Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,169
- 166,142
- Thread starter
- #21
Kuna ubaya gani kuwa Na baba wa kiroho?Bora na ww umeona hilo...huku wanamuita huyo nabii wao baba...
Hata Papa tafsiri yake ni baba
Kuna ubaya gani kuwa Na baba wa kiroho?Bora na ww umeona hilo...huku wanamuita huyo nabii wao baba...
Mtalemwa amekulipa umpigie promo sio...hahahaah,,.sabab RC ijumaa is no meat day naona yeye ameamua kufanya nyama choma festival....the dude is smartKweli kabisa ulikuwa sii muoaji. VP Bado upo upo hadi lini?
OwkeyUtakuja kulisikia vyema siku yakitokea ya mfano wa yale ya Kibwetere
Hana hata haja ya kutunza mafuta. Siku ikiwadia mnatumwa nyinyi wenyewe mkayalete, na mtaenda mkisema aaamen, pokeaaaa, pokeaaaECG wanatunza petrol kanisani?
Mkuu soma mathayo 23:09 utapata jibuKuna ubaya gani kuwa Na baba wa kiroho?
Hata Papa tafsiri yake ni baba
Kila mtu anapeleka Lita ngapi?Hana hata haja ya kutunza mafuta. Siku ikiwadia mnatumwa nyinyi wenyewe mkayalete, na mtaenda mkisema aaamen, pokeaaaa, pokeaaa
Kwa kuwa mtaambiwa mwenye kupeleka nyingi ndio atakuwa wa mbele kuingia mbinguni, natabiri uhaba wa petrol kwenye vituo vya karibuKila mtu anapeleka Lita ngapi?
Mimi nitapeleka tanker zimaKwa kuwa mtaambiwa mwenye kupeleka nyingi ndio atakuwa wa mbele kuingia mbinguni, natabiri uhaba wa petrol kwenye vituo vya karibu
Usifikiri kila anayemtaja Yesu anamtaja Yesu wa nazareth mkuu, hapa tz kuna makanisa kibao hawamtaji Yesu wa nazareth mkuu, ukisikia Yesu kristo haimaanishi yule wa kweli kwenye bible kuwa makini sana na hawa manabii na mitume, ndio maana ukifuatilia utakuja kukuta mtalemwa ni mtume wa major one sio wa Yesu, katumwa na major one sio Mungu. Ndio maana kwenye ibada lazima awe anamtaja Mungu wa major one kuliko Yesu wa nazareth mwenyewe. Bongo kuna manabii kibao hawamtambui Yesu wa nazareth na wanatumia biblia hii unayoijua mfano kuna nabii Yaspi na nabii bendera wa makanisa ya ufunuo moja lipo buza lingine lipo kimara mwishoKwa hiyo hawamuhubiri Yesu?
Nini tofauti kati ya Mungu wa Yakobo, Shadrach, Meshach, Ibrahim Elijah Na huyu Mungu wa Major 1.
Je ECG hawatumii Biblia?
Kwani kuna mayesu wangapi?Usifikiri kila anayemtaja Yesu anamtaja Yesu wa nazareth mkuu, hapa tz kuna makanisa kibao hawamtaji Yesu wa nazareth mkuu, ukisikia Yesu kristo haimaanishi yule wa kweli kwenye bible kuwa makini sana na hawa manabii na mitume, ndio maana ukifuatilia utakuja kukuta mtalemwa ni mtume wa major one sio wa Yesu, katumwa na major one sio Mungu. Ndio maana kwenye ibada lazima awe anamtaja Mungu wa major one kuliko Yesu wa nazareth mwenyewe. Bongo kuna manabii kibao hawamtambui Yesu wa nazareth na wanatumia biblia hii unayoijua mfano kuna nabii Yaspi na nabii bendera wa makanisa ya ufunuo moja lipo buza lingine lipo kimara mwisho
Kwani wee wamekukosea nini hao ECG? Au ni chuki tu binafsi?Wangejiita jina lingine na sii Wakristo.........wageyaita majengo yao jina lingine na sii Makanisa
Wanataka Yesu yupi?Usifikiri kila anayemtaja Yesu anamtaja Yesu wa nazareth mkuu, hapa tz kuna makanisa kibao hawamtaji Yesu wa nazareth mkuu, ukisikia Yesu kristo haimaanishi yule wa kweli kwenye bible kuwa makini sana na hawa manabii na mitume, ndio maana ukifuatilia utakuja kukuta mtalemwa ni mtume wa major one sio wa Yesu, katumwa na major one sio Mungu. Ndio maana kwenye ibada lazima awe anamtaja Mungu wa major one kuliko Yesu wa nazareth mwenyewe. Bongo kuna manabii kibao hawamtambui Yesu wa nazareth na wanatumia biblia hii unayoijua mfano kuna nabii Yaspi na nabii bendera wa makanisa ya ufunuo moja lipo buza lingine lipo kimara mwisho
Hata Lady Gaga aliwahi kutembea hewani. Kutembea hewani ni muujiza mdogo sana. Kaulize watu wa meditation kama Mshana Jr, Rakeem, Na Pascal MayallaKANISA LA MUHUNI NA MUONGO BUSHIRI TANGU ALIPOFEKI KWAMBA ANATEMBEA HEWANI NILIMDHARAU, NA ETI KUTUMIA SIMU AKIWA KANISANI KUMPIGA PICHA MTOTO WAKE ALIYE NYUMBANI UONGO MTUPU MY SELF NAAMINI KATIKA MIUJIZA ILA SI YA DESIGN HIII
Ni kweli kutembea hewani kupo, kunaitwa, levitation, na aspotation. Kwa kutumia nguvu za Mwanga, The Powers of Light, watu wanatembea hewani hata juu ya maji. Na pia kuna nguvu za giza, watu wanafanya mambo hayo, hivyo it depends unafanya miujiza kwa nguvu gani.Hata Lady Gaga aliwahi kutembea hewani. Kutembea hewani ni muujiza mdogo sana. Kaulize watu wa meditation kama Mshana Jr, Rakeem, Na Pascal Mayalla
Baada ya Yesu hakukuwa na nabii au mtume ambaye Mungu wake aliabudiwa ila wote walitangaza habari za Yesu wa nazareth, maana Yesu ndio Mungu pamoja nasi na ndo anaishi ndani yetu tunatakiwa kumwabudu yeye, hao wengine wa Mungu wa sijuia nabii nani, hao wanamkataa Yesu wa nazareth ndio maana hata mitume wa Yesu walikuwa wanasema Yesu wa nazareth ndio anafanya miujiza yote, ila leo hii eti Mungu wa mtume/nabii ndo anafanya!!!! Umeona wapi hii baada ya ujio wa Yesu??Kwani kuna mayesu wangapi?
Mimi hiyo ya kusema Mungu wa Major One sio issue, ni sawa tu Na kusema Mungu wa Yakobo, au Mungu wa Bujibuji, ili mradi huyo Mungu awe anaunganishwa Na YESU KRISTO wa Nazareth
Mkuu nilitaka nichangie hapo kwenye kutaja Mungu wa fulani ila naona mwishoni ume eleza kitu kizuri kwamba " ili mradi huyo Mungu awe anaunganishwa Na YESU KRISTO wa Nazareth".Hapo nikupe kikazi kidogo usiwe mwepesi wa kujibu bali tafakari na ukisema uwe na ushahidi wa kutosha,je mungu wa huyo Major wewe una uhakika gani ameunganishwa na Yesu wa Nazareth?Ukiwa na evidence nzuri hapo itakuwa safi.Mungu akubarikiKwani kuna mayesu wangapi?
Mimi hiyo ya kusema Mungu wa Major One sio issue, ni sawa tu Na kusema Mungu wa Yakobo, au Mungu wa Bujibuji, ili mradi huyo Mungu awe anaunganishwa Na YESU KRISTO wa Nazareth