwepo kusonsomola misosi, tena Kitimoto ndio ijiandae kabisa kuandika maumivu.
Don't dare to miss