Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,957
Hapa kinachotakiwa ni vyeti vya vidato na vyuo tu na si kitu kingine. Forgery ni criminal case!!! Kuna mtumishi mmoja alisomea cheti cha form six cha mtu na ukweli mwezi machi alikuwa wa kwanza kufukuzwa kazi. Imagine alisoma mpaka masters na cheti cha form six cha jamaa japo aliweze kubadili jina kabla ya kumaliza chuo na kurejea jina lake. Kwa misingi hii sasa tunataka haki itendeke. Arudi shule akasome QT na akifaulu levels zote aende chuo. Hakuna namna.