primary tulikuwa hatununi bali ni kusemelea live.....!!! yaan utasikia mbona fulan hachapwi...
Daaa hiyo ilikuwa inaboa sana....namba wanahesabu watu 30 kiranja anaandika 45 af anawagawia rafiki zake
teh...tet.. kama nakuona vile wewe haumo kati ya wanogawiwa hizo namba nikifikiria na umbali wa zaidi ya km 3 toka homeDaaa hiyo ilikuwa inaboa sana....namba wanahesabu watu 30 kiranja anaandika 45 af anawagawia rafiki zake
Hahahaa yan acha tu ukifka shule saa moja na dak tano mboko zake ni balaA
Kumbe ndio wewe ulijikwaa kidole gumba, damu ikatoka na Mwalimu akakupa ruhusa urudi kwenu. Si unalikumbuka lile jiwe la pale Gentle hills Hotel sasa hivi !!!!! Kwa hiyo siku hizi huvai raba mbofu mbofu tena !!!!!! Karibu Gangilonga, japo uchangie rim moja ya karatasi.
teh...tet.. kama nakuona vile wewe haumo kati ya wanogawiwa hizo namba nikifikiria na umbali wa zaidi ya km 3 toka home