Mwanahabari wa Taifa
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 1,450
- 799
Tanzania yatajwa miongoni mwa nchi kumi bora Afrika kwa uwekezaji. Tarajieni mafuriko ya wawekezaji
RMB Bank wanasema Tanzania haikuvutia sana kuwekeza|Uwekezaji FY2018|19|20 lakini imesonga mbele,today is within "The Top Ten list" tutarajieni mafuriko ya wawekezaji " Hakuna kama Samia " Jarida maarufu barani Africa na duniani la" Business Insider Africa "limechapisha taarifa toka benki ya...www.jamiiforums.com