E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

Rais alisema mtu akigushi vyeti ashughulikiwe haraka sana,basi kusingekua na haja ya kusoma km watu wote wangekua bashite basi tusinge kua tunadiscus hii topic hapa Jf since it has been designed with qualified designer and programmer engineer
Ndugu kuna jambo moja unalikosea, kuingilia mamlaka ama kuweka kitu pasipo mahala pake, kama hoja yako au yenu ina mashiko na mna ushahidi wa kutosha basi kwa nini mpoteze muda kwenye mitandao ya jamii, vyombo husika vipo pelekeni malalamiko yenu na ushahidi. Lakini kumtukana na kumdhihaki mtu ambaye vyombo husika bado havijamuhukumu kuwa na hatia hiyo ni chuki na chukizo mbele za Mungu, we all love justice lakini kuna utaratibu ndugu wa kuifuata, imagine kila mtu ambaye anamtuhumu mwenzake angekuwa anakimbilia kumtukana kwenye mitandao ya kijamii wakati vyombo husika vipo hali ingekuwaje? Tusitumiwe vibaya na wenye nia chafu, tutumie akili zetu vizuri na tukatae kutumiwa vibaya,
 
Usijal mkuu,I appreciate ur opinion
 
f8608696dfb9697644b04f47152d08ce.jpg
watoe taarifa Necta
 
Basi hapa mtaani c kuna msiba, mtoto alikuwa anapita na babu yake karibia na mcba, akaona watu wanalia, akamuuliza babu na hawa wote hawana vyeti mbona wanalia???? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
 
Ha ha ha ha
cheka kwa dharauu
 
Back
Top Bottom