Wenye akili timamu kwa kipimo cha upeo wako, sio kipimo cha wenye akiliHivyo vita anavyopigana wameshindwa watu we nye akili timamu itakuwa yeye bashite anaandika majina ya wauza unga na mkono halafu unamtetea
Wacha maneno weka vyeti
Sahihi mkuu,hapa hakuna bifu na mtu,just fair playForgery ni criminal offense kwa sheria za jamhur yaani wwe unaitwq shaban halafu ukaiba cheti au ukapata cheti cha mbaruku ukaitwa mbaruk ni kosa kisheria kwanza kosa la kwanza umefoji jina jipya ambalo halina sifa halali ya elimu hiyo yaani legally domination PILI wewe unatakiwa ushitakiwe kwa kufojibna kutumua jina hewa kwa maaana ya sifa hivyo haishii kujiuzulu tu lazima sasa kama unajiuzulu uombe radhi kisha ushitakiwe kama walivyostakiwa wengine , issue hapa sio madawa ya kulevya wala wivu wala nn issue hapa ni uhalali wa elimu na itifaki ya uwajibikaji katika context ya sheria tu na sio zaidi hakuna kuonea wala kuonewa bandugu
Kigezo kikubwa cha kupewa cheo na kuaminiwa serikalini ni elimu sasa mtu kabashite halafu unamtetea kwani wale baadhi ya wafanyakazi walio tumuliwa walikuwa hawafanyi kazi vizuri tatizo hapa ni vyeti wala hatuna cha zaidi mbona jambo dogo tu hiloWenye akili timamu kwa kipimo cha upeo wako, sio kipimo cha wenye akili
Kuna sifa moja ya uongozi inaitwa accountability. A leader must be accountable for his actions.Wakuu tumejadiri mengi kuhusu mheshimiwa huyo, binafsi naona itoshe sasa.
Tuseme imetosha kwa sababu yale machozi ya jana ni kauli ya kuomba msamaha kwa namna moja au nyingine.
Ukiona mwanaume aliyekuwa jasiri na mwenyewe nyodo na majibu ya fedheha na kudharirisha analia , tena analia mbele za watu ujue amejutia makosa yake.
Naomba tuachane na habari za Makonda kama Makonda. Tuendelee na mengine, jamani ameshajifunza somo kubwa sana ninaamini atabadirika sana.
Nawe Bwana Paulo Makonda Maumivu uliyoyapata kwa tukio hili ndiyo waliopata wale ulikuwa unawatukana na kuwadharirisha mbele ya kamera, Mungu amekuonjesha sehemu ndogo sana, acha kutukana na kudharirisha watu.
Nilikwambia siku moja kama unakumbuka kuwa cheo ni dhamana.
Familia ya marehem Kabwe inakutazama kama wewe ndiyo sababisho la yote yaliyomtokea baba yule.
Acha uongozi wa mihemko, tubu kwa wote uliowadharirisha, akiwemo ,manji, mbowe, Gwajima , wema na wengine.
Narudia kuwasihi tena wanajf wenzangu itoshe kuhusu huyu mtu jamani.
Wanaoniunga mkono kwa hili Mungu awabariki sana.
Msiyoniunga mkono niwaombe mjaribu kuvaa uhusika japo kwa dakika moja. Najua mkisha uvaa uhusika kwa dakika moja mtanielewa na kuniunga mkono.
Asanteni.
Yanga na mtibwa jana wametoka bashite bashite uko morogoro
Unauliza kakosea nini?Habari wakuu
Hiki kituo cha redio wanajiita mziki mnene siwaeliwi kabisa,mana kila break lazima wamponde Bashite.
Amewakosea nini?
Cheti kwanza,mapenzi badae,Mungu hawezi kukosa mtu sahihi wa kuiongoza Dar alikuondoka Yusufu makamba mwenye hekima zake,sembuse huyu anayeongoza kimasifa,kiongozi gani anaita watumishi wauma vichaa na wakati yy ali score nothing?Huyu Mh Paul Makonda ambaye ni Rais wa mkoa wa Dar Es Salaam kwa kweli hapo mwanzo sikuwa namkubali kabisa hasa wakati anapewa ukuu wa mkoa, kutokana na zile story za kumpiga mzee Warioba, ila tokea aanze utendaje kama mkuu wa mkoa nikajikuta nampenda sana kutokana na utendaji wake, ila watu walipoanza kumchafua na kumpiga mawe kutokana na vita ya madawa ya kulevya automatically nimejikuta mapenzi yanazidi kwake, coz kwa mtu yoyote mwenye akili timamu na mwenye fikra basi lazima atajiuliza kwa nini watu wanamshambulia that much, hata mtu aliyeua hashambuliwi hivi, nikatumia akili zangu nyingi kutafakari na kugundua kuwa wanaompinga wote wana maslahi either kwenye madawa ya kulevya ama ushoga ama ukahaba, I love you Makonda na naihofia sana Dar Es Salaam bila Makonda, Go go go Makonda we got your Back