Waaache maneno tuone vyeti maisha na vyetiPunguza maneno mwambie RC aweke vyeti.

DuhNadhani mnafanana na huyo Tapeli wa kufufua Misukule!
Aendelee kudanganya waumini wake kwa kufufua misukule!!
HALINA NGUVU HILO!! TAFUTA JINGINE, HIVI HAO WAUMINI WAKO WANAJITAMBUA!! WAHUBIRIE BIBLIA BWANA HACHA POROJO!!
Huna tofauti na Facebook Efm wanasoma kilichoandikwa kwenye Magazeti kosa Lao liko wapi? Unataka wawe wanafiki kama mawingu kuruka Habari? Toa mfano wa unachozungumza sio Unaongea bila kufikiri nyambafuuuuHabari wakuu
Hiki kituo cha redio wanajiita mziki mnene siwaeliwi kabisa,mana kila break lazima wamponde Bashite.
Amewakosea nini?
Wamekuwa bubuuuuMbona huulizi clouds kihere here chote cha kuomba ufafanuzi kutoka kwa mkuu wa mkoa kimewaisha!
Hata kudodosa hawataki
Yote ni maoni mkuu,Huna tofauti na Facebook Efm wanasoma kilichoandikwa kwenye Magazeti kosa Lao liko wapi? Unataka wawe wanafiki kama mawingu kuruka Habari? Toa mfano wa unachozungumza sio Unaongea bila kufikiri nyambafuuuu