Earphone fake zinavuruga sana

Upo kama mimi asee nahisi zinaniumiza masikio ule mziki unagonga hadi kwenye ubongo huko.
😆😆Kabisa mkuu!
Na mimi napenda sana nyimbo zenye midundo mizito kwa hiyo ubongo & ngoma hupata tabu sana
 
Nmeona woote mnaongelea Eaphone tofaut tofaut ila kwa ushauri tu kwa wale ambao hawapendelei eaphone zenye raba coz tofaut tofaut ila kama mim czpend znazba ckio na skio linashndwa kupumua fresh! kwa ushaur wng eaphone za iphone Zile Og znpiga hatari na azibagui cm sound mpk bass unaskia vzr. sema kwa waliopo dar weng wanauza copy. .. Me nipo mwanza huwa nanunua kwa 30k cjawah kujutia : sifa zake kwanza hazikatik ata uikunje veep na ata ukifulia kweny nguo ynyew fresh
 
Ngoja nitajaribu kuzicheki
 
Yeah Dar ziko copy ila zinatema balaa hilo bass na haziumizi masikio buku 5 bei za jumla ila maboya wanagongwa hadi 20k hizohozo fake kuhusu OG kwa Dar changamoto kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…