Uzi ufungwe1.Mwili Ni Nyumba ya roho
2.Roho Ni nishati inayoipa nguvu mwili,
3.Nafsi Ni kiunganishi Cha roho na mwili.
Vipi tukichinja mbuzi vyote tutavikuta?1.Mwili Ni Nyumba ya roho
2.Roho Ni nishati inayoipa nguvu mwili,
3.Nafsi Ni kiunganishi Cha roho na mwili.
🤣🤣🤣🤣🤣Uzi ufungwe
Njoo ujibu Full chargeKwenye ubongo, ulishawahi kuiona akili?
Mbuzi hana roho. Ana nafsi lakini hana roho.Vipi tukichinja mbuzi vyote tutavikuta?
Majibu yote haya hapa:Mtu akifa, roho na nafsi vinaenda wapi?
sahili.net
Watu wengi bado hawaelewi kuwa tafsiri sahihi ya neno "Nafsi" ni "uwepo wa/presence of" na hawaelewi kuwa mwanadamu/binadamu anazo nafsi tatu ambazo ni:- (1)nafsi mwili,(2)nafsi akili na hisia,(3) nafsi roho. Hivyo ni kusema binadamu ni mwili,hisia/akili na roho. Uwepo wa vitu hivi vitatu ndivyo vinavyotengeza uwepo wa Mtu! Mtu anapokufa uwepo wake kimwili, kihisia/akili huondoka ila kiroho huendelea kuishi( wanaita mizimu).Wasalaam wanaJF wenzangu!
Wakuu naomba kufahamishwa maana ya roho, nafsi na mwili.
Asante
Ni vifaa vya ujenziWasalaam wanaJF wenzangu!
Wakuu naomba kufahamishwa maana ya roho, nafsi na mwili.
Asante
Inategemea umezikwa wapi ila havipo mbalo sana na ulipozkwa mwili!Mtu akifa, roho na nafsi vinaenda wapi?