Early Lunch

Tobaaaaah kule kwetu tunaita "mawungu" yaan mabungu makubwa meusi yanakua kwenye magome ya miti mmmmmh
Nimehisi kutapika khaaaaah
 
Tobaaaaah kule kwetu tunaita "mawungu" yaan mabungu makubwa meusi yanakua kwenye magome ya miti mmmmmh
Nimehisi kutapika khaaaaah
Hahahah ndo hayo hayo matamu balaa kila kitu mazoea. Mimi bibi yangu hali samaki anafananisha na nyoka anasema.

Na akikuona unakula anatapika kabisa hajawahi kula toka azaliwe mpk leo hii ana miaka zaid ya 100 yaan huwez mshawishi kabisa. Hapo ndo nilijifunza kila kitu kisicho sumu kinaliwa aisee ni mazoea tu


Kuna Uzi niliwasimulia watu kuwa nilikula nyama ya chatu ujanani ikaninogea na mpaka leo naimiss ila sasa chatu siwapati huku mjini. Ila nyama yake tamu balaa ya kuku ikasome
 
Jamani wee ni mchafu khaaa, unakula nyama ya chatu mmmh.
 
Inagenye si mchezo hii kitu nikiwa Niger siku moja mwenyeji wangu alinionjesha kidogo. Sema wana ukakasi na uchungu fulani kinywani kama mtu anayekula utomvu wa ndizi.
 
Tobaaaaah kule kwetu tunaita "mawungu" yaan mabungu makubwa meusi yanakua kwenye magome ya miti mmmmmh
Nimehisi kutapika khaaaaah
"mawungu" mkuu utakuwa mwenyeji wa kusini maana hilo jina nililisikia pande hizo.
 
Du! Kabisa???
Tanzania hatujafikia njaa ya kula wadudu kama nchi za West Africa na Jamhuri ya Kidemokrasi ya watu wa Congo... Hiyo hapana aiseee!
Mbona tunagonga kumbikumbi na senene.
 
Watu mnaokula wadudu mna moyo sana aisee.
 
Jamani wee ni mchafu khaaa, unakula nyama ya chatu mmmh.
Hahahaaa hujui tu ndomaana unasema uchafu. Hata hivyo vyakula unavyokula kuna watu wanakushangaa pia wanaona uchafu
 
Uwiii!! Mbona kama mawasha washa. 🤔
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…