Earphone fake zinavuruga sana

Mkuu umewai kutumia hizi? Xiaomi piston fresh edition. Ni hatari sana zina clear sound haziumizi maskio. Mm nilishaacha kununua earphone za hapa bongo maana nyingi ni low quality. Zinaumiza masikio tu.
Ndio Mkuu headphones zangu za kwanza kuagiza zilikuwa hizi

Then hizi


Ndio maana Nakwambia Rock zircon ni the best kuliko hizo hata hizo KZ ate zina deliver better sound kuliko xiaomi hybrid lakini hii ina depend na aina ya mziki unaopendelea kusikiliza
 
sidhani kama hizo earphone ni zaidi ya Hybrid IEM za xiaomi/1more (zamani zilijulikana kama piston), naona reddit na forums mbalimbali watu wanaprefer za xiaomi zaidi. umewahi tumia piston version ya karibuni?
Kama nilivyomueleza Mkuu hapo juu nimeshapitia xiaomi mbili hybrid za kwanza (lakini sio hizi Hybrid Pro so siwezi jua kama wameimprove vipi) lakini kwenye experience yangu hata KZ ATE ziliwa out-perform.

Ukitaka kuona a review ya Rock zircon vs hybrid pro pitia kidogo hii site ana compare lows, Mids na highs delivery between hizi headphones.


Review: Xiaomi Hybrid (QTER01JY) - AudioBudget
Review: KZ ATE - AudioBudget
Review: Xiaomi Hybrid Pro (QTEJ02JY) - AudioBudget
Review: ROCK Zircon (RAU0501) - AudioBudget


Ninachozipendea hizi Rock sana sana ni price to performance ratio yake ni noma as I said pia nina Jaybird x2 bei 100+$ lakini hizi zircon za under $20 ndio zinani impress zaidi.
 
inawezekana upo sahihi, mimi si mtu wa audio sana,

ngoja nitajaribu kuagizia siku moja hizo zircon.
 
naweza kuzipataje kwa dar na sh ngapi?
Mkuu hizi tunaziagiza kwenye masoko ya mtandaoni. Kwa Dar tegemea nyingi ni fake au kama ni original bei yake imechangamka.
Nipo mbioni kuagiza hizi za KZ ED4 Metal Stereo Earphone Noise Isolating In-ear Music Earbuds with Microphone weka order bei 20000/=
 
Tatizo la earphone kuharibika sikio moja limekuwa tatizo la KITAIFA ..
Namuomba waziri husika wa ubora wa vitu vinavyoingia nchini aangalie tena ubora wa earphone kabla za kuziruhusu kuingia into the badland
 
Eti mkuu! KZ ni brand tofauti na QKZ?
Ni brand tofauti kabisa hata headphones zao quality sio kama ya KZ (Knowledge Zenith) siunajua tena China kitu chako kikiwa juu lazima waki copy hata humo ndani ndani. Lakini nadhani walikuwa sellers wa KZ ATE, Hakikisha unanua kwenye official site yao hii hapa Check out this recommended store on AliExpress. Find great products at low prices!
Buy Products Online from China Wholesalers at Aliexpress.com to Clipboard
(from AliExpress Android)
 
Okay, nimekupata mkuu... Ngoja niagize hizo KZ.
 
nenda maduka ya sound & Vision ukanunue vitu vya electronic hapo hata mimi baada ya kuuziwa maflash feki nilienda hapo nikanunua flash 8 Gb KWA 12000 NIKASHANGAA FLASH TU NAPEWA Risit ya EFD yenye Warrant Ya 5years, nenda hapo mkuu utapewa airphone orijino
 
Oya nini kinasababisha earphones zikaa sana huwa hazisomi kwny sim yng Vodafone 200
 
Mkuu JBL unawaonaje?

Nmekutana na pill yao jana...sound yake makini sana yani bass unaskia sio yakutoka kweny ile pill...nawaza inakuaje area ndogo kutoa mzik wa kias kile...

 
Yapo sehemu gani mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…