Ebu tujikumbumbushe, enzi hizo ulikuwa wapi?

Ebu tujikumbumbushe, enzi hizo ulikuwa wapi?

Bombambili primary school songea class of 1998 mwl wa hesabu mwl martin
 
Kicon Tanesco Kidatu
Namkumbuka mwalimu Gille, Mwalimu chacha, mwalimu mwingizi na wngn kibao.

Nakumbuka kuna mwalimu tulimwekea ----- kwemue meza yake ya darasani kwa tabia za kupenda kuchapa bila sababu.
 
namkumbuka mwalimu wangu mmoja wa hesabu primary Mugumu alikuwa anachapa viboko dah.....mwingine alikuwa anatufundisha kingereza anaitwa NYAKINOTI alikuwa anachapa masikio tu.
 
Duh! mmepitia mengi kumbe!

Sisi watoto wa waalimu tulikuwa tunapewa favour kubwa sana kuchelewa chelewa shule!

Mi nimesoma shule 4 mpaka kuja kuhitimu shule ya msingi mwaka 2005..

Nimeanzia Borenga primary... villa hukoo

Nikahamishiwa Kwata Primary.. Tanga

Nikahamishiwa Mwenge Primary.. Dodoma vijijini

Baadae nikaja malizia Nyanza Primary School, Mwanza City class of 2005!...(Nyanza C kwa Celina Lemunge!)

Nakumbuka siku moja mwalimu alinichapa fimbo za mgongo mfululizo eti kisa sijamwagilizia kabustani..! dah! nilimwangalia kwa hasira sana kidogo nimbebe na mimba yake! lol..

Please kama kuna classmates wangu humu tusakane!

cc Slave.

Kumbe wewe ni mtoto hivyo? Yani 2005 ndo unamaliza primary?????
 
Last edited by a moderator:
Mzee Mwanakijiji,

I do not buy this nonesense!, alikuwa wapi siku zote? kuzuia sasa faida yake ni nini wakati tayari nyumba zote zilizotakiwa kuuzwa zimeuzwa? Habu nitajieni ni kiongozi gani wa zamani ambaye alitaka kununua nyumba ameshindwa? Nia na madhumuni ya kuuzwa kwa nyumba ilikuwa kuwapatia viongozi wa zamani nyumba, na hilo limeshatimia tayari sasa huu mkwara ni wa nini kama sio uongo?

Look at this, BM amenunua ile nyumba ya Sea View, JM amenunua ile nyumba ya See View, JK mwenyewe amenunua, Sumaye amenunua, Kawawa alijengewa bure, Msekwa amenunua, Siwale amenunua, Jumbe amenunua, Mwinyi amenunua, Msuya amenunua,

Warioba tu ndiye aliyekataa, lakini anashirikianaje na mwizi Mahalu? Wakati mmoja Warioba alikuwa anataka kuulazimisha ubalozi wetu NY umlipie rent mtoto wake yule wa kike June Warioba, ambaye hata kuandika jina lake tu ni taabu lakini alikuwa na bonge la scholarship kule DC, ninasema hivi kwa sababu siku zote huyu mzee anapenda kujiosha kuhusu rushwa na power, kumbe sio kweli!

Wazee hii serikali inadanganya kuhusu nyumba ukweli ni kwamba tayari wazee wote wa CCM walishapata nyumba ndio maana sasa wanasimamisha, NONESENSE!

Hahaaa...loz
 
Back
Top Bottom