EAC Tanzania kinara kuvutia Wa-USA

Samia yupo kwenye njia sahihi. Tatizo pekee ni kuendekeza haya mambo ya kipuuzi ya kubambikia watu kesi za kijinga.

Ujinga wa kubambikia kesi auache ufe na akina Siro na wajinga wengine. Tuingie kwenye utawala wa kistaarabu. Utawala wa kutumia akili, weledi, maarifa na busara. Ule utawala primitive, wa kuongoza kama unaswaga ng'omba iwe ni mwiko.
 
Hongera Sana mama,
 
Mama piga kazi, Watu wamekuelewa mno
 
Ngoja tuone kama ni kweli au uongo,
 
Tuko vizuri Sana, Kaziiendelee
 
Wewe naye eti unafurahi wamewekeza badala ya kusikitika ona gesi yetu wanapora,migodini ndo hao wanakwepa kodi,nawewe unajisikia vibaya wakiitwa mabeberu🤣🤣🤣
 
Natangaza rasmi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan,
 
Eleza, wamewekeza kwenye miradi gani/sekta zipi?
 
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
Mama aluta continue .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…