ECG Makongo na ibada ya kula nyama Ijumaa Kuu

ECG Makongo na ibada ya kula nyama Ijumaa Kuu

YESU asingekufa tusingeupata wokovu. Tunafurahia kufa kwake kwa sababu ndio chanzo cha ukombozi wetu
Kipindi cha kwaresima ni safari na hitimisho lake ni kufufuka Yesu Kristo. Kipindi hiki tunasafiri kila hatua aliyopitia Yesu na mitume na wafuasi wengine. Tunapitia tafakari ya maumivu aliyopitia Yesu kuanzia kuteswa hadi kufa kwake.

Unafikiria yale aliyotendwa Yesu huku akiwa ni Mungu aliyejishusha kuwa mwanadamu. Huwezi kufurahia mateso na kufa kwa Bwana wako ndio maana mitume walihuzunika na kujifungia wakiwa hawana tena tumaini.

Nguvu ya furaha ya pasaka inakuja kutoka kwenye huzuni ya mateso ya Yesu kufa hadi kufufuka. Pengine wengi hamuelewi kwanini tunaita hii ni wiki takatifu. Pengine hamjui kwanini tunakuwa na ijumaa kuu, jumamosi hadi pasaka yenyewe.

Hizi ni hatua za tafakari kabla ya shangilio kuu siku ya pasaka. Otherwise tungetenga siku moja tu ya pasaka na kusherekea tu ufufuko wa Yesu!
 
Nakubaliana na wewe kwa sehemu lakini kosa mnalofanya ni kutenganisha maagizo ya Kanisa na ya Mungu. Hili mnahitaji shule kwelikweli.

Kwa mfano ni wapi Mungu anasema wanadamu wawe na Biblia yenye vitabu fulani tu? Kanisa kwa kuongozwa na Roho Mtakatifu likafanya hilo. Kama umekubali agizo la Kanisa kuwa Biblia unayotumia ndio sahihi kwanini upinge maagizo mengine?

Ukusoma matendo ya Mitume utaona mitume waliagiza waamini wauze kila walichonacho wagawane kwa usawa na kuishi kishirika. Watu waliuza na yule mtu na mke wake walipodanganya kiasi walichopata walipata mauti kwa kukaidi lile agizo. Je ingekuwa wewe si ungesema ni agizo la wanadamu na si Mungu? au imendikwa wapi tuuze kila kitu na kugawana sawa? Leo ambao hatufanyi hayo makanisa yote tunakosea? Nani alisitisha hili?

Ijumaa kuu tumeagizwa kutokula nyama na Kanisa likatoa sababu ili dunia nzima tusichinje au kumwaga damu kama ilivyokuwa desturi zamani ya kumwaga damu za wanyama ili kuondolewa dhambi.

Ijumaa kuu hatumwagi damu za wanyama maana damu yenye thamani imemwagwa pale msalabani. Ni njia tu ya kuinjilisha na kutukumbusha ukomo wa kutumia damu za wanyama kuondoa dhambi!

Hakika Wakatoliki hatutokula nyama (maana yake msimwage damu siku hiyo) na siku hiyo idadi ya ngombe, kuku, nguruwe n.k itayochinjwa itakuwa ndogo tofauti na siku nyingine hivyo automatically kule kutii kutomwaga damu siku hiyo ni utii wa kutambua iko damu yenye thamani pale msalabani!! Zipo namna nyingi za tafakari ya neno la Mungu na utii kwa Kanisa si shauri ni lazima kama wewe ni Mkristo.
Mkuu unajua shida yangu mimi najua sana jinsi imani ilivyo na nguvu ,hivyo nikwa namwelimisha mtu wa imani tofauti na mimi huwa nakuwa makini sana na muda mwingine kuna vitu sitaji.
Angalia hapo juu nilpohighlight red,issue ya Ijumaa kuu kutokula nyama mimi nilifuata kama maagizo ya kanisa langu la zamani RC,kwa sasa siko huko.Sasa tukiwa tunataja majina kila wakati wengine tunaogopa kuwakwaza watu,nilitegemea ungegundua niliposema ni maagizo ya kanisa nilimanisha kanisa la RC na hivyo ambaye si wa kanisa hilo hafungwi na sheria za kanisa hilo.
Mimi si mshabiki wa dini,napenda watu wamjue Mungu wa kweli suala lako la biblia za aina nyingi nyinge sitazungumzia kwa sasa lakini najua kuna thread ilielezea vizuri hilo suala.
Sitaki nilete mada zingine ndani ya mada.Ni kweli umesema tunahitaji kuelimishwa lakini na wewe unahitaji kuelimishwa zaidi.Hakuna dini iliyo kamilika machoni pa wanadamu,Mungu akilijua hilo ndiyo maana hakusema watu wa dini fulani ndiyo wataingia mbinguni,mbinguni wataingia walio watakatifu tu kwa vipimo vya Mungu na si wanadamu.
Ebrania 12:14:"Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote, na huo utakatifu, ambao hapana mtu atakayemwona Bwana asipokuwa nao".
Kwa hiyo kama kuna mtu yeyote anataka kwenda mbinguni jibu liko hapo juu,dini hazitaisha,tofauti hazitaisha lakini neno la Mungu litasimama.
Kwa hiyo nirudie tena kutokula nyama siku ya ijumaa kuu ni mapokeo ya wanadamu,si agizo la Mungu ingawa kama watu hao wamekubaliana wasile nyama siku hiyo,Mungu anaheshimu makubaliano.Huku ninakoabudu tumekubaliana kula nyama until further notice.
Nye mmekubaliana msile,well and good.Wewe uliyeambiwa usile,ukila utakuwa umekosea kwani umeagizwa hivyo.
Mbinguni hatutaingia kwa sababu tulisoma biblia yenye idadi fulani ya vitabu.
 
Nafikiri upo sahihi maeneo mengi. Binafsi sina tatizo na jinsi mtu mwingine anavyoamini. Nina tatizo pale wengine wanapohoji au kukosoa huo utaratibu wa wakatoliki.

Nafikiri tuishie hapa kwa mjadala huu.
 
Kutaja Mungu wa fulani si kosa,mara nyingi inafikia kutaja hivyo kama kweli tumeshuhudia matendo makuu aliyotenda juu ya mtumishi huyo.Kwa mfano katika biblia wanaposema Mungu wa Ibrahim,Isaka na Yakobo maana yake wameona aliyotenda kwa watu hawa,wamemhakikisha ni Mungu wa kweli na anaweza.
Sasa ukisema Mungu wa Aqua,shida itakuwa kubwa kwako kama mungu huyo si wa kweli kwani utakuwa umeunganishwa na Mungu wa Aqua,kama akiwa ni wa kweli hakuna shida.Kumbukeni Mungu wa kweli husema "yeye ni Mungu wa miungu na Bwana wa mabwana' maana yake anatambua kuna miungu mingine,ila yeye yuko juu ya miungu hiyo yote.
Kwa hiyo kabla ya kuanza kuita Mungu wa mtumishi fulani ,kwanza jilizishe bila shaka ya kwamba ni Mungu wa kweli kwa kutumia maandiko na kwa kumwomba Roho mtakatifu akusaidie.

Nawahurumia wale manozani kila anayeliita jina la Yesu ni mtumishi wa kweli wa Mungu au kila anayetenda miujiza ,miujiza hiyo inatoka kwa Mungu.Si kila muujiza unatoka kwa Mungu.
Ndugu zangu sasa hivi watumishi wasanii ni wengi kweli,kwani hamjakutana na ile clip mtumishi anampigia simu Mungu
"Helloo,is this heaven?I have a woman here...".Lakini huyu anawafuasi,kuna Roho zinawakamata watu,kama unauhakika ndugu yako amekamatwa huko hatoki kirahisi kama unavyofikiria kwamba utamwabia toka atoke,that is your call pray for him/her,neema ya Mungu wa kweli imfunike amtoe huko.Usicheze na nguvu ya imani,mtu akiamini kitu fulani kwa ushawishi wa kianadamu huwezi kumtoa,ni Mungu pekee anaweza.
 
Nafikiri upo sahihi maeneo mengi. Binafsi sina tatizo na jinsi mtu mwingine anavyoamini. Nina tatizo pale wengine wanapohoji au kukosoa huo utaratibu wa wakatoliki.

Nafikiri tuishie hapa kwa mjadala huu.
Mkuu ushauri wangu usiwe na tatizo nao,"two people can differ and both be right" hii ni from human knowledge.Kutofautiana hakuta isha milele,kama ukipata muda wa kukaa nao kwa upole ,elimishaneni na muulizane kwa upole mtafikia sehemu.Unajua shida ya imani ni kwamba kila mtu anaona yake ni sahihi,hivyo hapo bila Mungu kuingilia huyo mtu atapotea.Ndiyo maana Mungu akasema kwamba (Yohana 15:16)"Si ninyi mlionichagua mimi,bali ni mimi nimewachagua ninyi....".Sisi kazi yetu ni kuhubili habari za Yesu kazi ya kuokoa ni ya Mungu.
Soma biblia kila siku,Bwana atasema na wewe.Jitahidi usiwe na dini bila Yesu ni shida sana,hakikisha uko na Yesu moyoni mwako na umejazwa Roho Mtakatifu.
 
John 6:53
[53]Then Jesus said unto them, Verily, verily, I say unto you, Except ye eat the flesh of the Son of man, and drink his blood, ye have no life in you.
Basi Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambieni, Msipoula mwili wake Mwana wa Adamu na kuinywa damu yake, hamna uzima ndani yenu.
 
Ninachoshindwa kuwaelewa ECG ni mda mwingi kutumia kusema i receive, kila mtume akiongea nao wanapokea i receive, na wanamwomba Mungu wa major one, sasa sijui kwa nini mnashindwa kumuomba Yesu kristo wa nazareth? Mnaomba kwa jina la Mungu wa major??
Hapo ndo penye shida hakuna kitu kama mungu wa major, maana kimsingi hujui mungu anaezungumziwa maana duniani kuna miungu mingi sana
 
Ukiondoa Catholic, makanisa ya kipentekoste na kiprotestant hakuna marufuku ya kula nyama Ijumaa. In fact, hakuna mahala kwenye Biblia imekatazwa kula nyama Ijumaa kuu, ni mapokeo tu ya Kanisa takatifu Katoliki
Mahala pa ibada panakuaje mahala pa kuchoma nyama dada angu,kwa custom za kikawaida tu,..u know we live in a world of regularities,sasa kipind cha maombolezo na toba b4 passover,pasaka,..unaanzaje kula na kuserebuka,..hahah,..end of the day hzo nyama mnauziwa..sasa kuna tufaut gan na nyama choma festival
 
Kuheshimu imani za wengine hakukupunguzii chochote!! Lutheran si taasisi? Moravian Je? TAG, EAGT, FPCT nk?
Kudharau imani ya wengine hakukufanyi yako iwe sahihi. By the way, yeyote akiweza kuniletea andiko kwamba kula nyama Ijumaa kuu ni kosa kibiblia nitaahirisha kula mbuzi wangu kesho
Unapokua unafanya toba na kuomboleza,..au unapofunga,au unapokua kwenye kumbukumbuku ya kifo cha rafik yako au ndugu yako mpendwa,..hua unafanya barbeque??...kwa hal ya kawaida tuu,achana na imeandikwa wap au haijaandikwa..
Sis bnadam ni wanafk sana....na ndomana Mungu katushtukia.na ametuacha...unampenda mungu kwa sababu.
 
YESU asingekufa tusingeupata wokovu. Tunafurahia kufa kwake kwa sababu ndio chanzo cha ukombozi wetu
Kwa sentens hii,nmeamin kwel weng wetu tuna imani za kinafki na tuna pretend tu kumpenda mungu,kwa sabab zetu bnafs,ni either upate chochote kutoka kwake or watever...nkuulize swal,..mfano kipind unafanya toba,au unaomboleza,..au tuseme baba yako au mama yako alikufa kwa mateso makal or ya ugonjwa,n.k,..au mwanao tuseme,unapoamua kumkumbuka hua unachoma nyama na kula na kunywa na kuvimbiwa,?nakuchekelea??
 
Unatujua vyema wajaluo?
Hebu katafute mila Na utamaduni wetu
 
Unatujua vyema wajaluo?
Hebu katafute mila Na utamaduni wetu
Kwahyo kifo cha mwanao mpendwa lets say alikufa kwenye ajal kama ile ya lucky vincent ,utamkumbuka kwa kufanya nyama choma festival,..bas kama ni hivyo wajaluo mtakua na roho ya kinyama sana na chafu...hav a blessed nyama choma festival mkuu
 
Haya ni maneno ya Yesu KRISTO
John 6:53
[53]Then Jesus said unto them, Verily, verily, I say unto you, Except ye eat the flesh of the Son of man, and drink his blood, ye have no life in you.
Basi Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambieni, Msipoula mwili wake Mwana wa Adamu na kuinywa damu yake, hamna uzima ndani yenu.
 
Haya ni maneno ya Yesu KRISTO
John 6:53
[53]Then Jesus said unto them, Verily, verily, I say unto you, Except ye eat the flesh of the Son of man, and drink his blood, ye have no life in you.
Basi Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambieni, Msipoula mwili wake Mwana wa Adamu na kuinywa damu yake, hamna uzima ndani yenu.
Hahah ,kwahyo kula mwil na dam ya yesu ndo hvyo kuchoma nyama siku ya ijumaa kuu.daaaah...bro,nilijua we una uwezo kdogo wa kufanya mangamuz,..ila noo ,unahitaj msaada,si wew peke yako,mko weng...tuishie hapa,,...ila kwa kukusaidia tu,..Jesus didnt mean hvyo mnavoelewa weng..trust me.....hata kwa akil ndogo tu,...use ua logical thoughts kwanza kabla ya kitab hko,...maana hik kitab kimeandikwa na watu wenye upeo mkubwa sana,na ndomana weng wanaachwa...inabid wachache wenye uelewa mkubwa wasaidie sana ulimwengu la sivyo unapotoka...na ubaya uliopo,wajuz wanakaa ndan na uelewa huu,wenye uelewa finyu ndo wanachangamka kufundisha watu.....mtu hata darasan alikua zero brain,af aje aningamulie bible...? Nenda kwa mwakasege leo ijumaa kama utaona upuuz huu wa ECG leo.
 
Mwakasege hana kanisa
 
Back
Top Bottom