BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 2,712
- 6,508
Ninaiona Africa nzima ikiingizwa kwenye Jumuia ya EAC.
Tuwe wakweli hakuna raia wa EAC anaye jua vigezo vya nchi kuwa mwanachama wa EAC,na pia kinacho endelea kwa sasa sio tena EAC ni beyond hapo labda ni kuingiza nchi zote za Africa kwenye EAC.
Nchi za EAC zilikuwa ni Tanzania, kenya, Uganda, Rwanda na Burundi, zaidi ya hapo ni utashi wa viongozi tu kuforce na kuna hatari ikaenda beyond hapo.