Kwani wale waliotimuliwa vyeti uliwakagua wewe au mamlaka husika? Mbona una kihere here kama binti anayebalehe? Tuliza akili, mamlaka husika zipo ziache zishughulike na hilo suala na haki ipatikane, mdomo wako wewe sio chombo cha kutoa haki bali wazungumza kwa upeo wako wa akili na hisia, acha vyombo husika vifanye kazi yakeKigezo kikubwa cha kupewa cheo na kuaminiwa serikalini ni elimu sasa mtu kabashite halafu unamtetea kwani wale baadhi ya wafanyakazi walio tumuliwa walikuwa hawafanyi kazi vizuri tatizo hapa ni vyeti wala hatuna cha zaidi mbona jambo dogo tu hilo
Kwa upeo wako wa akili na elimu unadhani kuwa kichaa ni kukosa elimu, tumia akili mkuu hujaumbiwa bongo kwa lengo jingineCheti kwanza,mapenzi badae,Mungu hawezi kukosa mtu sahihi wa kuiongoza Dar alikuondoka Yusufu makamba mwenye hekima zake,sembuse huyu anayeongoza kimasifa,kiongozi gani anaita watumishi wauma vichaa na wakati yy ali score nothing?
Bashite kumbe ni wengi hiviKwani wale waliotimuliwa vyeti uliwakagua wewe au mamlaka husika? Mbona una kihere here kama binti anayebalehe? Tuliza akili, mamlaka husika zipo ziache zishughulike na hilo suala na haki ipatikane, mdomo wako wewe sio chombo cha kutoa haki bali wazungumza kwa upeo wako wa akili na hisia, acha vyombo husika vifanye kazi yake
Judging by your IQ yesBashite kumbe ni wengi hivi
Rais alisema mtu akigushi vyeti ashughulikiwe haraka sana,basi kusingekua na haja ya kusoma km watu wote wangekua bashite basi tusinge kua tunadiscus hii topic hapa Jf since it has been designed with qualified designer and programmer engineerKwa upeo wako wa akili na elimu unadhani kuwa kichaa ni kukosa elimu, tumia akili mkuu hujaumbiwa bongo kwa lengo jingine
Sina uhakika kama alijicompare with God, kama alifanya hivyo labda alipitiwa kama binadamu, ila kwa nilivyomjua ni mtu mnyenyekevu mbele za Mungu hivyo pengine hukumuelewa kwa kuwa tayari your mind is biased, siku zote ukitaka kutenda haki usiwe na biased mind,Mbona mawingu fm hawamuiti tena kpnd chao kile cha asubuhi,How can someone compare himself to GOD?
Eti Mungu wa dsm
wanaanzaje kumsnitch baba yaoShilawadu nawaonaaaa,mbona mpo kimya kuhusu bashite?
mnyenyekevu mbele za Mungu anafata sheria gani kuita watu polisi kupitia vyombo vya habari,mnyenyekevu gani kwa mungu anaita watumishi vichaa? mnyenyekevu gani ana gushi vyeti?Sina uhakika kama alijicompare with God, kama alifanya hivyo labda alipitiwa kama binadamu, ila kwa nilivyomjua ni mtu mnyenyekevu mbele za Mungu hivyo pengine hukumuelewa kwa kuwa tayari your mind is biased, siku zote ukitaka kutenda haki usiwe na biased mind,