E kibinda nkoe

Yaani nikisikia haya maneno nahisi ni tinginya flani hivi.maana yake nini jamani?
 
Preta naona huwa unatubandikia maneno au majina ya nyimbo za Ki-Congo, hahahahaaaa......


pona nini kipindu.....makambo ezali minene?

Makambo ezali Minene -- Matatizo yangu makubwa (Makambo ni mambo na minene ni Nene au Kubwa)
 
Last edited by a moderator:
Preta naona huwa unatubandikia maneno au majina ya nyimbo za Ki-Congo, hahahahaaaa......




Makambo ezali Minene -- Matatizo yangu makubwa (Makambo ni mambo na minene ni Nene au Kubwa)


mkuu nisaidie naona preta kaamua kuninyoosha tu
 
Last edited by a moderator:
Daah nyi watu mnanikumbusha mbali sana aisee. Enzi za Diamond Sound pale Silent Inn Mwenge/ Mlalakuwa
 
Kama ungelijua ni wiki jana tu nilikutana na Mcongo na ndiyo akaniambia maneno hayo maana yake ni nini?

Ninachofahamu hadi leo ni "Kasongo yeye, Mobali nangai" ikiwa na maana "Kasongo rudi nyumbani"

Kwa sasa kuna huu wimbo wa Mpiana wanasema Mpunda ikiwa na maana ya Sex. Mpunda kwa Kilingala ni Farasi na Congo ni kama Uchagani tu, ukimkuta Mwanamke au Mwanaume, unarukia na kuanza ku-ride farasi wako. Na Wacongo wanapenda Farasi kuzidi hata gari. Ndiyo maana jamaa wanatoa swali kuwa "mnataka Motokaa au Mpunda?" Binti anamrudishia jamaa funguo za Bentley na anasema yeye ni Farasi tu...... hahahaaaaa :)

Kama speed yako ya Computer ni ndogo, usifungue maana hii Video ni HD kwa hiyo inataka speed kubwa ila quality yake, mhhh....


mkuu nisaidie naona preta kaamua kuninyoosha tu
 
Last edited by a moderator:
Ahhh, jingine ambalo pia ni tittle ya wimbo ni huu unaitwa BINA NA NGAI NA RESPECT ikiwa na maana ya "Cheza na mie kwa adabu."

Bibie naona alikuwa kasogelewa na homeboy NN aka Toto Tundu likaingia kamguu kama kwenye Lambada hahahaaa :)

Ila hebu mcheki Dogo huyu akitesa na hicho kibao cha zamani ambacho wakati kinaandikwa na kuimbwa, baba yake alikuwa hata hajabarehe....

 
Last edited by a moderator:
Daaaa, kweli mkuu wangu pole sana. Kama ningepewa simu nitumie basi ingelikuwa kasheshe....

Ningelikuwa natembea hata 5 km kwenda kutafuta mtandao wa kuvuta kwa bei nafuu......

Nakumbuka miaka ileeee nashinda uwanja wa Sabasaba kuangalia kama banda la Posta wataonyesha Video Clips za music. Kila nikitoka nahakikisha si zaidi ya dakika 20. Wanaonyesha na wakijisikia tu, wanakazima any time without warning.........

Heri ya nusu shari kuliko shari kamili. Kuna siku utakuwa na Ki-Pad chako au Ki G-String cha Laptop yaani NETBOOK. PAD kwa sasa zinashuka bei saana ukiingia kwenye EBAY.COM bei zake zipo za nafuu hasa kwa watengenezaji wasiojitangaza sana na Wachina.
Nateseka kwakuwa jf naingia through internet cafe na via mobile.
 
Back
Top Bottom