Ebay

Ebay

mkalenda

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
290
Reaction score
23
Wana jf naombeni kuuliza, niliagiza mzigo flani kutoka ebay na kesho natarajia nikafanye payment, kuna mtaaram anaye jua makato ya TRA, afu mzigo ukishafika na dhl unapigiwa cm kwa ajili ya malipo ya tra au, naomba msaada cpo shwali kwenye hayo mambo, pls
 
ukifika, dhl watakupigia simu, utaenda kulipia hapo dhl
 
Ungetoa mfano wa huo mzigo maana bila kujua ni nini ni ngumu kuweza kukusaidia. Lakini jua kodi ipo hasa import duty ambayo ni 25% na Vat 18% huo ndiyo uekelewa wangu. Vinginevyo nenda ofisi iliyo karibu nawe ya TRA uwaulize unategemea kuagiza kitu fulani toka nje je kodi yake inaweza kuwa kiasi gani kwa uhakika.
 
Wana jf naombeni kuuliza, niliagiza mzigo flani kutoka ebay na kesho natarajia nikafanye payment, kuna mtaaram anaye jua makato ya TRA, afu mzigo ukishafika na dhl unapigiwa cm kwa ajili ya malipo ya tra au, naomba msaada cpo shwali kwenye hayo mambo, pls

Kama unakuja na DHL watakujulisha, lakini saa zingine DHL Tanzania wanakuwa wazembe inabidi uufatile kwa karibu.
 
Wakati una purchase, shipping carrier company ilikua ni ipi? Not necessarily dhl.
 
Wakuu samahan hv ukitaka ukwepe kodi unafanyaje? mh maan naona kodi hapo imekuwa ni kubwa sana
 
Ilikuwaje? mbona nasikia ebay hawaship tz? na umechukuwa siku ngapi toka ulikoununua (utataja) mpaka tz?

Wana jf naombeni kuuliza, niliagiza mzigo flani kutoka ebay na kesho natarajia nikafanye payment, kuna mtaaram anaye jua makato ya TRA, afu mzigo ukishafika na dhl unapigiwa cm kwa ajili ya malipo ya tra au, naomba msaada cpo shwali kwenye hayo mambo, pls
 
Ilikuwaje? mbona nasikia ebay hawaship tz? na umechukuwa siku ngapi toka ulikoununua (utataja) mpaka tz?

They ship to any country depending on the person who is selling, kama a particular product doesn't ship to your country they usually say it kabisa. Last time i bought something on ebay it took 4 days maximum hadi kupata, but sometimes inachelewa again this depends on the shipping method, kama ni free shipping it usually takes longer
 
nisaidieni jaman kuna vitu nliviona ebay na nlikua interest kununua ila ckua najua procedures na nini haswa kinatakiwa ili kununua vitu pale.so kwa mlio wahi nunua mnaeza nsaidia nkapata kujua na pia kwa wengine wasiojua wakapata kuja pia.
 
somo zuri,nitajaribu kuagiza item flani hivi kwa uzoefu nilioupata hapa JF
 
I'll try it.

They ship to any country depending on the person who is selling, kama a particular product doesn't ship to your country they usually say it kabisa. Last time i bought something on ebay it took 4 days maximum hadi kupata, but sometimes inachelewa again this depends on the shipping method, kama ni free shipping it usually takes longer
 
Hivi zile bei za simu ni za kweli? Baona kama vile bongo zinauzwa ghali sana. Natamani nifungue business ya kununua huko na kuziuza hapa bongo. Wajameni mnashaurije? CYBERTEQ
 
Last edited by a moderator:
Hivi zile bei za simu ni za kweli? Baona kama vile bongo zinauzwa ghali sana. Natamani nifungue business ya kununua huko na kuziuza hapa bongo. Wajameni mnashaurije? CYBERTEQ

Aisee Mkuu Itapendeza sana na nadhani itakulipa zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Ili kununua items ebay unatakiwa kutimiza yafuatayo:

Fungua account ebay(register)

Uwe na Account ya bank ambayo wana card za master card au Visa Card

Fungua account Paypal(register) kisha link Card yako na Paypal

Baada ya kumaliza hapo utaweza kununua kitu ebay na kulipia Paypal kupitia master/Visa card yako na mzigo utatumwa kwenye Adress yako Tz

NB
Seller wengi hawatumi vitu Africa ikiwemo Tanzania kwasababu most of time wakituma items haziwafikii walengwa
Mfano ukibahatisha seller anaship Tz vitu kama simu,kamera nk vinapotelea posta hutavipata kamwe

Niliwahi kuagiZa Blackberry ikapotelea posta, nimehangaika namsumbua seller mzigo haujafika, wakafanya tracing huko huko ikaonekana umepokelewa Dsm na posta wanakataa hawajaupata
Kwa hali kama hiyo huyo seller hatakubali tena kuship bongo
 
Mkuu ThinkPad unaweza kuwasaidia wadau hapa?????

dah! nimechelewa kuona huu uzi,

Changamoto ni kama Paulss alivyosema wizi ila mimi nimesha agiza vitu vingi ila huwa sio vya gharama kubwa na huwa natumia box ya posta yangu mwenyewe ili kuondoa hujuma maana asilimia kubwa ya mizigo unakuta wamekuwekea kwa sanduku la posta sio ya ku collect,
Ushauri vitu kama simu na laptop tumia DHL hao utapewa tracking no n.k, pia unaweza kulipia $60 kwa mwaka ili upate adress ya usa so vitu vyako vinatumwa kule vikiwa vingi wanavi pack kisha unawasiliana nao wanakutumia kwa njia ambayo itaonekana bora zaidi.
 
Back
Top Bottom